#COVID19 Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

Ndio mkome kuwalisha watu sumu mkisingizia ati ni chanjo.

Usanii wenu wa machanjo na madawa ya ajabu ajabu utafika mwisho tu.

Kila mzazi ana haki ya kumlinda mtoto wake dhidi ya machanjo ya KIPUMBAFU kutoka kuzimu.
 
Mkt alishauri LOCKDOWN, ni Ujinga kujifungia ukafa NJAA, kuliko Kufa na Corona ukitafutia watoto chakula.

Corona Iko wap sasa ktk Nchi yangu TANZANIA?

Asante Mungu Kwa zawadi ya Magufuli uliyotupa. Amen
MBOWE ni wakala wa ibilisi akishirikiana na magenge ya ELITES nchini na nje ya nchi.

Yule ni nyoka kifutu aliyejificha kwenye chaka la DEMOKRASIA.
 
Unchosema ñi kweli, collateral damage ya kauli naaamuzi ya Magufuli ni mbaya sana na itakwenda vizazi na vizaz.

Yale magonjwa kama Polio na Ndui tuliyokuwa tumeyatokomeza miaka ya 197Os na 1990s yatarudi tu
Nyie ndio mang'ombe mliokuwa mnashangilia fumigation ya dawa za mende eti mjikinge na corona. Mazuzu kila kinachotokq kwa mzungu mnashangilia. Sasahivi analeta ushoga sasa anzeni kubinua
 
Nyie ndio mang'ombe mliokuwa mnashangilia fumigation ya dawa za mende eti mjikinge na corona. Mazuzu kila kinachotokq kwa mzungu mnashangilia. Sasahivi analeta ushoga sasa anzeni kubinua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo takwimu za waliochanjwa zinakaribiana sana na idadi ya wananchi ambao ni werevu sana, werevu wa kawaida na baadhi ya wajinga ambao wanaweza kuelimishwa.
 

Kwani alikataza hizo za surua na pepopunda?
 
Amen
 
Hizo takwimu za waliochanjwa zinakaribiana sana na idadi ya wananchi ambao ni werevu sana, werevu wa kawaida na baadhi ya wajinga ambao wanaweza kuelimishwa.
Werevu wa kunywa machanjo yenye sumu yanayogandisha damu?

Sheitwaan majnuun laanatulah!

Kafie kuzimu na machanjo yako feki.

MANGANAATAU MATHITHINYANA THE WITCH.
 
Mie nimechanja mara 2 na nilishaitwa ya 3 nimekataa. Mambo mingi nimepinga kuhusiana na JPM katika uhai wake, lakini hili la chanjo na covid-19 anaweza kuwa alikuwa juu ya mstari.

My speculation hizi chanjo ni kama sumu ya immune system, ukiweza pata upenyo kuikimbia basi fanya hivyo hususan kama umri wako sio juu ya 60 na huna tatizo lolote la kiafya kama mgonjwa wa sukari au moyo au mapafu basi sawa unaweza kimbilia chanjo.

Wanangu wote nimeweka mstari na hata mie mwenyewe sitaki tena kusikia suala la chanjo. Acha upate tuu hio covid na mwili utajenga kinga yenyewe.
 
Kila mchuma janga hula na wakwao.
 
Tundu Lisu amechanjwa lakini yuko karantini kea uviko huo huo
Kwani umeambiwa kuwa amekufa kama mwendazake?
Hakuna aliyewahi kusema kuwa chanjo inazuia mtu asiambukizwe. Chanjo zinapunguza uwezekano wa kuugua ugonjwa mkali, kulazwa hospitali au ICU na kufa sio kuambukizwa.
Elimika kama una akili, nenda kachanjwe, epuka misongamano kama unaweza, vaa mask ukiwa kwenye hadhara.
Kitu pekee kinachoweza kuzuia usiambukizwe ni kuvaa mask ya N95 wakati wote, kukaa mbali na watu wengine na kunawa mikono kila unapogusa kitu chochote.
 
[emoji1005] [emoji706]
 
Mtu kama Mathanzua kuachwa akieneza upotoshaji kuhusu chanjo hapa Jukwaani ni sehemu ya uhuru wa habari??! Sidhani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…