Hayati Magufuli aliona mbali kuhusu chanjo, ona sasa huko Ulaya wanavyoanza kupukutika

Wewew .ukipiga dawa ya kuuwa mbu ,mbu wote hawaanguki au kufa kwa pamoja ,anaanza mmoja mmoja na wengine wanasepa ila mwisho utwakuta wengi wamepotea au tuseme wamefariki.
Ndio maana nimeshauri ARV na Chemotherapy/Radiotherapy/CT Scan zipigwe marufuku maana zina fatality rate kubwa zaidi au mabeberu wana nia mbaya kwenye Corona tu ila magonjwa mengine ni watu wema?

JPM aliharibu sana akili za waTanzania
 
Wanasayansi walikiuka utaratibu wa majaribio ya Chanjo.

Sjawahi kuona ugunduzi wa tiba unaanza majaribio moja Kwa moja Kwa binadamu, ndio mara ya Kwanza.

Wanajua wanachoitafutia hii dunia yenye uwingi wa watu na majengo mengi yanayotaka kuielemea dunia.
Hujawahi kuona au hujawahi tafiti? Changamoto yetu watu mliosoma HKL mnataka kuchambua methodology za chanjo hvi tutafika kweli!?
 
Kumbe unapiga ramli
Ramli? Mnavyopewa chanjo za pepopunda na surua huwa ni ramli? Vp chanjo za homa ya ini na yellow fever ni ramli?

Yaani unataka ushughulikie tatizo likishatokea? Kwahyo forecasting, risk management, ni Ramli?

Kwa reasoning hii wacha CCM itawale tu milele
 
hadi sasa vaccine ya china bado haijalalamikiwa, na ndio watu wengi wanaipendelea, kama yule kiongozi amepigwa astra basi tumuisabie masiku anakwenda tu 😎
Hamna binadamu mwenye uhakika kuwa atashuhudia kifo cha binadamu mwenzake.
 
Hujawahi kuona au hujawahi tafiti? Changamoto yetu watu mliosoma HKL mnataka kuchambua methodology za chanjo hvi tutafika kweli!?

Badala ya kujibu hoja aliyoitoa, wewe unaanza personality, mara sijui HGL and other blah blah. Nenda moja kwa moja kwenye hoja bila na kuishambulia au kuidadavua vilivyo ndiyo ukomavu.
 
Kile tunachofahamu juu ya vidonge vya damu visivyo vya kawaida vilivyounganishwa na chanjo ya J & J .

Wataalam wanafikiria jinsi ya kugundua haraka na kutibu mgando usio wa kawaida unaosababishwa na dozi za Johnson & Johnson na AstraZeneca.

Wakati mamilioni ya watu wanapata chanjo, waganga wanatarajia maeelfu kadhaa watakua na damu yenye vinasaba au visababishi vya kugandisha damu.

"Chanjo imeunganishwa wazi na shida hii adimu," anasema Warkentin, ambaye ni mwandishi mwenza kwenye moja ya majarida ya NEJM. "Tuna bunduki inayofuka moshi ."

Hatujui bado ikiwa kuna viambatisho vya maumbile au utabiri mwingine dhahiri ambao unaweza kuwafanya watu waweze kukabiliwa na hali hii. "Tunajua kutoka kwa utafiti wa HIT kwamba hatuwezi kutabiri ni nani atakayekuza shida hii," anasema Warkentin.

Kinachojulikana ni kwamba huwa inawagonga wanawake wadogo. Wagonjwa wote sita hukomarekani walikuwa wanawake kati ya umri wa miaka 18 na 48, na idadi kubwa ya wagonjwa huko Ulaya walikuwa chini ya miaka 60. Wataalam hawawezi kusema kwa hakika, lakini wana dalili za kwanini damu huganda.

Hizi dawa za chanjo naona kama zinafanyiwa majaribio direct kwa binadamu na sasa majawabu yanaanza kujitokeza. Kama haitoshi chanjo hizo aina mbili zimestishwa mpaka litakapotolewa tangazo jingine.

Jamani jamani kwani ni lazima muandike humu kila siku bila kutafakari mnachosema? Unaposema watu wameanza kupuputika huko ulaya, ni watu wangapi hasa? Angalia data za watu waliokwisha pata chanjo huko ulaya na halafu ulinganishe na idadi ya hao unaosema wamepuputika halafu uone kama relation iliyopo ni kuwa chanjo haifai. Hivi kwanza hata unajua in general nini chanjo? Unadhani wewe kuna dawa gani duniani ambayo ni salama 100%. Unajua aina yeyote ile ya dawa unayoitia mwilini mwako ni kemikali ambazo zinaweza kukataliwa na mwili wako na kusababishia complications nyingi na hata kifo? Unajua kuwa hiyo asprin ambayo imekuwepo duniani miaka tele na kufanyiwa research tele unaweza ukameza moja tu na ikakusababishia kifo?
 
