Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he has some serious heart problems....
Ni kweli mkuu ugonjwa wake ndio sababu kuu maana katika hali ya kawaida Rais kukaa madarakan miaka mitano bila kwenda nchi za mbali ni ngum . Angalia hata Africa aliishia nchi za jirani tu.
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakin ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
JPM kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kuta JKmbua kwamba ana matatizo ya moyo- JPM Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana JPM.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Alikuwa hajui kiingereza au hakuwa na rafudhi nzuri?Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems....
Kama alikuwa anajua hivyo zile pushapu alipiga za nini.Pamoja na majonzi ya kuondokewa na mh. Rais lakin ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
JPM kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe Cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadae iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- JPM Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hi misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana JPM.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Eti mkuu, Kwa nini wengiwao wanakuwa ni wanaume ati?ficha upumbavu wako..
ina maana hata vyombo vya habari hamsikilizi.??
unadhani kwanin vijana wengi hawafi kwa corona bali watu wazima na wazee.???
corona inapenda sana watu wenye matatizo ya moyo, sukari, presha e.t.c
refer hata kwa viongozi waliokufa RWAKATARE, MAHIGA, KIJAZI, MKAPA ,MAGUFULI,..
hawa wote angalia umri wao ulizia historia zao za maradhi..