Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

..tatizo alikuwa anadanganya kuhusu ugonjwa wake.
Angemsikiliza Baba wa Taifa...mfichaficha maradhi, kilio humuumbua. Lengo lake katika kupiga push up kwenye kampeni ilikuwa ni nini kama si kujaribu kuudanganya umma kuwa hana tatizo? Hilo moja lakini la pili; kwa nini alitumia nguvu nyingi sana na hila katika kutaka aongezewe awamu ya pili?
 
Yani mtu unajijua una ugonjwa serious wa moyo, unaenda kugombea urais kama vile bila wewe nchi haiwezi kwenda.

Matokeo yake tunakuwa na rais hasafiri nje ya nchi masafa marefu, tunadanganywa anabana matumizi, kumbe ana matatizo ya kiafya.

That is not only selfish, but also dishonest.

That is selfish on a messiah complex level.

Waliosafiri waliongeza nini !? Si ndio mlikua mnaongoza kumtukana?! Leo mnajisahaulisha WANAFIKI KWELI HAWAWEZI KUISHA ..
JK hapa ooh kazi kusafiri
 
Yani mtu unajijua una ugonjwa swrious wa moyo, unaenda kugombeq urais kama vile bila wewe nchi haiwezi kwenda.

Matokeo yake tunakuwa na rais hasafiri nje ya nchi masafa marefu, tunadanganywa anabana matumizi, kumbe ana matatizo ya kiafya.

That is not only selfish, but also dishonest.

That is selfish on a messiah complex level.
Sawa, hatukuambiwa. Hilo nakubali.

Lakini selfishness? Nope.

Kwa nini sasa CCM walimpitisha kuwa nominee? CCM walijua kwamba ana hilo tatizo.

Lakini mtu kawa mbunge miaka kibao tu. Kawa naibu waziri na waziri kwa miaka takriban 20, sidhani kama hiyo heart condition ilimfanya ashindwe kutimiza majukumu yake.

Wangetuambia tu tokea mwanzo watu tukajua.

Walituficha hilo. Wametuficha kuhusu kuugua kwake.

Everist Chahali alisema Magu alikufa tokea sijui tarehe 6 au 7 mwezi huu.

Kasim Majaliwa na yule Chalamila wakadai wameongea na rais siku chache kabla ya Mama Samia kuleta habari za kukaguliwa kaguliwa [whatever the fcuk that means]. Baada ya hapo ndo tukaambiwa kafa tarehe 17.

Ni kweli kafa tarehe 17 huyo?

Kulazwa kwake tu tulifichwa. Sijui hata ni kwa nini.

CCM wana culture ya kutokuwa wakweli na wawazi.

Hawakuwa wakweli na wawazi mwanzoni mwa safari ya urais wa Magufuli na mpaka kufikia mwisho wa safari yake hawakuwa wawazi na wakweli.

I’m very disappointed.
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Acheni uzushi!!

Mlinzi wake waliyekuwa wanamsema kuwa kafa leo kaonekana Live msibani akiwa amenyoa kipara!!

Labda siyo huyu!!
FB_IMG_1616253155508.jpg
 
Umeejuaje kama Msiba wa Kijazi ulimnyima Furaha, kwanini mna rulout covid wakati ipo Mjini hapa na inaua
tuna rule out kwa sababu tunafahamu fika kuhusu uhusiano mkubwa uliopo kati ya depression/stress na matatizo ya moyo...
 
Hoja zako nazikubali.

Lakini heart condition yake haikuwa disqualification na haikumzuia kufanya kazi yake.

..hata mimi sidhani kama tatizo lake la moyo lilikuwa a disqualification kwenye uraisi.

..pia nimesoma kwamba hata wenye heart pacemaker wanaweza kusafiri na ndege kwa umbali mrefu as long as wanajua nini cha kufanya.

..kwa hiyo mimi naongezea kwamba pacemaker haikuwa kizuizi cha yeye kusafiri, tatizo ni yeye mwenyewe kuwa muoga kusafiri.

..pia tujiulize, hiyo pace maker si alifungwa hukohuko nje kwa mabeberu aliokuwa akiwapiga vita tangu apate Uraisi?

