Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
What would you have done?[emoji3][emoji3]

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Sikumwuliza hilo, ila inajulikana kuwa Sauna haina madhara yoyote kwa mgonjwa wa moyo. hakuna ushahidi to the contrary.
Nadhani wewe si mwana sayansi...kama ni kweli alikuwa na pacemaker, kupiga nyungu kama nilivyoshuhudia Watanzania wakifanya, ni hatari sana kwa mtu mwenye tatizo la moyo na aliyewekewa pacemaker kifuani. Labda hii ndiyo sababu kubwa iliyofanya akae karibu na feni muda mwingi...to cool down!

If you have a heart problem, extreme heat may place an extra burden on your heart and circulation, so it’s particularly important to stay cool and look after yourself. Hot, humid weather can be especially hard for people with heart failure, or those on the verge of it. Always remember...cool is cool!
 
Joseph musukuma amemdanganya sana Rais, tusipoheshimu masharti ya kijikinga corona, kabla ya tar 26.3 tutakuwa na msiba mwingine mkubwa
Nimeshangazwa hata Mama yetu anawaiga Mataga kwa kutovaa Barakoa ni hatari zamani

Hivi mtu wa kumshauri kabaki Polepole peke yake?
 
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Sio lazima kwenda nchi za nje mbona viongozi wa nchi za nje hawatembeleani kila kukicha
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Hebu tuambie mlinzi wake amekufa lini? Maana leo nimewaona wote msibani. Au ndo muendelezo wa uzishi.
 
Magufuli mtu mmoja selfish sana.

Pamoja na kujua ana matatizo yote hayo ya moyo kwa siku nyingi, kaenda kugombea urais, kazi yenye mikiki mingi kwa mtu mwenye matatizo ya moyo kuifanya. Na kutufia akiwa rais kwa kuwa mbinafsi.

This is very selfish. Yani alitaka kuwa rais yeye tu bila kujali afya yake.

Zaidi ya ubinafsi alikuwa na ubishi wa kijinga.

Mtu unajijua una matatizo ya moyo, unaleta ubishi kwenye mambo ya msingi kujikinga na maradhi yanayojulikana yanafyeka watu wenye matatizo kama yako.

Hapa tunajifunza mara nyingi elimu ya mtu haizidi utamaduni.

The guy supposedly had a Ph.D in Chemistry but he couldn't do basic protective science!
Kwenye yeye kuwa na ugonjwa wa moyo na kugombea urais, sikubaliani na wewe.

Ugonjwa wake huo haukumzuia kufanya kazi.

Who is to say Samia won’t die tomorrow? Does she have the heart condition? If she dies tomorrow of high blood pressure would you say she was selfish running for Vice President while knowing she was on the heavy set side body-wise? Come on now.

Are presidents not allowed to die while in office?

Totally unfair to call him selfish just because he ran for president while he had a heart condition.

Him not taking coronavirus seriously while knowing he was medically fragile, that’s fair criticism.
 
Ndio mjue, msipende kuwahukumu watu bila kujua wanakumbana na majanga gani maishani mwao! Ngosha alikuwa kidume, pamoja na mivuvuzera ya ufipa hayakumuondoa kwenye reli hata nucta! Huyu mzee ameteka heshima kwangu sana!

..tatizo alikuwa anadanganya kuhusu ugonjwa wake.

..alikuwa akidai hasafiri nje kwasababu yeye ni mzalendo, na anataka kubana matumizi.

..lakini safari za nje bado zilikuwepo kwani makamu wa raisi na waziri mkuu walikuwa wanamuwakilisha nje ya nchi.

..pia ziara za magufuli za ndani zilikuwa za gharama kubwa, kwani wakati mwingine zilihusisha mpaka helikopta iliyokuwa ikirandaranda angani; msusuru wa magari na mitambo wana usalama; maaskari wenye silaha nzito-nzito utafikiri nchi iko vitani, pamoja na mabulungutu ya fedha aliyokuwa akitembea nayo muda wote.
 
Hasa msiba wa rafiki yake Balozi Kijazi ulimnyima furaha ulimfanya kuwa na msongo wa mawazo mno, bado siamini kuwa jemedari kamaliza mwendo...
Umeejuaje kama Msiba wa Kijazi ulimnyima Furaha, kwanini mna rulout covid wakati ipo Mjini hapa na inaua
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Amefufuka aisee.. Majitu kama nyie ni ya kijinga sana.
 
Attachments

  • IMG-20210320-WA0023.jpg
    IMG-20210320-WA0023.jpg
    81.4 KB · Views: 3
Kwenye yeye kuwa na ugonjwa wa moyo na kugombea urais, sikubaliani na wewe.

