Kibuzimzinga
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 209
- 247
Ahukumuye atahukumiwaNdio lipo neno katika biblia lisemalo mwenye haki akitawala nchi hufurahi!ila sidhani kama tumefika huko mama samia wa watu amejikuta ni rais by default je leo Mungu huyu mwenye upendo aanze kumwadhibu kwasababu ipi.
hiyo haijalishiMathayo 7:21-23
Ngoja uonje joto sasa na mvua hainyeshi njaa itakayokuja mwaka huu mbona tutakimbiana.Mcha Mungu anaweza kweli kuua mtu, acha masikhara wewe rudi kalinde kaburi la huyo mungu wenu anayekufa.
Thus unadumu milele, wangekuwa awahusiki yasingekuwepombna uizi unajirudia rudia miaka yote vp serikali inahusiana?
Kwenye hizi Mahakama za Chama cha Mapinduzi?
Thus unadumu milele, wangekuwa awahusiki yasingekuwepo
Ingekuwa ni uongo ungeshafanyiwa Kazi sababu ni kweli aibu imetamalakitatizo lenu ni moja kubwa! uongo uongo. haya yote ni matokeo ya siasa chafu mnazofanya za uchonganishi
hivi unaakili timamu kweli mpaka unauliza swali kama hilo? huyu mama ndiyo analeta mvua au ndiyo kaizuia isinyeshe kuweni na adabuKwahiyo huyu mama yenu anafurahia wamama wanavyohangaika na madumu na ndoo mtaani?
Kwamba anafurahia watu wanavyozurura na ndoo saa 8 usiku wakisaka maji?
Huyu mama yenu vipi aisee???Ni week ya nne sijayaona maji kwangu halafu yeye yupo anacheka cheka tu kusifia six park za vijana
Shame on her