..mtu ambaye uhai wake unategemea kifaa alichokipata kwa msaada wa mabeberu leo ndio anapita nchi nzima akichochea vijana na kuwajaza chuki. kiongozi anaishi kwa pacemaker ya mabeberu halafu anasema haamini barakoa zao, dawa zao, au chanjo zao.

..mimi tatizo langu na utawala wa magufuli ni tabia ya kusema UONGO hata mahali pasipolazimisha kusema uongo. pia wana tabia ya kutumia NGUVU na ukatili hata mahali pasipohitaji matumizi ya nguvu.
 
That’s fair! And I share some of those sentiments as well.

Mfano mzuri ni Kasim Majaliwa.

Katudanganya Watanzania.

Na serikali kama taasisi, haikutueleza ukweli wa kilichomfanya Magufuli asionekane kwa wiki kadhaa.

Hivi kusema tu alikuwa anaumwa na kwamba kalazwa, kuna ubaya gani? Kuna ugumu gani?

Wametukosea sana.

Wametisha na kunyanyasa watu waliokuwa wanaulizia alipo Rais wao.

Uncalled for behavior:
 
Yani mtu unajijua una ugonjwa serious wa moyo, unaenda kugombea urais kama vile bila wewe nchi haiwezi kwenda.

Matokeo yake tunakuwa na rais hasafiri nje ya nchi masafa marefu, tunadanganywa anabana matumizi, kumbe ana matatizo ya kiafya.

That is not only selfish, but also dishonest.

That is selfish on a messiah complex level.
What I fail to understand is that there are people who knew this all along but still supported this selfishness and dishonesty...what name should we give them? Aren't they guilty of killing of their golden goose because they wanted all of its gold at once?
 
Pole sana mkuu!

Rais Magufuli ni aina ya watu wenye energy na determination sana, na aina ya watu hao kitu pekee cha kuwastopisha ni kifo tu.

Ndio maana suala la corona aliliona ni kikwazo katika determination yake akaamua kulipuuza. Kwake ilikuwa bora afie vitani kuliko kujikunyatia ndani kwa sababu ya corona. Kwake suala la maendeleo ya nchi ilikuwa suala la vita. You either win or lose, but retreating is not an option.

Amekufa kishujaa, na kumbukumbu yake itabaki kama Rais bora kabisa wa nchi yetu, baada ya baba wa taifa.
Asante
Hata usipokufa kwa corona, utakufa kwa maradhi mengineyo. Siku ikifika imefika tu. Tuache porojo.

Hahaa eti siku ikifika imefika, Ukikiuka kanuni za afya utakufa, ugonjwa wa moyo amepambana nao miaka yote kwakwe haijawahi kuwa tishio
 
Hata Ile tabia ya kuropoka na kufokea watu hovyo ilisababishwa na tatizo la moyo kifupi jamaa alikua misfit kwa nafasi ya urais
 
Na ndo maana katika hotuba zake alikuwa akisema ipo siku nitakufa....alijua ilo siku litampeleka.apumzike jembe
 
Waliosafiri waliongeza nini !? Si ndio mlikua mnaongoza kumtukana?! Leo mnajisahaulisha WANAFIKI KWELI HAWAWEZI KUISHA ..
JK hapa ooh kazi kusafiri
Unajadili watu badala ya dhana.

Tuingwlee dhana.

Rais kusafiri hakuna faida?

Kwani rais mmoja kukosa kuleta faida za kusafiri maana yake wote watakaomfuata watakisa kuleta faida za kusafiri?

Zaidi, hujajadili hoja ya uongo wa Magufuli kutuhadaa kwamba anabana matumizi, kumbe hasafiri kwa sababu mgonjwa.
 
Sawa, hatukuambiwa. Hilo nakubali.

Lakini selfishness? Nope.

Kwa nini sasa CCM walimpitisha kuwa nominee? CCM walijua kwamba ana hilo tatizo.

Lakini mtu kawa mbunge miaka kibao tu. Kawa naibu waziri na waziri kwa miaka takriban 20, sidhani kama hiyo heart condition ilimfanya ashindwe kutimiza majukumu yake.

Wangetuambia tu tokea mwanzo watu tukajua.

Walituficha hilo. Wametuficha kuhusu kuugua kwake.

