Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mathayo 7:21-23Mwenzako alimtangaza Mungu na kulitaja jina lake hadharani, Je wewe umewahi kufanya hivyo? Hivi unadhani kati yako mkaa kimya unayempinga Mungu nani atakua na thamani mbele za Mungu?? Umewahi mkiri Mungu mbele za watu?? Hiyo ndio kanuni ya kwanza ya Mungu, kumkiri mbele za watu. Sasa mwenzako alimkiri mbele ya dunia.
Unachanganya mambo system ni society siyo mtu.Magufuli angekuwa mtu mzuri angeunda system ndo ifanye kazi si one man show..yeye akawa anakimbilia kujiwekea mfumo wa kutawala mpk afe.
Ccm ndo laana kwa taifa ili so chakufanya nikuiondoa ili tusonge mbele yaan karne ya 21 watu tunalilia maji kwel...
Mcha Mungu anaweza kweli kuua mtu, acha masikhara wewe rudi kalinde kaburi la huyo mungu wenu anayekufa.Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja...
Katiba ni Nini? kitu gani ni kiashiria Cha kufuatwa kwa katiba ....Wewe umefuata katiba wapi kwenye maelezo yako Cariha.Mcha Mungu gani huku alikuwa hafati katiba na watu kukutwa kwenye viroba?
Unafiki ni janga nchi hii
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Na ndio sababu hatupati maendeleo kwasababu ya unafikiMcha Mungu gani huku alikuwa hafati katiba na watu kukutwa kwenye viroba?
Unafiki ni janga nchi hii
Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
Una ushahid na maneno yako hayo ya vijiwenWatu walikuwa wanatekwa na kuuwawa kila siku nayo ilikuwa ni Neema na baraka sana.
Abambikiwe Kesi.
Yes kama matukio ni ya kujirudia na aina ya watu wanaotekwa wanafanana kwann tusiamini hivyo
Kwenye hizi Mahakama za Chama cha Mapinduzi?kifupi ni kwamba jamaa ni mropokaji, kwanza ana kesi zingine za kujibu arudi ajibu kesi zake
fools only believe in their own thoughts, their mouths are full of cursing and arrogance ndio maana sikushangai.Stupid!
Gwanda angepatikana mvua ingenyeshaRIP Ben Saanane