Pengine ni hivyoKwahiyo aliyafanya hayo personal zaidi bila kuzingatia matakwa ya sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pengine ni hivyoKwahiyo aliyafanya hayo personal zaidi bila kuzingatia matakwa ya sheria?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Sasa kama alikuwa na hilo tatizo halafu akawa anajijua kabisa kuwa afya yake ni kikwazo alikuwa hapaswi kugombea nafasi ya kuongoza nchi Ifahamike kwamba raisi wa nchi ndiye kichochezi cha maendeleo na usalama wa nchi husika sasa kama afya yake haiko sawa hauoni kuwa hiyo ni hatari kwa ustawi wa maendeleo na usalama pia kwa nchi anayo iongoza !?Sasa ndiyo napata jibu ni kwanini alikuwa hapendi kupanda ndege mara kwa mara, na kwa upande mwingine naona namna tulivyo muonea na kumhukumu mtu huyu bila kuujua ukweli!!
[emoji16][emoji16][emoji16] hata mimi hilo lilinishangaza sana baada ya kupata hizo taarifaKama alikuwa anajua hivyo zile pushapu alipiga za nini.
Huenda ndio zilisababisha hata neturo ya betri ikakata.
[emoji24][emoji24][emoji24]Keshamaliza zamu yake, bado yako na yangu, tengeneza maisha yako kabla hujatembelewa na umauti, haitasaidia kumsema vibaya zamu zetu ziko palepale iwe Kwa magonjwa ama ajali ama vyovyote vile
Mwacheni apumzike Jembe
Aliingia kwenye kinyang'anyilo cha Uraisi Kwa miujiza, kafanya kazi zake nyingi na kubwa Kwa miujiza na ametutoka Kwa miujiza kwani hakuna aliyefahamu kuwa ataondoka
Jamaa mzima walimzushia kifoHii mbona balaa[emoji22][emoji22]
Yule kibonge kafa?
Heee ulikuwa haujawahi kuona ...alikuwa anatembea na acc mpaka kwenye open space anawekewaFeni? Feni ipi hiyo?
Corona aggravates the situation. It severely attacks the weak and elders. Anyway RIP JPM.Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
magufuli kama yeye mwanaume angepambana na tundu lissu kwa hoja kikwete kafurahi kimoyomoyo magufuli kufa maana alimuonya hakusikia.afe tu kwani nani anapata hasaraPunguza Bangi na mirungu, Fuata ushauri wa dactari,
Tutakupoteza ukiendekeza ujinga
Halafu wewe vipi !? Unasema kwamba yeye mwenyewe alisema ndio alisema lakini alikuwa anapanda hizo ndege na kwenda huko abroad wakati gani na mwaka gani ... Je kama alifanya hizo trip miaka 15 ilyopitqa kabla hajawa raisi ... Pia yaweza kuwa alikuwa anakwenda halafu baadae akapatwa na hitilafu ndio madaktari wake wakaja kumshauri kuwa asiwe anapanda ndege na kusafiri umbali wa muda mrefuHuyo alikuwa yeye
Mbona Magufuli alikuwa anapanda sana, mwenyewe alisema amekwenda nchi nyingi sana Ulaya ikiwemo Canada, Ujeremani, Uingereza nk
Lakini kuna kitu ntamulaumu Raisi wetu ambacho kimechangia kifo chake kuwa cha mapema zaudi, ni ukaidi wa corona 19. pia alikua anasema msema ukweli ni mpenzi wa Mungu kwanini hakutarifu wananchi kwamba aliwekewa kidude (pacemaker) kwenye mwoyo.......huwezi kujitafutia pressure za bure kwa kuaanzisha hiyo miradi mikubwa na unajiwekea deadline ya kumaliza. JPM overworked his fragile heart, kufurahisha watanzania ila limemcost is life kiuzambe sanaa.........RIP JPMPamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
[emoji16][emoji16][emoji16]Anaishi nchi gani?
Well saidVetting ya Tanzania iko very poor,unaruhusu vipi mtu mwenye serious heart problems kuwa Rais wa nchi? imetucost sana
Basi haukuwa unafuatilia mambo vizuri [emoji16][emoji16][emoji16]Feni sikua naiona jamani [emoji23]
Ange kuwa muwazi basi tusimtanie!!! wewe unajua unaumwa unakuwa Rais hivi unajua hii kazi unatakiwa uwe na moyo km wa mwendawazimu!!! hapo hajatishiwa kupinduliwa!!!! si ndo angefia hapohapo!!Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Mliunganana na #Mataga kututukana mara zote tulipowaeleza kuhusu hizo heart problems...Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Vyote kwa pamoja... Na vinginevyoAlikuwa hajui kiingereza au hakuwa na rafudhi nzuri?