Badala ya kujibu hoja aliyoitoa, wewe unaanza personality, mara sijui HGL and other blah blah. Nenda moja kwa moja kwenye hoja bila na kuishambulia au kuidadavua vilivyo ndiyo ukomavu.
Mkuu hivi kwa akili yako maprofessor wa Virology na Epidemiology wa WHO na CDC-US hawajui hili? Yaani hawana justification ya kufanya clinical tests kwa binadamu direct? Hawana justification ya kutoa chanjo mapema?

Ndio maana nikasema kama hatuna utaalamu na kitu ni bora kujifunza au kukaa kimya.

Nakumbuka kuna watu humu walikua wanakejeli ma engineer kutumia miezi 6 kufanya pre-feasibility kabla ya mradi kuanza. Lakini ukiingia kwenye taalum utagundua hyo miezi ipo justified mfano kupima mabadiliko ya tabia nchi, kupima uhimilivu wa misimu tofauti ya mvua na kiangazi, tectonic movements ama earthquake occurences eneo hilo, so wakijiridhisha ndio mradi unaanza.

So tukosoe vitu ambavyo tuna utaalam navyo. Tusijione wanasayansi wa bongo ndio wana uelewa sana wa Covid kuliko maprofesa wa Oxford ni ujinga
 
Mabaharia wanachanja RastaZeneca
20210415_054721.jpg
 
Yaa wanaweza wakajua, lkn unajua kuwa hii chanjo haijapitia hatua za kawaida za chanjo? wamefanya kitu kinachoitwa emergence approval. Katika maana ya kwamba kuna some steps ambazo ziko skipped. Na hata hizo dosari zinazojitokeza, wakosoaji wanakuwa na sababu za msingi za kuhoji.
 
Dosari ya watu 20 kati ya chanjo million 10 plus ni kubwa kiasi cha kuipinga chanjo?
Tukienda kwa staili hiyo je una maoni gani juu ya ARVs na Radiotherapy? Unaonaje nazo tupige marufuku maana katika kila watu buku wanaotumua radiotherapy sio chini ya 150 wanapata lasting effects!! Vp ikapigwa marufuku pale ocean road?
 
Kile tunachofahamu juu ya vidonge vya damu visivyo vya kawaida vilivyounganishwa na chanjo ya J & J .

Wataalam wanafikiria jinsi ya kugundua haraka na kutibu mgando usio wa kawaida unaosababishwa na dozi za Johnson & Johnson na AstraZeneca.

Wakati mamilioni ya watu wanapata chanjo, waganga wanatarajia maeelfu kadhaa watakua na damu yenye vinasaba au visababishi vya kugandisha damu.

"Chanjo imeunganishwa wazi na shida hii adimu," anasema Warkentin, ambaye ni mwandishi mwenza kwenye moja ya majarida ya NEJM. "Tuna bunduki inayofuka moshi ."

Hatujui bado ikiwa kuna viambatisho vya maumbile au utabiri mwingine dhahiri ambao unaweza kuwafanya watu waweze kukabiliwa na hali hii. "Tunajua kutoka kwa utafiti wa HIT kwamba hatuwezi kutabiri ni nani atakayekuza shida hii," anasema Warkentin.

Kinachojulikana ni kwamba huwa inawagonga wanawake wadogo. Wagonjwa wote sita hukomarekani walikuwa wanawake kati ya umri wa miaka 18 na 48, na idadi kubwa ya wagonjwa huko Ulaya walikuwa chini ya miaka 60. Wataalam hawawezi kusema kwa hakika, lakini wana dalili za kwanini damu huganda.

Hizi dawa za chanjo naona kama zinafanyiwa majaribio direct kwa binadamu na sasa majawabu yanaanza kujitokeza. Kama haitoshi chanjo hizo aina mbili zimestishwa mpaka litakapotolewa tangazo jingine.
Kafa lakini, au?
 
Kwa habari ya corona na namna ya ku deal nayo mpaka kesho ninampa tano Magufuli... Saluti zinazidi hasa kwa upande wa kugomea chanjo ambazo bado hazijafanyiwa utafiti wa kutosha.
 
Back
Top Bottom