#COVID19 Hayati Magufuli alitia sumu masuala ya chanjo, Serikali nywesheni maziwa

Nakuona bwege ukiwa ubwegeni mwako

Sisi hatutako chanjo wewe na wanaohitaji wakabonue Wowowo zao wachomwe ili shoga zao mabeberu wafurahie
 
Mnakataa chanjo ya uviko 19 mnakubali dawa zao za Ukimwi. Hizo ni propaganda tuu.
Boss unaelewa kwanza kwanini chanjo inakataliwa au unakariri kuwa kila kitu ni propaganda. Chanjo hutengenezwa kwa phases na stage zakufuatwa pamoja na majaribio yakutosha mpaka ije ikamilike. Chanjo za covid 19 hazijakidhi vigezo husika kwakuwa zilitengenezwa haraka kusaidia kuzuia pandemic ya covid 19. Ila side effects za hizo chanjo hazijawa taken into account, ndiyo maana kuna vigezo havijazingatiwa hivyo kuzuia infection na kufa kwa tatizo la damu bado hujasaidia chochote. Acheni siasa, soma tatizo halisi linakuaga nini!!
 
Hata hizo dawa za ukimwi mnazotumia zina side effects lakini hamjali. Madawa ya ukimwi huwa yanaharibu mafigo na maini.
 
Chizi sana ww ..una matatizo ya akili upeleke milembe sio ujifanye unajua kuwaropokea watu . Pichu ww
YALE MACHANJO UCHWARA NI UCHAFU.

Kwa kikerewe huwa tunasema hivi:

ICHANJO YA KORONA NI BHUROFU.

THE GARBAGE FULL OF POISON.
 
Chanjo ya corona ni takataka kama takataka zingine tu.
 
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.

Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Kama umekubali kuwa jpm alitia sumu basi umekubali kuwa sa100 na seriksli yake ya kihuni watu awaipendi ndiyo maana nguvu ya marehemu jpm inafanya kazi
 
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.

Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli
Hii chanjo ya corona ilikua tofauti na hizo nyingine,ulishasikia wapi fanya chanjo upewe msaada?
Ile chanjo waliochanjwa ni vilaza.Raia marekani mpk wakawa wanapewa dola 100 kwa aliechanja

Ile ni takataka
 
Hata Mkuu wa Nchi wa sasa hajawahi kuchanja. Itafute ile video iliyokuwa staged eti anachanja. Chanjo ya Corona, ni biashara iliyokufa, wajinga wamepata hasara kubwa, maana kila mahali zimegomewa.
 
Magufuli alikuwa against chanjo kuwa zimeletwa kuua watu, na hakusema chanjo za Covid pekee, alilnga chanjo zote
Mimi hiyo ya Covid pia sijachanja, sipo katika kundi la wenye risk
Ila chanjo naamini inazuia magonjwa
Lete ushahidi aliposema chanjo zimeletwa kuua watu. Mbona mnasingizia hata marehemu habari za uongo? Mmetumwa na nani? Wanawalipa bei gani?
 
Hata huko zinapotoka Kuna mamilion ya watu wamezigomea chanjo. Nick minaj ni mmoja wa star mkubwa kuzigomea chanjo
Hao nao walimsikiliza Magufuli?
Mkuu unadhani watu wanaoamini ushirikina dhidi ya science wako Tanzania pekee ? Hata uko mbele pia kuna watu kama Jiwe
 
Chanjo hazifai. Ni masumu mabaya yasiyojulikana yametoka wapi na kwa malengo gani.

Kama una hamu na chanjo fika kituo kilicho karibu waambie wakupatie furushi zima ulinywe.
Ila kama taifa tulipitia kipindi kigumu sana kwenye utawala wa yule dhalimu. Nchi iweke misingi mizuri so mtu kama Jowe asije tokea tena
 
Magufuli alikuwa against chanjo kuwa zimeletwa kuua watu, na hakusema chanjo za Covid pekee, alilnga chanjo zote
Mimi hiyo ya Covid pia sijachanja, sipo katika kundi la wenye risk
Ila chanjo naamini inazuia magonjwa
Ila inabidi uwe na akili finyu ndiyo unaweza amini maneno ya Jiwe. Nchi ilirudi enzi za ujima chini ya utawala wake, sema Mungu ni mwema wakati wote akatuepusha na yule dhalimu bila kumwaga damu
 
Si huwa mnasema alikuwa hapendwi na hakuwa na wafuasi , ikawaje tena hao.wananchi wanaofuata mawazo yake ni akina nani?
Unadhani watu wenye akili kama zako uko mwenyewe? Mko wengi mkuu. Wajinga duniani ni wengi kuliko werevu
 
sweeden.PNG

jamaa alitia sumu paka Sweden alikua sio mtu mzuri
 
Alikuwa mshamba sana. Chanjo za surua, pepopunda, ndui n.k tumechanjwa hao wazungu walishindwa kuweka hizo sumu zao?
Madawa karibu yote tunaagiza nje, kwa nini wasiweke hizo sumu? Nguo pia?

vyakula, mfano ngano , mafuta, kumbe inatoka Ukraine, si wangeweka hizo sumu?

Ila ana wafuasi wengi waliomuamini,
Alikuwa punguani mwanasayansi asiyeamini sayansi. Aliamini madogori
 
Hata hizo dawa za ukimwi mnazotumia zina side effects lakini hamjali. Madawa ya ukimwi huwa yanaharibu mafigo na maini.
Unajua kwasababu zimekubaliwa kutumika pamoja na hizo consequences. Kwasababu the benefits outweigh the risks. Pia ukimwi ni end stage disease ila covid 19 sio. Pili chanjo huwezi ilinganisha dawa, dawa hutibu ila chanjo huzuia ugonjwa. Huwezi kuruka phase ya kutengeneza chanjo kama vile unatengeneza dawa. Dawa ni individual treatment ila chanjo ni mass prevention, hivyo ukiharibu chanjo unaweza angamiza taifa zima. Acheni concept za kuchanganya madawa na chanjo.
 
Propaganda hizo. Israel karibu nchi nzima wamechanja uviko 19 mbona taifa lao halijaangamia?
 
Hayati Magufuli kwa ushamba wake na kukosa exposure alijikuta anachafua hali ya hewa kuhusu chanjo. Alikuwa na imani duni kuhusu masuala ya chanjo.

Hali hiyo imechangia sana wananchi wamekuwa wakipuuza chanjo kwa imani potofu. Wananchi wengi wanaamini chanjo ni mpango wa kibeberu kuwaangamiza waafrika.

Serikali ya mama ina kazi ya kufanya kuondoa sumu aliyotia Magufuli

,C&p
Kama ni kuwazuia watu wasife na corona sioni tofauti kati ya wale waliochanjwa na wasiochanjwa.
Vinginevyo ni mitego tu ya kibeberu kutengeneza fursa ya kujitengenezea utajiri kwa mgongo wa raia wa dunia hii.

Clueless
 
Back
Top Bottom