Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

Ila kwamvua jpm alitisha. Mpaka ziwa nyanza likavuka ukingo. Hata yale madaraja ya enzi za nyelele ya kupaki mameli ilibidi yaongezwe kimo
 
Watu mnakufuru sana na huyu mtu ambaye alikuwepo miongoni mwenu
 
Sawa mzee wa mito na maziwa chini ya ardhi!
 
Nenda kaishi huko kitovuni chattle
 
Kama utawala wake usingehisisha mateso na vifo Kwa wakosoaji wake, Kura zikahesabiwa bila kuibiwa, Leo hii Taifa lote lingekuwa linaimba wimbo mmoja.
 
Hadi mzige walikuwa wakimuogopa JPM [emoji23][emoji23]
Sio kwamba walikuwa wanamuogopa... soma maandiko vizuri, .mvua au ukame ilikuwa ni Neema au laana iliyokuwa inaletwa na Mungu kwa jambo fulani. Hata nzige. JPm mvua zilikuwa zinanyesha hata kama utawala wake ulikuwa na matukio probably alikuwa na kibari flani machoni pa Mungu...hawa masikini usifikili Mungu Huwa hawaoni wanavyokandamizwa...mtu akiwatetea, Mungu husikia. Sio coincidence utawala wa JPm ni mvua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…