Hayati Magufuli alipewaje Shahada ya Udaktari wakati alikuwa Msahaulifu na Muongo?

Salaam Wakuu,

Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.

Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili zake na mashabiki wake zilivyo.

Huku anasema maendeleo hayana chama, kule anasema maendeleo yana chama. Yaani dakika 2 zilikiwa zinamtosha kusahau alichokosema.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukabila ulimjaa. Alikuwa anahutubia na kutoa vitisho kwa kilugha.

View attachment 2432156
View attachment 2432157
View attachment 2432158
View attachment 2432186
Magufuli aliwashika pabaya sana,nimeamini sasa
 
Salaam Wakuu,

Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.

Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili zake na mashabiki wake zilivyo.

Huku anasema maendeleo hayana chama, kule anasema maendeleo yana chama. Yaani dakika 2 zilikiwa zinamtosha kusahau alichokosema.🤣🤣🤣

Ukabila ulimjaa. Alikuwa anahutubia na kutoa vitisho kwa kilugha.

View attachment 2432156
View attachment 2432157
View attachment 2432158
View attachment 2432186
Umeandika ushuzi mtupu. Kumbaf kwani ww ulidhani Magufuli ni Yesu!?
 
Salaam Wakuu,

Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.

Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili zake na mashabiki wake zilivyo.

Huku anasema maendeleo hayana chama, kule anasema maendeleo yana chama. Yaani dakika 2 zilikiwa zinamtosha kusahau alichokosema.🤣🤣🤣

Ukabila ulimjaa. Alikuwa anahutubia na kutoa vitisho kwa kilugha.

View attachment 2432156
View attachment 2432157
View attachment 2432158
View attachment 2432186
Magufuli 'hakupewa' aliisotea class. Aliyepewa ni yule bibi wa buza mwenye uwezo finyu kabisa kichwani
 
Salaam Wakuu,

Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.

Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili zake na mashabiki wake zilivyo.

Huku anasema maendeleo hayana chama, kule anasema maendeleo yana chama. Yaani dakika 2 zilikiwa zinamtosha kusahau alichokosema.🤣🤣🤣

Ukabila ulimjaa. Alikuwa anahutubia na kutoa vitisho kwa kilugha.

View attachment 2432156
View attachment 2432157
View attachment 2432158
View attachment 2432186
Mkuu wewe ndo hukuelewa....alipewa Shahada ya Udaktari wa MIFUGO, sasa kumtibu Punda kunahitaji kumbu kumbu? vipi bwana wewe?
 
Back
Top Bottom