Yani mtu unajijua una ugonjwa swrious wa moyo, unaenda kugombeq urais kama vile bila wewe nchi haiwezi kwenda.
Matokeo yake tunakuwa na rais hasafiri nje ya nchi masafa marefu, tunadanganywa anabana matumizi, kumbe ana matatizo ya kiafya.
That is not only selfish, but also dishonest.
That is selfish on a messiah complex level.
Sawa, hatukuambiwa. Hilo nakubali.
Lakini selfishness? Nope.
Kwa nini sasa CCM walimpitisha kuwa nominee? CCM walijua kwamba ana hilo tatizo.
Lakini mtu kawa mbunge miaka kibao tu. Kawa naibu waziri na waziri kwa miaka takriban 20, sidhani kama hiyo heart condition ilimfanya ashindwe kutimiza majukumu yake.
Wangetuambia tu tokea mwanzo watu tukajua.
Walituficha hilo. Wametuficha kuhusu kuugua kwake.
Everist Chahali alisema Magu alikufa tokea sijui tarehe 6 au 7 mwezi huu.
Kasim Majaliwa na yule Chalamila wakadai wameongea na rais siku chache kabla ya Mama Samia kuleta habari za kukaguliwa kaguliwa [whatever the fcuk that means]. Baada ya hapo ndo tukaambiwa kafa tarehe 17.
Ni kweli kafa tarehe 17 huyo?
Kulazwa kwake tu tulifichwa. Sijui hata ni kwa nini.
CCM wana culture ya kutokuwa wakweli na wawazi.
Hawakuwa wakweli na wawazi mwanzoni mwa safari ya urais wa Magufuli na mpaka kufikia mwisho wa safari yake hawakuwa wawazi na wakweli.
I’m very disappointed.