Ugonjwa wake huo haukumzuia kufanya kazi.

Who is to say Samia won’t die tomorrow? Does she have the heart condition? If she dies tomorrow of high blood pressure would you say she was selfish running for Vice President while knowing she was on the heavy set side body-wise? Come on now.

Are presidents not allowed to die while in office?

Totally unfair to call him selfish just because he ran for president while he had a heart condition.

Him not taking coronavirus seriously while knowing he was medically fragile, that’s fair criticism.

..Ni selfish kwa namna nyingine.

..kwa mfano, alipoona Kiingereza kinampiga chenga basi akaamua akipige vita ili Watz wote tuwe kama yeye.

..pia badala ya kusema ukweli kwamba hasafiri kutokana na maradhi yeye akaamua kudanganya kwamba haendi nje ili kuokoa fedha za serikali.

..binafsi kwa kuangalia safari zake za ndani, na matumizi na mahitaji yake, nashawishika kuamini kwamba hakuna tulichookoa kutokana na magufuli kutosafiri nje ya nchi.
 
..tatizo alikuwa anadanganya kuhusu ugonjwa wake.

..alikuwa akidai hasafiri nje kwasababu yeye ni mzalendo, na anataka kubana matumizi.

..lakini safari za nje bado zilikuwepo kwani makamu wa raisi na waziri mkuu walikuwa wanamuwakilisha nje ya nchi.

..pia ziara za magufuli za ndani zilikuwa za gharama kubwa, kwani wakati mwingine zilihusisha mpaka helikopta iliyokuwa ikirandaranda angani; msusuru wa magari na mitambo wana usalama; maaskari wenye silaha nzito-nzito utafikiri nchi iko vitani, pamoja na mabulungutu ya fedha aliyokuwa akitembea nayo muda wote.
Suala la tatizo lake la moyo sidhani kama aliliweka wazi.

Lakini suala la safari za nje, nadhani katika utawala wake zilipungua sana kulinganisha enzi za Kikwete.

Enzi za Kikwete kuna walikuwa wanaenda Washington DC na hujui hata wanafanya nini huko.

Kila baada ya miezi miwili mitatu, hao unawaona tena wamerudi. WTF
 
..Ni selfish kwa namna nyingine.

..kwa mfano, alipoona Kiingereza kinampiga chenga basi akaamua akipige vita ili Watz wote tuwe kama yeye.

..pia badala ya kusema ukweli kwamba hasafiri kutokana na maradhi yeye akaamua kudanganya kwamba haendi nje ili kuokoa fedha za serikali.

..binafsi kwa kuangalia safari zake za ndani, na matumizi na mahitaji yake, nashawishika kuamini kwamba hakuna tulichookoa kutokana na magufuli kutosafiri nje ya nchi.
Hoja zako nazikubali.

Lakini heart condition yake haikuwa disqualification na haikumzuia kufanya kazi yake.
 
Kwenye yeye kuwa na ugonjwa wa moyo na kugombea urais, sikubaliani na wewe.

Ugonjwa wake huo haukumzuia kufanya kazi.

Who is to say Samia won’t die tomorrow? Does she have the heart condition? If she dies tomorrow of high blood pressure would you say she was selfish running for Vice President while knowing she was on the heavy set side body-wise? Come on now.

Are presidents not allowed to die while in office?

Totally unfair to call him selfish just because he ran for president while he had a heart condition.

Him not taking coronavirus seriously while knowing he was medically fragile, that’s fair criticism.
Yani mtu unajijua una ugonjwa serious wa moyo, unaenda kugombea urais kama vile bila wewe nchi haiwezi kwenda.

Matokeo yake tunakuwa na rais hasafiri nje ya nchi masafa marefu, tunadanganywa anabana matumizi, kumbe ana matatizo ya kiafya.

That is not only selfish, but also dishonest.

That is selfish on a messiah complex level.
 
Sitahukumu Mabaya ya Marehemu, JK wa kwanza, wa Pili, BWM na AHM wote wana madhaifu yao.. ndio ubinadamu.. lakini haiondoi uhalisia kuwa baada ya JkNyerere MagufuliJP ndio rais Bora kabisa kumpata kama taifa..
 
Sasa kama alikuwa na hilo tatizo halafu akawa anajijua kabisa kuwa afya yake ni kikwazo alikuwa hapaswi kugombea nafasi ya kuongoza nchi Ifahamike kwamba raisi wa nchi ndiye kichochezi cha maendeleo na usalama wa nchi husika sasa kama afya yake haiko sawa hauoni kuwa hiyo ni hatari kwa ustawi wa maendeleo na usalama pia kwa nchi anayo iongoza !?

NONSENSE
 
Back
Top Bottom