Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

..Magu anakwambia yuko ktk vita na mabeberu lakini anaishi kwa msaada wa pacemaker iliyotengenezwa na mabeberu. kwa kweli tanzania yetu huwa haiishi maajabu.
Hizi kelele za mabeberu for the most part ni mazingaombwe ya kushikia akili watoto na wakubwa wasiojitambua tu.
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
hakuna mlinzi aliefia kenya mkuu huyo aliezushiwa kaonekana leo pale taifa.
 
..kama ilikuwa siyo salama yeye kwenda nje kwasababu nchi ilikuwa ktk vita na mabeberu, mbona alikuwa akiwatuma makamu na waziri mkuu kumuwakilisha huko nje? ina maana ni hatari kwa raisi, lakini salama kwa makamu na waziri mkuu?
Ndio maana yake!
 
Ndio ujue kuna watu wanapita Dunia hii ili kuacha alama za kudumu bila kujali ugumu wa mapito yao. Wewe(mfano tu) unaweza kuishi miaka 99 na afya njema lakini siku ukifa unasahaulika jioni yake. Na wengine muda mfupi lakini alama wanazoacha ni za kudumu.
 

Less taxing in which ways? Physically? Mentally?
But that’s your preference and I’m fine with it.
2. No. But irrelevant. Death is not even a determining factor.

3. Again. Death is irrelevant here. Just a sickly disposition is enough to disqualify.
Okay. Fine. That’s your personal preference. But death is relevant. Even the constitution recognizes that.
Magufuli’s heart condition never prevented him from carrying out his responsibilities, though.
What is work as president? How was Magufuli limited to work as president?
5. If it is as serious as Magufuli’s, limiting a president from international travel, then yes.
International travel is part of the president’s job description? Per what?
Nope. Not at all . Your opinions are very misguided on this.

A selfish man wouldn’t want to serve others. A selfish man would be all about himself.

Magufuli served his country selflessly. An argument can be made that he even gave his life serving his country and his people.

He is, flaws and all, a true son of the soil.

Anyone who is willing to put his life on the line while serving his country should be revered. And that is not selfishness. Far far from it.

Dying is a natural thing. We’ve had a Vice President who died in office. Now we’ve had a president. I suspect this won’t be the last time a president or Vice President dies while still in office.

Death happens. The constitution recognizes that. It provides for a way forward for what to do should it happen.

He is dead. The country is still here. Intact.

It’s life. It goes on. And so on we go.
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona

Hizi porojo za Kigogo bado unaziamini hata baada ya kumuona Mlinzi leo akiwa buheri wa Afya?
 
Hizi porojo za Kigogo bado unaziamini hata baada ya kumuona Mlinzi leo akiwa buheri wa Afya?
Tatizo la Kigogo ndo hilo...

Taarifa zake nyingi ni za kuzichukulia kwa umakini na uangalifu maana ni pata potea.
 
Wakati mwingine ni vyema kuweka akiba ya maneno - unamsema the late JPM kuhusu kikombe cha mzee wa Loliondo - mbona kuna viongozi wengi kutoka Serikalini walikwenda huko hilo hamlisemi mmekazinia kumsema sema vibaya JPM kutokana na chuki zenu binafsi kuhusu mzalendo JPM R.I.P.
 
Wanavyomsema Magufuli utadhani ametenda kosa kwa kufa!

Yaani kwao kufa ni kama kosa vile!

SMH
 
Corona na ugonjwa wa moyo ni kama uji na mgonjwa,ukishakua na magonjwa sugu kama hili la jiwe na ukapigwa na coona hutoboi lazima parapanda italia tu.
Tupe pathophysiology kidogo mkuu ya correlation between COVID 19 na chronic illnesses
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Huyo mlinzi wake Leo alikua taifa Anaaga. Hizo Ni stories za Vijiweni. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Acheni unafiki

Facts

1.Magu lugha ilikuwa kikwazo kwake.

2.alikuwa mgonjwa wa Moto.

3.aliidharau corona

4 .Alikuwa mbabe hatari ukipita anga zake unapotelea mbali huko .

Punguzeni unafiki watanzania
Mnafiki ni wewe hapo
 
Corona haina dawa angalia ilivyomchukua Raisi mstaafu Nkurunziza fasta

Na yule Raisi mstaafu wa Somalia walimnywesha hadi juisi ya mirungi kumbe keshakata roho
Mkuu yule nkuruzinza mstaafu wa Burundi?
 
Tatizo la Kigogo ndo hilo...

Taarifa zake nyingi ni za kuzichukulia kwa umakini na uangalifu maana ni pata potea.

Ulishaona wapi mtu anakuwa na taarifa “nyeti” za Nchi kila baada ya dk 5,kama siyo mtu anajitungia tu kichwani na kuwalisha matango pori.
Kama ni uvumi wa afya ya Rais wengi walikuwa wanavumisha si Kigogo peke yake,so far ktk post zake 100 ni tatu tu zinaweza kuwa na ukweli tena siyo ukweli wote. 97 ni porojo tu.
 
..Magu anakwambia yuko ktk vita na mabeberu lakini anaishi kwa msaada wa pacemaker iliyotengenezwa na mabeberu. kwa kweli tanzania yetu huwa haiishi maajabu.

Hiyo “vita na mabeberu” au (maadui wa nje wasioutupenda na vibaraka wao wa ndani) ni textbook phraseology ya madikteta wote duniani. Hata Hitler na Stalin waliitumia sana kwa mafanikio yenye misiba mikubwa (tragic results).

Anyway, an embarrassing epoch has had its course. I pray we get saved from a repetition. RIP JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…