Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishiriki kikamilifu msiba waPamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakin ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
JPM kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- JPM Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana JPM.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Wanaelewa sana, wanajifanya tu hamnazo. Na Corona inawapenda kweli.ficha upumbavu wako..
ina maana hata vyombo vya habari hamsikilizi.??
unadhani kwanin vijana wengi hawafi kwa corona bali watu wazima na wazee.???
corona inapenda sana watu wenye matatizo ya moyo, sukari, presha e.t.c
refer hata kwa viongozi waliokufa RWAKATARE, MAHIGA, KIJAZI, MKAPA ,MAGUFULI,..
hawa wote angalia umri wao ulizia historia zao za maradhi..
Hii mbona balaa[emoji22][emoji22]Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Watanzania tumeshazoea kudanganywa. Tulidanganywa kabla ya uhuru, baada ya uhuru na hadi sasa tunadanganywa. Na kila tukidanganywa tunakunya na excuses za ku justify tulivyodanganywa. Wewe ulioleta hii topic hapa hata kama ingelitangazwa kuwa marehemu amefariki kwa maradhi ya kuharisha basi ungelikubali tu bila ya kuuliza masuali simple tu kuthibitisha ulichaombiwa. Kuna suali simple tu "kwa nini wananchi walifichwa na kudanganywa juu ya hali ya raisi wao kwa wiki nne, iwe alikuwa anasumbuliwa na maradhi yeyote yale, kwa nini viongozi walikana kuwa anaumwa? Kama nilivyosema sio kosa lako, ni jambo la mazoea. Unaishi nchi isiyokuwa na uhuru wa kuuliza, hakuna uhuru wa waandishi wa habari na hakuna uhuru wa mtu kujieleza hadharani.Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakin ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
JPM kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- JPM Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana JPM.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Kujadiri ni kujifunza pia iwe kwa ubaya au wemaKeshamaliza zamu yake, bado yako na yangu, tengeneza maisha yako kabla hujatembelewa na umauti, haitasaidia kumsema vibaya zamu zetu ziko palepale iwe Kwa magonjwa ama ajali ama vyovyote vile
Mwacheni apumzike Jembe
Aliingia kwenye kinyang'anyilo cha Uraisi Kwa miujiza, kafanya kazi zake nyingi na kubwa Kwa miujiza na ametutoka Kwa miujiza kwani hakuna aliyefahamu kuwa ataondoka
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakin ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
JPM kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- JPM Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana JPM.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
magonjwa mengi makubwa mfano tb, kisukari, moyo, kansa wanaume ndio wanaugua zaidi kupita wanawake.Eti mkuu, Kwa nini wengiwao wanakuwa ni wanaume ati?
Sijuhi kani ndio bonge mweusi hivi kama alikodishwa toka Sudan kusini. 😂Hii mbona balaa[emoji22][emoji22]
Yule kibonge kafa?
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakin ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
JPM kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- JPM Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana JPM.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Waache waendelee kubisha tu , nilitegemea mama samia kuazia leo arudishe taifa katika harakati za ulimwengu atimue yule mama gwajima amrudishe ummy pale mapambano ya kisayansi yaendelee, na tahadhari ziendelee kuchukuliwa tusipokuwa makini huu ugonjwa utaendelea kutafuna utakavyo wait and see..Magufuli alikuwa na tatizo la moyo muda sana lakini corona ndiyo imesababisha tatizo kuwa kubwa mpaka kumwondoa hili halina mjadala. Corona sio ugojwa na mdudu ambaye analeta matatizo. Magufuli alikuwa na tatizo kubwa na mapigo ya moyo akawekewa kifaa pacemaker cha kusaidia mapigo hayo yakizidi tatizo Corona ilienda na kutibua michipa ya moyo na kufanya pacemaker isifanye kazi na kumpelekea kifo. Hivyo amekufa kwa tatizo la moyo lakini vilevile Corona ndiyo iliongeza hili tatizo. Ni kama cancer tu vitu vingine ndivyo vinakumaliza.
Seif naye kafa kwa kama magufuli lakini sababu ya kupata mpasuko wa damu ni corona
Ushauri wa msukuma Na huyu Mama wa afya ndio umemaondoaKama alikuwa anajua hivyo zile pushapu alipiga za nini.
Huenda ndio zilisababisha hata neturo ya betri ikakata.
Feni? Feni ipi hiyo?Kila alipotokea hadharani alikua na feni nyuma yake. Hakua anasimama muda mrefu. Na inawezekana miguu yake ilikua inavimba kila mara ndiyo maana alikua na kuda mwingi wa kufanyia kazi Chato akiwa amepumzika.
Kupanda ndege kunaathari kwenye afya ya moyo!!!Sasa ndiyo napata jibu ni kwanini alikuwa hapendi kupanda ndege mara kwa mara, na kwa upande mwingine naona namna tulivyo muonea na kumhukumu mtu huyu bila kuujua ukweli!!