Everist Chahali alisema Magu alikufa tokea sijui tarehe 6 au 7 mwezi huu.

Kasim Majaliwa na yule Chalamila wakadai wameongea na rais siku chache kabla ya Mama Samia kuleta habari za kukaguliwa kaguliwa [whatever the fcuk that means]. Baada ya hapo ndo tukaambiwa kafa tarehe 17.

Ni kweli kafa tarehe 17 huyo?

Kulazwa kwake tu tulifichwa. Sijui hata ni kwa nini.

CCM wana culture ya kutokuwa wakweli na wawazi.

Hawakuwa wakweli na wawazi mwanzoni mwa safari ya urais wa Magufuli na mpaka kufikia mwisho wa safari yake hawakuwa wawazi na wakweli.

I’m very disappointed.
Unapolinganisha ubunge na urais mpaka hapo napata shaka kama tunaweza kujadiliana kwa sawa, kwa sababu unalinganisha vitu visivyolingana.

Apples to oranges my dude.

Kanuni muhimu kabisa ya kulinganisha vitu ni kulinganisha vitu vinavyolingana.

Linganisha urais na urais, si ubunge na urais.
 
Kuhusu kusafiri moja ya sababu ni pacemaker ,haitakiwi kukaa hewani kwenye ndege kwa saa nyingi,na pia swala la "KINGE" nalo ni la pili.

Kuhusu kwamba ni tatizo la moyo ndio lilimuondoa inawezekana ni kweli kwasababu uviko(covid) nayo inaleta complications kwenye moyo kwa tatizo lake.

Magufuli anaye Dr wake wa moyo KISENGE ambaye alikuwa anamonitor afya yake kila muda si rahisi afikie kuumwa serious na kufariki kwa ghafla....UVIKO ime accelerate ugonjwa wa moyo.
Kuna shemeji yangu kawekwa peacemaker UK na ni mtu wa kusafiri kwa njia ya ndege Mara kwa Mara.safari zake ni za masaa mengi maana ni mfanya biashara na ni mnene na hafanyi mazoezi
 
Dah!
Huyu mzee alikuwa mtata sana. Yaani afya yake ilikuwa mgogoro mnoo lakini hilo alikuwa analificha kwa matukio na misimamo ya ajabu ajabu.
 
..tatizo alikuwa anadanganya kuhusu ugonjwa wake.

..alikuwa akidai hasafiri nje kwasababu yeye ni mzalendo, na anataka kubana matumizi.

..lakini safari za nje bado zilikuwepo kwani makamu wa raisi na waziri mkuu walikuwa wanamuwakilisha nje ya nchi.

..pia ziara za magufuli za ndani zilikuwa za gharama kubwa, kwani wakati mwingine zilihusisha mpaka helikopta iliyokuwa ikirandaranda angani; msusuru wa magari na mitambo wana usalama; maaskari wenye silaha nzito-nzito utafikiri nchi iko vitani, pamoja na mabulungutu ya fedha aliyokuwa akitembea nayo muda wote.
Hapana, ni kweli hakwenda nje ya bara kupunguza gharama! Safari za humu ndani zilikuwa na tija kwa kugundua mapungufu na kuyatatua pale pale! Sio kweli kuwa alidhindwa kwenda nje kea sababu za kiafya! Sababu ilikuwa gharama na usalama wake kwa nature ya vita aliyokuwa anaiongoza kupigana!
Tofauti na JK, yy hakuwa na dira wala vita dhidi ya yeyeto! Hivyo safari za bata zilijaa!
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Mlinzi anaedaiwa kafa leo alikuwa pale mzima wa afya,muda mwingine puuzeni habari za kigogo analishwa pumba
 
Mlinzi anaedaiwa kafa leo alikuwa pale mzima wa afya,muda mwingine puuzeni habari za kigogo analishwa pumba
Je na wewe ulipuuza habari za Majaliwa? Ulipuuza za Chalamila! Ulipuuza za Mpilimba? Ulipuuza za Rais mpya Mh. Samia Suluhu Hassan? Kwamba marehemu alikuwa ofisini akichapa kazi? Kwamba alikuwa anaongea nao kwenye simu? Kwamba alikuwa akiwapa maagizo?
 
Back
Top Bottom