Hawakusema ukweli, wakajificha kweny kichaka cha uzalendoSasa ndiyo napata jibu ni kwanini alikuwa hapendi kupanda ndege mara kwa mara, na kwa upande mwingine naona namna tulivyo muonea na kumhukumu mtu huyu bila kuujua ukweli!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakusema ukweli, wakajificha kweny kichaka cha uzalendoSasa ndiyo napata jibu ni kwanini alikuwa hapendi kupanda ndege mara kwa mara, na kwa upande mwingine naona namna tulivyo muonea na kumhukumu mtu huyu bila kuujua ukweli!!
Kwani wewe mudakitali?Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Sasa mbona ni siri?Sijuhi kani ndio bonge mweusi hivi kama alikodishwa toka Sudan kusini. [emoji23]
Nyungunajiuliza kilichokuwa kinampa ujasiri magufuli wa kuidharau corona ili hali anajijua na tatizo la moyo ni nini sipati jibu
kwa hiyo kumbe alikuwa anaonea kiingereza vizuri tu ehhh, issue ya kuwa ni mgojnwa ilikuwa inajulikana kitambo sana tu ila ccm kwa kuwa ilikuwa inataka ushindi kwa gharama yoyote ilibidi awekwe mtu ambaye angalau anayekubalika kwa wananchi na mkapa na mangula wao wakaona huyu ndiye at least anauzika kwa wananchi issue hapo ni covid19 imefanya yake na kwa kuwa tayari alikuwa na hitilafu na ikichangiwa na ukaidi wa marehemu wa kutokuchukua tahadhari za kujikinga hatimaye leo ndiyo hivyo tena hatunaye tena. Kumbuka marehemu aliwahi kusema uraisi alisukumizwa tu hivyo hakuwa amejiandaa/hakuwahi kuandaliwa kushirikana na ulimwengu hasa kwenye masuala ya kimataifa. Si ni huyu hata vikao kadhaa vya SADC na EAC alikuwa hahudhirii. Masuala ya mahusiano wa kimataifa na diplomasia marehemu hakuwa na uzoefu nayo kabisaaa na kati ya eneo ambalo alifanya vibaya kabisaaa na Tz imepotea kabisa kwenye hilo eneoJe, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems....
Kumdhihaki Lowasa kwamba yupo fiti kalikiti hii ni moja ya kufuru katika makufuru aliyofanya bila kujua. Mola amsamehee.Kama alikuwa anajua hivyo zile pushapu alipiga za nini.
Huenda ndio zilisababisha hata neturo ya betri ikakata.
Kosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa Msukuma
Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa
Mkuu chain ya waaondoka na walioondoka hivi karibuni ilikuwa haimuachi mheshimiwa salama.Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Ni kweli watu wenye matatizo ya afya Ulaya wanapewa budge wakiingia kwemye public transport bila barakoa wanaonyesha budge.Itakuwa ndiyo sababu ya yeye kukataa kuvaa barakoa, pumzi ilikuwa ndogo. Naona watu wake wanaiga kukataa kuvaa barakoa. Ngoja tuone.
mkuu chawa wa marehemu na hasa sukumagang hawaamini kilichotokea hivyo lazima wamtetee na watafute namna ya kumpa sifa ambazo hakuwa nazo kabisaa.Mnavyo mtetea!! 🙄 Sasa kama alijua fika ana hayo matatizo, si angejipumzikia tu!! Alikuwa ni mbunge na waziri kwa miaka 20! Kipi kilichomvutia kugombea Urais? Tena kwa awamu mbili!! 😟
Yaani hapa ishu ni kwamba corona ya awamu hii ya pili inawasakama sana watu wenye umri mkubwa na wale wenye magonjwa sugu ya kuambukizwa na pia yale yasiyo ya kuambukizwa.
Kwa bahati mbaya na mzee naye amekutwa na huo mkasa. Tukubali matokeo, na pia tuendelee kuchukua tahadhari. Full stop!!😇
Wanaume kwa kawaida tunatumika sana , ni risk takers , hii inasababisha tuwe na weak immune , wenzetu alina mama wako safe sanaEti mkuu, Kwa nini wengiwao wanakuwa ni wanaume ati?
Hili la kutosafiri nje mbona linaeleweka kuwa aliwa hamudu kupanda ndege muda mrefu?Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems....
Yeah, It all makes sense now. Serikali yake ilijawa na usiri mwingi, na sasa ni mengi tu mengine tutaanza kujasikia. Ingawa hili la maradhi ya moyo pia lilikuwa linasikika kama tetesi tu, na tetesi huwa zinakuaminika kichwa kichwa.Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems....
Kuna la kujifunza usizuie mjadalaApumzike Kwa Amani
Marehemu Tusimjadili Sana
Hii article ni kielelezo kuwa vyombo vya habari viliminywa sana enzi za utawala wa 5
Hujui marehemu Kenyatta alikuwa hapandi ndege.Kupanda ndege kunaathari kwenye afya ya moyo!!!
Huyo alikuwa yeyeHujui marehemu Kenyatta alikuwa hapandi ndege.