Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.
Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili zake na mashabiki wake zilivyo.
Huku anasema maendeleo hayana chama, kule anasema maendeleo yana chama. Yaani dakika 2 zilikiwa zinamtosha kusahau alichokosema.🤣🤣🤣
Ukabila ulimjaa. Alikuwa anahutubia na kutoa vitisho kwa kilugha.
Usahaulifu ni sehemu ya maisha ya mwanadamu sababu hakuna aliyekamilka, chuki binafsi zisipelekee tukafanya kufuru kwa sababu sisi siyo malaika, na aliyekamilika ni Allah pekee.
Ila hana imani na vyama pinzani, kwa sababu alikuwa M/kiti wa wa chama thats why alisema ana weza kumshughulikia mtu wa chama chake kuliko wa chama kingine.