Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Alishiriki kikamilifu msiba wa
Masabuli
Mkapa
 
Apumzike kwa amani.

Ni kama vile ameondoka vizuri kiduchu. Maana alienda Morogoro kuzindua Soko kuu, akasamehe wale watumishi waliokuwa wanakula ela za vizinda (Hakuwatumbua akawaagiza warudishe fedha walizokuwa wanachukua). Akawashukuru watu wa Moro kwa kumpa kura nyingi kuliko mikoa yote

Kisha akarudi Dar kufungua Stendi mpya akakubali kuacha alama ya Jina lake litumike. Akakumbuka kuwaombea wamachinga waendelee kuwepo kwenye hiyo stand. Hizo zote ni baraka ambazo zitamsaidia apokelewe vizuri na kiongozi wa Malaika.

Kuhusu ugojwa, alianza kuwapoteza baadhi ya wasaidizi wake kwa Ugonjwa wa shida ya kupumua hivyo sishangai hata yeye aliyekuwa na matatizo ya moyo kuugua. RIP
 
Wanaelewa sana, wanajifanya tu hamnazo. Na Corona inawapenda kweli.
Wacha wafe Pumbavu zao.
 
Corona wengi waliomzunguka imewaua na mlinzi wake tunaambiwa, amefia Nairobi walikokua wanauguzana.
Moyo mbovu unapona vipi Corona
Hii mbona balaa[emoji22][emoji22]

Yule kibonge kafa?
 
Watanzania tumeshazoea kudanganywa. Tulidanganywa kabla ya uhuru, baada ya uhuru na hadi sasa tunadanganywa. Na kila tukidanganywa tunakunya na excuses za ku justify tulivyodanganywa. Wewe ulioleta hii topic hapa hata kama ingelitangazwa kuwa marehemu amefariki kwa maradhi ya kuharisha basi ungelikubali tu bila ya kuuliza masuali simple tu kuthibitisha ulichaombiwa. Kuna suali simple tu "kwa nini wananchi walifichwa na kudanganywa juu ya hali ya raisi wao kwa wiki nne, iwe alikuwa anasumbuliwa na maradhi yeyote yale, kwa nini viongozi walikana kuwa anaumwa? Kama nilivyosema sio kosa lako, ni jambo la mazoea. Unaishi nchi isiyokuwa na uhuru wa kuuliza, hakuna uhuru wa waandishi wa habari na hakuna uhuru wa mtu kujieleza hadharani.
 
Kujadiri ni kujifunza pia iwe kwa ubaya au wema

Kujadiri siyo lazima muwe wengi, hats mtu mmoja aweza jadiri Jambo ndani ya nafsi yake.

Kutafakari Jambo kunaleta majibu tofauti tofauti, ili kufapatajibu moja, lazima mtu ajadiri Jambo nafsini mwake.
 


Magufuli alikuwa na tatizo la moyo muda sana lakini corona ndiyo imesababisha tatizo kuwa kubwa mpaka kumwondoa hili halina mjadala. Corona sio ugojwa na mdudu ambaye analeta matatizo. Magufuli alikuwa na tatizo kubwa na mapigo ya moyo akawekewa kifaa pacemaker cha kusaidia mapigo hayo yakizidi tatizo Corona ilienda na kutibua michipa ya moyo na kufanya pacemaker isifanye kazi na kumpelekea kifo. Hivyo amekufa kwa tatizo la moyo lakini vilevile Corona ndiyo iliongeza hili tatizo. Ni kama cancer tu vitu vingine ndivyo vinakumaliza.

Seif naye kafa kwa kama magufuli lakini sababu ya kupata mpasuko wa damu ni corona
 
 
Waache waendelee kubisha tu , nilitegemea mama samia kuazia leo arudishe taifa katika harakati za ulimwengu atimue yule mama gwajima amrudishe ummy pale mapambano ya kisayansi yaendelee, na tahadhari ziendelee kuchukuliwa tusipokuwa makini huu ugonjwa utaendelea kutafuna utakavyo wait and see..
 
Kila alipotokea hadharani alikua na feni nyuma yake. Hakua anasimama muda mrefu. Na inawezekana miguu yake ilikua inavimba kila mara ndiyo maana alikua na kuda mwingi wa kufanyia kazi Chato akiwa amepumzika.
Feni? Feni ipi hiyo?
 
Sasa ndiyo napata jibu ni kwanini alikuwa hapendi kupanda ndege mara kwa mara, na kwa upande mwingine naona namna tulivyo muonea na kumhukumu mtu huyu bila kuujua ukweli!!
Kupanda ndege kunaathari kwenye afya ya moyo!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…