Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Kila alipotokea hadharani alikua na feni nyuma yake. Hakua anasimama muda mrefu. Na inawezekana miguu yake ilikua inavimba kila mara ndiyo maana alikua na muda mwingi wa kufanyia kazi Chato akiwa amepumzika.
Let’s do it.Unapolinganisha ubunge na urais mpaka hapo napata shaka kama tunaweza kujadiliana kwa sawa, kwa sababu unalinganisha vitu visivyolingana.
Apples to oranges my dude.
Kanuni muhimu kabisa ya kulinganisha vitu ni kulinganisha vitu vinavyolingana.
Linganisha urais na urais, si ubunge na urais.
..kama ilikuwa siyo salama yeye kwenda nje kwasababu nchi ilikuwa ktk vita na mabeberu, mbona alikuwa akiwatuma makamu na waziri mkuu kumuwakilisha huko nje? ina maana ni hatari kwa raisi, lakini salama kwa makamu na waziri mkuu?Hapana, ni kweli hakwenda nje ya bara kupunguza gharama! Safari za humu ndani zilikuwa na tija kwa kugundua mapungufu na kuyatatua pale pale! Sio kweli kuwa alidhindwa kwenda nje kea sababu za kiafya! Sababu ilikuwa gharama na usalama wake kwa nature ya vita aliyokuwa anaiongoza kupigana!
Tofauti na JK, yy hakuwa na dira wala vita dhidi ya yeyeto! Hivyo safari za bata zilijaa!
Hii block kitaalamu inaitwa "njia ya muongo fupi"...kama ilikuwa siyo salama yeye kwenda nje kwasababu nchi ilikuwa ktk vita na mabeberu, mbona alikuwa akiwatuma makamu na waziri mkuu kumuwakilisha huko nje? ina maana ni hatari kwa raisi, lakini salama kwa makamu na waziri mkuu?
Let’s do it.
1. Was it selfish for Tundu Lissu to run for President in 2020?
2. Did Magufuli know he was going to die on March 17[if you believe that’s when he died]?
3. Presidents aren’t supposed to die while in office?
4. If Samia dies of a massive heart attack while still in office, would you fault her for being selfish?
5. Is a pre-existing health condition a disqualification for running for president?
Basi covid ilikuja Kumaliziatuna rule out kwa sababu tunafahamu fika kuhusu uhusiano mkubwa uliopo kati ya depression/stress na matatizo ya moyo...
Ajitokeze daktari atuelimishe madhara ya safari za anga kwenye umeme wa moyo.Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Yeye alisema ...safari Hazina manufaa!... halafu hakupenda sana kusafiri nje ya nchi hususan long safaris; kwanza uchovu kwenye midege; pili maswali ya maudhi ambayo angeulizwa yangemuumiza sana! Mliokuwa mnahoji kwanini Magufuli alikuwa hasafiri jibu ndio hilo hayo mengine uzushi!
Umenipotezea muda wewe!Apumzike kwa amani.
Ni kama vile ameondoka vizuri kiduchu. Maana alienda Morogoro kuzindua Soko kuu, akasamehe wale watumishi waliokuwa wanakula ela za vizinda (Hakuwatumbua akawaagiza warudishe fedha walizokuwa wanachukua). Akawashukuru watu wa Moro kwa kumpa kura nyingi kuliko mikoa yote
Kisha akarudi Dar kufungua Stendi mpya akakubali kuacha alama ya Jina lake litumike. Akakumbuka kuwaombea wamachinga waendelee kuwepo kwenye hiyo stand. Hizo zote ni baraka ambazo zitamsaidia apokelewe vizuri na kiongozi wa Malaika.
Kuhusu ugojwa, alianza kuwapoteza baadhi ya wasaidizi wake kwa Ugonjwa wa shida ya kupumua hivyo sishangai hata yeye aliyekuwa na matatizo ya moyo kuugua. RIP
Kuna wakati chuo kikuu Dae es Salaam ili atibiwe moyo akiwa mwanafunzi wa MastersJe, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Yeye alikuwa na kinga ganil ili asipate corona??Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Mlinzi wake wanaesema kafa kaonekana leo mzima wa buheri ya afya.....Kosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa joseph Msukuma
Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa?
Kweni na yeye alikuwa na betrii!Mlinzi wake wanaesema kafa kaonekana leo mzima wa buheri ya afya.....
Hii block kitaalamu inaitwa "njia ya muongo fupi".
Acha uongo mlinzi yupi na lini alienda Nairobi sijui kwa nini mnamuamini yule mwehu wenu wa Ubelgiji akiwalisha upumbavuCorona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Acha uongo mlinzi yupi na lini alienda Nairobi sijui kwa nini mnamuamini yule mwehu wenu wa Ubelgiji akiwalisha upumbavu
Alipokwenda Malawi na Namibia sliongea Kisukuma?Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?