Hayati Magufuli alipewaje Shahada ya Udaktari wakati alikuwa Msahaulifu na Muongo?

Utakuwa na matatizo ya afya ya akili, unapambana na Magufuli hadi leo....!!!!!!!
 
It was a tragedy
 
Mkuu Hayati hakupata ushindi wa mezani kupata Phd yake bali aliipambania, jifunze kutofautisha ushindi wa mezani na ushindi unaopatikana baada ya kupambana

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Mizimu inakutafuna polepole,kifo chako kinakaribia, inaonyesha unachanganya na kuchanganyikiwa
 
Ana tofauti gani na yule Prof kutoka Madudu Kitete
 
Ungekua unajua vigezo vya kupewa Honoris Causa Degree usingeandika hizi Pumba ulizoandika.
Elimu Elimu Elimu Elimu by Don EDO
Ya magufuli haikuwa honoris causa bali by thesis
 
Udaktari wake ulikuwa sio wa kombolela aliandika brother tena Chuo kimuu cha Dar es salaam
 
Mm Ni mtu wa kazikasini ila magu alikubalika Kia's kwamba mm ambaye siyo msukuma nilimpenda na nilitamani nioe msukuma siku moja
 
Magufuli hakufaa kuwa Rais. Samia ni Better mara mia.
Hapna aise ach kumfananisha magu na Samia

Samia Ni Bora kweli kwa utawala wake ila magu is much better than Samia Mara 1000
 
Mwendakuzimu Kwa sasa anapata stahiki yake huko alipo
 
Ungekua unajua vigezo vya kupewa Honoris Causa Degree usingeandika hizi Pumba ulizoandika.
Elimu Elimu Elimu Elimu by Don EDO
Kwani ya Magufuli ilikuwa Honaris Causa? Ya kwake ni PhD proper na alifanya utafiti kwenye maganda ya korosho!
 
JPM atakumbukwa sio kwa PHD iliyotolewa na UDSM wala chuo chochote Duniani, JPM atakumbuka kwa udadisi, uthubutu, mwalimu, mhamasishaji na kiongozi aliyeamini kujituma ili kupata maendeleo. JPM atakumbukwa miaka ijayo kama kiongozi pekee aliyeona utapeli wa (COVID-19)ulioandaliwa kwa ustadi mkubwa na kuigharimu Dunia uhai wa watu kwa mamilioni.
Ukweli wa yale aliyoyasema kuhusu ulaghai wa gonjwa lililoitwa COVID-19 unaaza kuwekwa hadharani na huenda ndani ya miezi kadhaa ijayo kila mtu ataujua ukweli!.... Lakini uhai wa watu kwa mamilion waliopoteza maisha utalipwa na nani?.... Wengine tulisema tangu mwanzo kuwa ugonjwa huu umetengenezwa kwenye maabala na ni moja kati ya silaha za maangamizi!. Sasa mambo hadharani!! 😥

 
Magu hakupewa. Aliingia darasani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…