Hayati Magufuli alipigania maslahi ya taifa lake na wananchi wake. Mama Samia anapigania maslahi ya wanaCCM wajanja na mabeberu

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Nini kinaendelea hapa? Ni madili makubwa kwa ajili ya wanaCCM wajanja na wapigaji. Kwani haya makubaliano binafsi ya Rostam Azizi na wafanyabiashara wa Usa mpaka rais wa JMT awepo? Kuna kitu hapa ambacho hayati JPM asingekubali kifanyike.
20220424_200507.jpg
 
Iyo picha inafikirisha
Viongozi wetu hawana hata kalamu

Kazi ipo uko mbele
 
Nini kinaendelea hapa? Ni madili makubwa kwa ajili ya wanaCCM wajanja na wapigaji. Kwani haya makubaliano binafsi ya Rostam Azizi na wafanyabiashara wa Usa mpaka rais wa JMT awepo? Kuna kitu hapa ambacho hayati JPM asingekubali kifanyike.View attachment 2199251
Kabisa maraisi Bora waliwahi kuongoza TZ

NYERERE
MAGUFULI
KIKWETE
MKAPA

pia Maza anaupiga mwingi
 
Hivi vitu vinatia hasira kis*ng* yaani. Anyways ngoja tuwe wavumilivu... Ipo siku watalipia tena kwa gharama kubwa sana na ikibidi na wao watadhurumika.
 
Huyo mtu wa chattle ni fisadi kuliko rais yeyote awaye, siongei kwa mihemko Bali kwa mujibu wa CAG
Nini kinaendelea hapa? Ni madili makubwa kwa ajili ya wanaCCM wajanja na wapigaji. Kwani haya makubaliano binafsi ya Rostam Azizi na wafanyabiashara wa Usa mpaka rais wa JMT awepo? Kuna kitu hapa ambacho hayati JPM asingekubali kifanyike.View attachment 2199251
 
Nini kinaendelea hapa? Ni madili makubwa kwa ajili ya wanaCCM wajanja na wapigaji. Kwani haya makubaliano binafsi ya Rostam Azizi na wafanyabiashara wa Usa mpaka rais wa JMT awepo? Kuna kitu hapa ambacho hayati JPM asingekubali kifanyike.View attachment 2199251
Magufuli hakupigania maslah ya watanzania ZAIDI ya wasukuma wenzake,na pia mama Samia hakuna anachofanya...
Kwa kifupi NI hasara kuwa na CCM
 
Back
Top Bottom