Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

JK NYERERE aliwahi kusema "Hadhani kama jitahada zake za kujenga nchi ,Amejenga nchi ya Watu waoga sana(UJAMAA),kama imekuwa hivyo basi Mungu amsamehe sana,Hakuwa na nia hiyo: JPM alikuja kuthibitisha hilo,raia wengi kama siwote waoga mno,Wapinzani walikuwa desperate sana,Walikuwa hoi wanatapatapa kupata pa kushika,kiufupi ilibaki msumari wa mwisho upinzani wa vyama vya siasa kufutika,JPM angeliendelea na hakika upinzani wa vyama vya siasa ungelifutikaa:BTW JPM alikuwa MYOPIA,LOW INTELLINGE &
 
Yule alikuwa kubwa la ibliis
 
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.
 
Tunajua wazi mtu yoyote ana amapungufu, hata JPM alikua na mapungufu yake, lakini mtu yoyote pia anayemuona JPM ni kama alikua ni kiongozi asiyefaa, mtu huyo mwenye fikra hizo anapaswa akapimwe akili, ni hakika huyo ni kichaa na punde anaweza kuokota matakataka mitaani
 
He had stolen what ? Pls don't tell me about 1.5T because you failed to prove about it since he was alive.

The man left a legacy wether you like or not.
So you are questioning the integrity of our CAG?
 
Majizi na Wapiga deal ndiyo walikua wanaishi kwa uwoga kwenye utawala wa Jiwe! Lakini wale ambao walikua straight waliishi kwa rahaa sana kwa kujiamini na hakuna kuoneana na wale wote unanijua Mimi ni nani walipotea wote!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sikuwa mwizi.
Siku moja nipo kwenye bus usiku napitia jf. Mtu mmoja akanishika kichwa
Ana muonekano wa sukuma gang
Akasema nyie ndo tunawatafuta mnashinda humo jf kumsema raisi. Ili mkatishe juhudi zake ?
Mtakoma mwaka huu
 
Mbona tulipost Sana , pitia post zangu , mwendazake alitaka KILA mtu awe ccm , lakini nilitoa onyo Mara nyingi , sema tu serikali haina watu wakuchambua Mambo pitia mitandao, ila tu ukitukana ndo kazi inaanzia hapo , ila tiss msipuuze nguvu za mitandao nasema mtajua mengi lakin pia mtajifunza mengi, taifa kwanza ,
 
JK NYERERE aliwahi kusema "Hadhani kama jitahada zake za kujenga nchi ,Amejenga nchi ya Watu waoga sana(UJAMAA),kama imekuwa hivyo basi Mungu amsamehe sana.
Mzee Nyerere aliongea haya baada ya kuwa ameshaondoka madarakani ila angekuwa bado na madaraka hao watu majasiri sidhani kama hata angewapenda, sana sana wangepata tabu mno.

Wapinzani walihujumiwa waziwazi bila kificho hadi wengine kupotezwa, kunusurika kuuawa mpaka kukimbia nchi na hawakuwa na namna ya kubaki salama maana chuki dhidi yao ilikuwa dhahiri.
Tindo Yoda zitto junior JokaKuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…