What would you have done?[emoji3][emoji3]Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Nadhani wewe si mwana sayansi...kama ni kweli alikuwa na pacemaker, kupiga nyungu kama nilivyoshuhudia Watanzania wakifanya, ni hatari sana kwa mtu mwenye tatizo la moyo na aliyewekewa pacemaker kifuani. Labda hii ndiyo sababu kubwa iliyofanya akae karibu na feni muda mwingi...to cool down!Sikumwuliza hilo, ila inajulikana kuwa Sauna haina madhara yoyote kwa mgonjwa wa moyo. hakuna ushahidi to the contrary.
Nimeshangazwa hata Mama yetu anawaiga Mataga kwa kutovaa Barakoa ni hatari zamaniJoseph musukuma amemdanganya sana Rais, tusipoheshimu masharti ya kijikinga corona, kabla ya tar 26.3 tutakuwa na msiba mwingine mkubwa
Cut him some slack...
Sio lazima kwenda nchi za nje mbona viongozi wa nchi za nje hawatembeleani kila kukichaJe, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Mlinzi gani huyoCorona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Hebu tuambie mlinzi wake amekufa lini? Maana leo nimewaona wote msibani. Au ndo muendelezo wa uzishi.Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
I never knew.This was an open secret for quite sometime.
Hao walinzi wapo na wameonekana msibani leo, sijui hizi taarifa yeye kazitoa wapi tu.Hii mbona balaa[emoji22][emoji22]
Yule kibonge kafa?
Kwenye yeye kuwa na ugonjwa wa moyo na kugombea urais, sikubaliani na wewe.Magufuli mtu mmoja selfish sana.
Pamoja na kujua ana matatizo yote hayo ya moyo kwa siku nyingi, kaenda kugombea urais, kazi yenye mikiki mingi kwa mtu mwenye matatizo ya moyo kuifanya. Na kutufia akiwa rais kwa kuwa mbinafsi.
This is very selfish. Yani alitaka kuwa rais yeye tu bila kujali afya yake.
Zaidi ya ubinafsi alikuwa na ubishi wa kijinga.
Mtu unajijua una matatizo ya moyo, unaleta ubishi kwenye mambo ya msingi kujikinga na maradhi yanayojulikana yanafyeka watu wenye matatizo kama yako.
Hapa tunajifunza mara nyingi elimu ya mtu haizidi utamaduni.
The guy supposedly had a Ph.D in Chemistry but he couldn't do basic protective science!
Ndio mjue, msipende kuwahukumu watu bila kujua wanakumbana na majanga gani maishani mwao! Ngosha alikuwa kidume, pamoja na mivuvuzera ya ufipa hayakumuondoa kwenye reli hata nucta! Huyu mzee ameteka heshima kwangu sana!
Umeejuaje kama Msiba wa Kijazi ulimnyima Furaha, kwanini mna rulout covid wakati ipo Mjini hapa na inauaHasa msiba wa rafiki yake Balozi Kijazi ulimnyima furaha ulimfanya kuwa na msongo wa mawazo mno, bado siamini kuwa jemedari kamaliza mwendo...
Amefufuka aisee.. Majitu kama nyie ni ya kijinga sana.Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Kwenye yeye kuwa na ugonjwa wa moyo na kugombea urais, sikubaliani na wewe.
Ugonjwa wake huo haukumzuia kufanya kazi.
Who is to say Samia won’t die tomorrow? Does she have the heart condition? If she dies tomorrow of high blood pressure would you say she was selfish running for Vice President while knowing she was on the heavy set side body-wise? Come on now.
Are presidents not allowed to die while in office?
Totally unfair to call him selfish just because he ran for president while he had a heart condition.
Him not taking coronavirus seriously while knowing he was medically fragile, that’s fair criticism.
Suala la tatizo lake la moyo sidhani kama aliliweka wazi...tatizo alikuwa anadanganya kuhusu ugonjwa wake.
..alikuwa akidai hasafiri nje kwasababu yeye ni mzalendo, na anataka kubana matumizi.
..lakini safari za nje bado zilikuwepo kwani makamu wa raisi na waziri mkuu walikuwa wanamuwakilisha nje ya nchi.
..pia ziara za magufuli za ndani zilikuwa za gharama kubwa, kwani wakati mwingine zilihusisha mpaka helikopta iliyokuwa ikirandaranda angani; msusuru wa magari na mitambo wana usalama; maaskari wenye silaha nzito-nzito utafikiri nchi iko vitani, pamoja na mabulungutu ya fedha aliyokuwa akitembea nayo muda wote.
Hoja zako nazikubali...Ni selfish kwa namna nyingine.
..kwa mfano, alipoona Kiingereza kinampiga chenga basi akaamua akipige vita ili Watz wote tuwe kama yeye.
..pia badala ya kusema ukweli kwamba hasafiri kutokana na maradhi yeye akaamua kudanganya kwamba haendi nje ili kuokoa fedha za serikali.
..binafsi kwa kuangalia safari zake za ndani, na matumizi na mahitaji yake, nashawishika kuamini kwamba hakuna tulichookoa kutokana na magufuli kutosafiri nje ya nchi.
Yani mtu unajijua una ugonjwa serious wa moyo, unaenda kugombea urais kama vile bila wewe nchi haiwezi kwenda.Kwenye yeye kuwa na ugonjwa wa moyo na kugombea urais, sikubaliani na wewe.
Ugonjwa wake huo haukumzuia kufanya kazi.
Who is to say Samia won’t die tomorrow? Does she have the heart condition? If she dies tomorrow of high blood pressure would you say she was selfish running for Vice President while knowing she was on the heavy set side body-wise? Come on now.
Are presidents not allowed to die while in office?
Totally unfair to call him selfish just because he ran for president while he had a heart condition.
Him not taking coronavirus seriously while knowing he was medically fragile, that’s fair criticism.
Sasa kama alikuwa na hilo tatizo halafu akawa anajijua kabisa kuwa afya yake ni kikwazo alikuwa hapaswi kugombea nafasi ya kuongoza nchi Ifahamike kwamba raisi wa nchi ndiye kichochezi cha maendeleo na usalama wa nchi husika sasa kama afya yake haiko sawa hauoni kuwa hiyo ni hatari kwa ustawi wa maendeleo na usalama pia kwa nchi anayo iongoza !?