Hayati Magufuli alionesha mara kadhaa kuwa ni mgonjwa wa moyo

Kosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa joseph Msukuma

Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa?
Mmmhhh [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.

Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.

Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.

Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.

Naamini si CORONA Wala Mabeberu

Alale salama.

Unasema Kikombe cha Babu wa Loliondo alikinywa kutokana na Yeye kuwa na tatizo gani vile la Kiafya?
 
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.

Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.

Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.

Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.

Naamini si CORONA Wala Mabeberu

Alale salama.
Hii ni sawa lakini kwa tundulissu na kundi lake haimati amekufa na nini au nini mradi amekufa wao ni sawa tu wanasherejea. Kumbuka tundulissu aliambiwa na "reliable sources"bdani ya Ikulu na Nairobi kuwa rais alikuwa Nairobi halafu akapelekwa India, yeye alishaanza kusheherekea hata kabla Rais Samia hajatangaza rasmi. Ni hizi hizi reliable sources alizotumia kuiba nyaraka za mahakama ndege yetu ikakamatwa Canada. Kama Tanzania hatukumtenga tundulissu hatutajapata amani.
 
Yajayo yanafurahisha tour oumzi basi yaote yameisha
 
Hii ni sawa lakini kwa tundulissu na kundi lake haimati amekufa na nini au nini mradi amekufa wao ni sawa tu wanasherejea. Kumbuka tundulissu aliambiwa na "reliable sources"bdani ya Ikulu na Nairobi kuwa rais alikuwa Nairobi halafu akapelekwa India, yeye alishaanza kusheherekea hata kabla Rais Samia hajatangaza rasmi. Ni hizi hizi reliable sources alizotumia kuiba nyaraka za mahakama ndege yetu ikakamatwa Canada. Kama Tanzania hatukumtenga tundulissu hatutajapata amani.
Ila kuna ukweli kuwa kafa. Kaenda zake na wanaoenda huko hawarudi. Kafa na ugonjwa gani sio issue.
 
Kosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa joseph Msukuma

Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa?
Kufa mtakufa tu hata mbinuke alishaandikiwa mwisho wake utakuwa hivyo....period. Kelele miiiiiingi kama mtaishi milele vile
 
Je, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?

Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.

Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.

Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.

Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Kwahyo majuto ni mjukuu
 
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.

Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.

Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.

Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.

Naamini si CORONA Wala Mabeberu

Alale salama.
Mjane mbona kakataa kwamba mumewe alikuwa na ugonjwa wa moyo,ninyi hizi taarifa mmezipata wapi?Aisee jamaa walituaminisha kwamba Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la ugonjwa moyo, kumbe ilikuwa strategic.Wanadamu bwana,mhh,waone hivi hivi,wabaya kweli kweli.
 
DUH!
FAFANUA!
 
kuwapiga
Vyovyote vile.. afadhali ameondoka. Ametutesa sana yule.
Amewatesa wewe na nani mkuu,mimi kaa,hajanitesa.Mshahara wangu nilikuwa napata na biashara zangu nilikuwa nafanya.Aliwatesa wapigaji mkuu,na kama na wewe ulikuwa mpigaji pole.

Maadui wa nchi yetu,ndio walio-tuaminisha kwamba anatutesa,lakini actually sio kweli.They wanted to steal our resources,alipo-wawekea kauzibe,wakamuona mbaya.Walifanya hivyo kwa Lumumba,Nkrumah,Gadafi nk.na hawatasita kufanya hivyo kwa kiongozi yeyote mzalendo wa kweli.Ukiona mabeberu wanampenda kiongozi wenu,ujue anashirikiana nao kuwapiga,huo ndio ukweli mchungu.

Magufuli the Great,nenda muungwana,but your legacy will always remain in my heart.
 
... halafu hakupenda sana kusafiri nje ya nchi hususan long safaris; kwanza uchovu kwenye midege; pili maswali ya maudhi ambayo angeulizwa yangemuumiza sana! Mliokuwa mnahoji kwanini Magufuli alikuwa hasafiri jibu ndio hilo hayo mengine uzushi!
Hapo kwenye maswali ya kuudhi nakubali na inaweza kuwa ndo maana hakuutaka upinzani wa kisiasa hasa Vyama pinzani!!
 
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.

Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.

Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.

Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.

Naamini si CORONA Wala Mabeberu

Alale salama.
Nyie watu ni waPumbavu sana, mgonjwa hua anajulikana hana nguvu alizokua nazo JPM za kufanya kazi toka akiwa waziri ktk waizara kadhaa, nyie inawezekana ndiyo mlio tekeleza ushenzi na damu inawadai, sasa mna waya waya... Nakuambieni hamtakaa salama
 
Back
Top Bottom