Hatutaki kusikia habari ya yule shetani wenu, aliiharibu nchi kwa kuigawa, kuua raia anaowaongoza, kufanya ukatili wa kila aina mfano kuzuia ajira kwa miaka yake yote watanzania wanateseka mpaka leo, aliifisidi nchi mpaka mabilioni yanakutwa nyumbani kwake wala siyo benki, kutumia madaraka vibaya alivyotaka yeye. Tunamshukuru sana Mungu kutuondolea maana bado Mungu anaipenda nchi yetu. Alilinda rasilimali ipi, na je zile pesa alizofuja siyo rasilimali? Tumeambiwa pesa zingine ziko mpaka China. Mfuate huyo shetani wako alipo hakuna anayetaka kusikia habari zake. Aliharibu miji mikubwa, miji ilikuwa km kambi za wakimbizi, eti mtetezi wa wanyonge, kumbe alikuwa anawapumbaza tu, alikuwa mnafiki sana aliyejificha kwenye utetezi wa wanyonge.