Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Magufuli angekuwa mtu mzuri angeunda system ndo ifanye kazi si one man show..yeye akawa anakimbilia kujiwekea mfumo wa kutawala mpk afe.
Ccm ndo laana kwa taifa ili so chakufanya nikuiondoa ili tusonge mbele yaan karne ya 21 watu tunalilia maji kwel?
Ok! by the way tumeachive nn kama taifa cha kuwa proud nacho 100%? HAKUNA..
•Elimu ni ya mkoloni..
•Maji ya kubaatisha..
•Umeme kero tu?
•Afya kama auna cash ya kutosha imekula kwako..
SO DISGUSTING!
 
Mwenzako alimtangaza Mungu na kulitaja jina lake hadharani, Je wewe umewahi kufanya hivyo? Hivi unadhani kati yako mkaa kimya unayempinga Mungu nani atakua na thamani mbele za Mungu?? Umewahi mkiri Mungu mbele za watu?? Hiyo ndio kanuni ya kwanza ya Mungu, kumkiri mbele za watu. Sasa mwenzako alimkiri mbele ya dunia.
Mathayo 7:21-23
 
Magufuli angekuwa mtu mzuri angeunda system ndo ifanye kazi si one man show..yeye akawa anakimbilia kujiwekea mfumo wa kutawala mpk afe.
Ccm ndo laana kwa taifa ili so chakufanya nikuiondoa ili tusonge mbele yaan karne ya 21 watu tunalilia maji kwel...
Unachanganya mambo system ni society siyo mtu.

Mtu hawezi kuunda system bali society inaunda system.
 
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa

Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja...
Mcha Mungu anaweza kweli kuua mtu, acha masikhara wewe rudi kalinde kaburi la huyo mungu wenu anayekufa.
 
Na kama kweli wewe mcha Mungu tumekatazwa kulalamika!wewe binafsi umechukua hatua gani ku rescue situation je umefunga na kuomba hata siku moja?
 
Mwenye kukumbuka nijuze.

Maana kwa kumbukumbu zangu finyu ndani ya Utawala wa JPM pia nyakati ngumu na kame zilikuwapo lkn hatukushudia haya ya leo.

Jamaa alikuwa katili sana lkn lilipokuja suala la uzembe kazini aliwanyoosha wazembe wote.

RIP JPM.
 
Aisee nimeamini marehemu si tu aliogopwa na wananchi wake bali pia nahisi hata mvua ilikuwa inamuoga ndiyo maana ilikuwa inanyesha tu bila mpangilio wowote.

Mara January,Oktoba hadi Juni ilikuwa inatandika tu 😂.

Haya sasa kulekule yaani hata manyunyu yanatudindia 😥.
 
Mwaka huu raisi mzanzibari mitanganyika kila kitu inalaumu, sasa mvua analeta Raisi au analeta MUNGU?
 
Back
Top Bottom