Lakini alikuwa mpiga push-ups huyu akimbeza mamvi. Alikuwa akinyakua nyakua majukwaani pia.
Kuna vitu bado haviko sawa.
..halafu baada ya push-up zile anapumzika kufanya kampeni kwa wiki moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini alikuwa mpiga push-ups huyu akimbeza mamvi. Alikuwa akinyakua nyakua majukwaani pia.
Kuna vitu bado haviko sawa.
😂 😂 😂 😂Hapana,asifufuke.anaweza kung'ang'ania madaraka 🤣🤣🤣
Mmmhhh [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Kosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa joseph Msukuma
Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa?
Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Hii ni sawa lakini kwa tundulissu na kundi lake haimati amekufa na nini au nini mradi amekufa wao ni sawa tu wanasherejea. Kumbuka tundulissu aliambiwa na "reliable sources"bdani ya Ikulu na Nairobi kuwa rais alikuwa Nairobi halafu akapelekwa India, yeye alishaanza kusheherekea hata kabla Rais Samia hajatangaza rasmi. Ni hizi hizi reliable sources alizotumia kuiba nyaraka za mahakama ndege yetu ikakamatwa Canada. Kama Tanzania hatukumtenga tundulissu hatutajapata amani.Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Kawe AluminPole sana mwanawise chagu wa malunde
Yajayo yanafurahisha tour oumzi basi yaote yameishaPamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
Expert Member humu jamii forum aliwahi ulizwa swali kama hili mwaka 2015,,,ungefanya kupitia uzi huu Dr. John Pombe Magufuli anaumwa nini?Unasema Kikombe cha Babu wa Loliondo alikinywa kutokana na Yeye kuwa na tatizo gani vile la Kiafya?
Ila kuna ukweli kuwa kafa. Kaenda zake na wanaoenda huko hawarudi. Kafa na ugonjwa gani sio issue.Hii ni sawa lakini kwa tundulissu na kundi lake haimati amekufa na nini au nini mradi amekufa wao ni sawa tu wanasherejea. Kumbuka tundulissu aliambiwa na "reliable sources"bdani ya Ikulu na Nairobi kuwa rais alikuwa Nairobi halafu akapelekwa India, yeye alishaanza kusheherekea hata kabla Rais Samia hajatangaza rasmi. Ni hizi hizi reliable sources alizotumia kuiba nyaraka za mahakama ndege yetu ikakamatwa Canada. Kama Tanzania hatukumtenga tundulissu hatutajapata amani.
Kufa mtakufa tu hata mbinuke alishaandikiwa mwisho wake utakuwa hivyo....period. Kelele miiiiiingi kama mtaishi milele vileKosa kubwa kuliko yote aliyoyafanya ni alipoidharau corona na kufuata ushauri wa joseph Msukuma
Tulikuwa tunasema anajiamini nini au ameshachanjwa?
Kwahyo majuto ni mjukuuJe, yawezekana pia hayo matatizo yake ya moyo ndo yaliyomfanya asiwe anasafiri sana hususan nchi za nje?
Manake wakati mwingine ujinga unaweza ukamfanya mtu amhukumu kimakosa mtu mwingine.
Sisi tulikuwa tukitania ni kwa sababu alikuwa haongei vizuri Kiingereza na ndo maana alikuwa hasafiri sana kwenda nchi za nje.
Nimelifikiria sana hili suala na naona lina make sense.
Dah! I wish I knew he had some serious heart problems.
Mjane mbona kakataa kwamba mumewe alikuwa na ugonjwa wa moyo,ninyi hizi taarifa mmezipata wapi?Aisee jamaa walituaminisha kwamba Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la ugonjwa moyo, kumbe ilikuwa strategic.Wanadamu bwana,mhh,waone hivi hivi,wabaya kweli kweli.Pamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.
Magufuli kwa kutambua kwamba ana maradhi yasiyotibika alienda kupata kikombe cha miujiza kwa Babu wa Liliondo . Baadaye iligundulika kwamba kikombe kile ulikuwa usanii tu hivyo JPM aliendelea kuwa mgonjwa.
Pili kwa kutambua kwamba ana matatizo ya moyo- Magufuli Mara kadhaa amekuwa akijiepusha kushiriki katika masuala ya simanzi Kama misiba kwa sababu za kiafya.
Hii misiba ya karibuni hasa wa Balozi Kijazi bila Shaka ilimuathiri sana Magufuli.
Naamini si CORONA Wala Mabeberu
Alale salama.
DUH!Mjane mbona kakataa kwamba mumewe alikuwa na ugonjwa wa moyo,ninyi hizi taarifa mmezipata wapi?Aisee jamaa walituaminisha kwamba Hayati Magufuli alikuwa na tatizo la ugonjwa moyo, kumbe ilikuwa strategic.Wanadamu bwana,mhh,waone hivi hivi,wabaya kweli kweli.
Nifafanue nini,kwani haieleweki?DUH!
FAFANUA!
Amewatesa wewe na nani mkuu,mimi kaa,hajanitesa.Mshahara wangu nilikuwa napata na biashara zangu nilikuwa nafanya.Aliwatesa wapigaji mkuu,na kama na wewe ulikuwa mpigaji pole.Vyovyote vile.. afadhali ameondoka. Ametutesa sana yule.
Hapo kwenye maswali ya kuudhi nakubali na inaweza kuwa ndo maana hakuutaka upinzani wa kisiasa hasa Vyama pinzani!!... halafu hakupenda sana kusafiri nje ya nchi hususan long safaris; kwanza uchovu kwenye midege; pili maswali ya maudhi ambayo angeulizwa yangemuumiza sana! Mliokuwa mnahoji kwanini Magufuli alikuwa hasafiri jibu ndio hilo hayo mengine uzushi!
Nyie watu ni waPumbavu sana, mgonjwa hua anajulikana hana nguvu alizokua nazo JPM za kufanya kazi toka akiwa waziri ktk waizara kadhaa, nyie inawezekana ndiyo mlio tekeleza ushenzi na damu inawadai, sasa mna waya waya... Nakuambieni hamtakaa salamaPamoja na majonzi ya kuondokewa na Mh. Rais lakini ni vema tukakumbuka maisha aliyoishi.