Hayati Magufuli alipewaje Shahada ya Udaktari wakati alikuwa Msahaulifu na Muongo?

Hayati Magufuli alipewaje Shahada ya Udaktari wakati alikuwa Msahaulifu na Muongo?

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.

Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili zake na mashabiki wake zilivyo.

Huku anasema maendeleo hayana chama, kule anasema maendeleo yana chama. Yaani dakika 2 zilikiwa zinamtosha kusahau alichokosema.🤣🤣🤣

Ukabila ulimjaa. Alikuwa anahutubia na kutoa vitisho kwa kilugha.




 
Hahaha, kasau nini sasa?

Hapo ni mazingira mawili tofauti - Kuna sehemu anaongea kama mtawala na kuna sehemu anaongea kama mtafuta kura. Mwanasiasa hubadilika.
Ninavyowajua Wanasiasa mara VUUUUUP karudi... atasema, nawaambia mchana kweupe.. huyo sio MIMI....
 
Salaam Wakuu,

Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo...
Ila hana imani na vyama pinzani, kwa sababu alikuwa M/kiti wa wa chama thats why alisema ana weza kumshughulikia mtu wa chama chake kuliko wa chama kingine.
 
Mbona sijaona chochote kinachohusiana na shahada ya udaktari ya Magufuli. Na pia sijaona chochote alichosahau, naomba alieona anisaidie kunielewesha
 
Back
Top Bottom