Codeboy Breezy
Senior Member
- Nov 8, 2018
- 193
- 329
Hata sisi tutakufa mkuu😁Bora limekufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sisi tutakufa mkuu😁Bora limekufa
Habari Wana jukwaa,
JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,
Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,
Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji
Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.
Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,
Sasa tunapumua!
Acha kuhukumu Boss 😁Yule alikuwa kubwa la ibliis
Yaliyopita si ndwele tugange yajayo.Habari Wana jukwaa,
JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,
Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,
Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji
Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.
Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,
Sasa tunapumua!
Sawa tutakufa lakini yule alikuwa muovu,mpumbavu na mjivuni mkubwaHata sisi tutakufa mkuu😁
So you are questioning the integrity of our CAG?He had stolen what ? Pls don't tell me about 1.5T because you failed to prove about it since he was alive.
The man left a legacy wether you like or not.
Majizi na Wapiga deal ndiyo walikua wanaishi kwa uwoga kwenye utawala wa Jiwe! Lakini wale ambao walikua straight waliishi kwa rahaa sana kwa kujiamini na hakuna kuoneana na wale wote unanijua Mimi ni nani walipotea wote!!!Habari Wana jukwaa,
JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,
Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,
Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji
Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.
Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,
Sasa tunapumua!
take home msg is simple, he was a dictator!Now you call him a Dictator of century but by that time you used to call him "Dikteka uchwara" 🤣🤣🤣Dude that man had y'all on corner.
niliowakosea watanisema vibaya, najitahidi kutofanya mabaya yaliyopitiliza kama ya JiweUtapata faida gani kwa kumsema? Na je unaamini wewe ukifa leo kila mtu atakusema vizuri? (Naomba jibu)
StupidThe best dictator and thief
Mimi sikuwa mwizi.Majizi na Wapiga deal ndiyo walikua wanaishi kwa uwoga kwenye utawala wa Jiwe! Lakini wale ambao walikua straight waliishi kwa rahaa sana kwa kujiamini na hakuna kuoneana na wale wote unanijua Mimi ni nani walipotea wote!!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Tutalisema tu hata kutukana.Stupid
Wewe ulishaenda kwenye kaburi la mama yako.Tutalisema tu hata kutukana.
Dictator uchwara lazima lisemwe.
Anayekerwa afuate ushauri wa zitto
Nenda kwanza wewe. Ukirudi chato namm nitaenda.Wewe ulishaenda kwenye kaburi la mama yako.
Mbona tulipost Sana , pitia post zangu , mwendazake alitaka KILA mtu awe ccm , lakini nilitoa onyo Mara nyingi , sema tu serikali haina watu wakuchambua Mambo pitia mitandao, ila tu ukitukana ndo kazi inaanzia hapo , ila tiss msipuuze nguvu za mitandao nasema mtajua mengi lakin pia mtajifunza mengi, taifa kwanza ,Habari Wana jukwaa,
JPM alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami sana , ukiongea kwenye daladala ya mbezi temeke, unakamatwa,
Ukiwa kwenye vijiwe unashikwa,
Ukipost chochote against bwana yule umekwenda na maji
Hata hapa JF ilifikia kipindi watu wanatishiana maisha kabisa na kupotezwa mfano, Ben saanane.
Ni wakati ambao pia Sabaya alikamatwa na Id ya tiss na kesi kufutwa,
Sasa tunapumua!
Mzee Nyerere aliongea haya baada ya kuwa ameshaondoka madarakani ila angekuwa bado na madaraka hao watu majasiri sidhani kama hata angewapenda, sana sana wangepata tabu mno.JK NYERERE aliwahi kusema "Hadhani kama jitahada zake za kujenga nchi ,Amejenga nchi ya Watu waoga sana(UJAMAA),kama imekuwa hivyo basi Mungu amsamehe sana.
Wapinzani walihujumiwa waziwazi bila kificho hadi wengine kupotezwa, kunusurika kuuawa mpaka kukimbia nchi na hawakuwa na namna ya kubaki salama maana chuki dhidi yao ilikuwa dhahiri.Wapinzani walikuwa desperate sana,Walikuwa hoi wanatapatapa kupata pa kushika,kiufupi ilibaki msumari wa mwisho upinzani wa vyama vya siasa kufutika,JPM angeliendelea na hakika upinzani wa vyama vya siasa ungelifutikaa:BTW JPM alikuwa MYOPIA,LOW INTELLINGE &
Wewe mbona hukuuliwa?Nenda kwanza wewe. Ukirudi chato namm nitaenda.
Shetani wenu alishaondoka mlitesa na kuua sana watu kwa kisingizio cha uzalendo