Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Orketeemi

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,063
Reaction score
12,866
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.

Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.

Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.

Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.

Naamini si CORONA Wala Mabeberu

Alale salama.
 
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
 
Keshamaliza zamu yake, bado yako na yangu, tengeneza maisha yako kabla hujatembelewa na umauti, haitasaidia kumsema vibaya zamu zetu ziko palepale iwe Kwa magonjwa ama ajali ama vyovyote vile

Mwacheni apumzike Jembe

Aliingia kwenye kinyang'anyilo cha Uraisi Kwa miujiza, kafanya kazi zake nyingi na kubwa Kwa miujiza na ametutoka Kwa miujiza kwani hakuna aliyefahamu kuwa ataondoka
 
Halafu hakupenda sana kusafiri nje ya nchi hususan long safaris; kwanza uchovu kwenye midege; pili maswali ya maudhi ambayo angeulizwa yangemuumiza sana! Mliokuwa mnahoji kwanini Magufuli alikuwa hasafiri jibu ndio hilo hayo mengine uzushi!
 
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he has some serious heart problems....

Ni kweli mkuu ugonjwa wake ndio sababu kuu maana katika hali ya kawaida Rais kukaa madarakan miaka mitano bila kwenda nchi za mbali ni ngum . Angalia hata Africa aliishia nchi za jirani tu.
 
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakin ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.

JPM kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.

Pili kwa kuta JKmbua kwamba ana matatizo ya moyo- JPM Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.

Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana JPM.

Naamini si CORONA Wala Mabeberu

Alale salama.
 
Attachments

  • IMG-20210318-WA0006.jpg
    IMG-20210318-WA0006.jpg
    59.5 KB · Views: 23
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems....
Alikuwa hajui kiingereza au hakuwa na rafudhi nzuri?
 
ficha upumbavu wako..

ina maana hata vyombo vya habari hamsikilizi.??

unadhani kwanin vijana wengi hawafi kwa corona bali watu wazima na wazee.???

corona inapenda sana watu wenye matatizo ya moyo, sukari, presha e.t.c

refer hata kwa viongozi waliokufa RWAKATARE, MAHIGA, KIJAZI, MKAPA ,MAGUFULI,..

hawa wote angalia umri wao ulizia historia zao za maradhi..
 
Huyu bwana nadhani alikuja hapa Duniani ili kuionyesha Dunia jinsi mtu anavyoweza hata kubishana na vitu visivyoonekana

Kiufupi alikuwa amejigeuza ndio mshauri mkuu wa masuala ya fedha, sheria, elimu, afya, michezo, biashara, siasa, kilimo, anga, Tehama na unajimu

Alichokuwa amebakiza ni kimoja tu kifo ama uzima wa milele na ndicho kilichompata, sijui kwa nini hakumsikiliza muheshimiwa Lema
 
Mnavyo mtetea!! 🙄 Sasa kama alijua fika ana hayo matatizo, si angejipumzikia tu!! Alikuwa ni mbunge na waziri kwa miaka 20! Kipi kilichomvutia kugombea Urais? Tena kwa awamu mbili!! 😟

Yaani hapa ishu ni kwamba corona ya awamu hii ya pili inawasakama sana watu wenye umri mkubwa na wale wenye magonjwa sugu ya kuambukizwa na pia yale yasiyo ya kuambukizwa.

Kwa bahati mbaya na mzee naye amekutwa na huo mkasa. Tukubali matokeo, na pia tuendelee kuchukua tahadhari. Full stop!!😇
 
Inawezekana ndio mana hata mikutano na maandamano ya wapinzani alizuia ili wasimuudhi akapata shida za huo mfumo..na kuzuia bunge live ili wasimuudhi.

Magonjwa ya kudumu huwa yanachosha mwili na akili na hivyo kuvuruga saikolojia ya mtu kitu kinacholeta hasira sana kwa mhusika.
 
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakin ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.

JPM kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.

Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- JPM Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.

Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana JPM.

Naamini si CORONA Wala Mabeberu

Alale salama.
Kama alikuwa anajua hivyo zile pushapu alipiga za nini.

Huenda ndio zilisababisha hata neturo ya betri ikakata.
 
ficha upumbavu wako..

ina maana hata vyombo vya habari hamsikilizi.??

unadhani kwanin vijana wengi hawafi kwa corona bali watu wazima na wazee.???

corona inapenda sana watu wenye matatizo ya moyo, sukari, presha e.t.c

refer hata kwa viongozi waliokufa RWAKATARE, MAHIGA, KIJAZI, MKAPA ,MAGUFULI,..

hawa wote angalia umri wao ulizia historia zao za maradhi..
Eti mkuu, Kwa nini wengiwao wanakuwa ni wanaume ati?
 
Back
Top Bottom