Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Inaum
Sasa ndiyo napata jibu ni kwanini alikuwa hapendi kupanda ndege mara kwa mara, na kwa upande mwingine naona namna tulivyo muonea na kumhukumu mtu huyu bila kuujua ukweli!!
Inauma Sana!! Kwa Kazi aliyoifanya na mikiki mikiki aliyopitia, kwa hali yake ya maradhi ya moyo, naona ni kama alijitoa kuwa sadaka ya kuteketezwa!! Alijitoa sadaka ya kuteketezwa kwa ajili ya watanzania!! Halafu kuna watu bado wanasema ovyo!! Mungu awasamehe tu bure!!
 
Mbinguni hawaendi hivyo ,na hakuna wa kukuombea akishakufa ,mtu anaweza kukuombea wewe na nchi mkiwa hai wote nje ya hapo maombi yote ni kushindwa kumanage muda tu
 
Kosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa Msukuma

Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa?
Corona haijahusika na msiba wake. Kwa nini hautaki kuelewa?
 
Mbon
Itakuwa ndiyo sababu ya yeye kukataa kuvaa barakoa, pumzi ilikuwa ndogo. Naona watu wake wanaiga kukataa kuvaa barakoa. Ngoja tuone.
Mbona na wewe hauvaagi barakoa? Kwani hatukujui? Au unataka tutaje jina lako halisi hapa?
 
Una ubia gani na uviko? Mbona inalazimishwa as if uviko ndiyo shujaa wako uliyemtuma aangamize maisha yake? Hauko tayari kusikia shujaa wako hana mchango kwenye kifo hiki! Unamwamini Sana uviko!! Inabidi ukubali tu kuwa uviko haijahusika hata chembe katika hili!! Madaktari waliomtibu wamesema kilichosababisha kifo chake.
 
Hahahahaa" utakwepa kifo wewe??? Wewe ni mzoga wa punde tu!!

Mwanaume halisi haombei kifo adui wake
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kama ni hivyo mbona magufuli alikuwa anawaua wapinzani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ndo maana nasema wewe na magufuli wote wapumbavu
 
Sawa amefanya kwa sehemu yake ila naamini alikuwa hajamfikia mzee Mkapa.
Kama ni mfuatiliaji pitia uhalisia wa hali aliyoikuta nchi yetu na alikoiacha, usisahau kupitia reform program zote alizoanzisha na matokeo yake!.
Ulimsikia mzee Mwinyi alivyosema baada ya kuwa ametembezwa Dodoma na kuona makao makuu mapya na mambo yakiyofanyika? Hakuna aliyekuwa na ndoto za kufanikisha hilo!! Alishangaa na akasema mbele ya huyo Mkapa na Kikwete maana walikuwa pamoja : Akasema umetuzidi sisi wote?
 
aliua na kutesa wapinzani.akavuruga uchaguzi mkuu pamoja na serikali za mitaa.akampiga lissu risasi akamvua na ubunge.alivyokuwa anaua wapinzani ccm walikuwa wanachekelea tu haya sasa na nyie zamu yenu sasa.ccm walikuwa wanamwita tundu lissu mabaga fresh haya na sisi tukimwita magufuli ni mzoga uliooza tutakuwa TUNAKOSEA????BIBLIA IMEANDIKA MTU MWOVU/ANAYEONEA WATU AKIFA WATU HUPIGA KELELE.TUACHENI TUFURAHI NA KUPIGA KELELE NA SISI NYIE ZAMU YENU ISHAPITA TUACHIENI NAFASI NA SISI TUTEME NYONGO
 
MUACHENI MUNGU AITWE MUNGU
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kama ni hivyo mbona magufuli alikuwa anawaua wapinzani [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ndo maana nasema wewe na magufuli wote wapumbavu
Punguza Bangi na mirungu, Fuata ushauri wa dactari,

Tutakupoteza ukiendekeza ujinga
 
Hasa msiba wa rafiki yake Balozi Kijazi ulimnyima furaha ulimfanya kuwa na msongo wa mawazo mno, bado siamini kuwa jemedari kamaliza mwendo...
Sasa kama alikuwa anajijua kuhusu afya yake mbona hatukuona juhudi zozote za kujilinda dhidi ya corona ambayo kwa matatizo yake hayo ndo rahisi kumshambulia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masikini sijui kwanini sasa alienda mbali kutaka kutufurahisha wapiga kura kwa kupiga push ups tuone yupo fit.
Pumzika kwa Amani mheshimiwa, sisi sote ni wa Mola na kwake tutarejea.
 
Kwahiyo aliyafanya hayo personal zaidi bila kuzingatia matakwa ya sheria?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…