Hayati Magufuli alitufanya Taifa la watu waoga,kila mtu alijihami na kujifanya TISS kwa kutishia wenzake

Hii Nchi ilikoswakoswa na yule Shetani.

Tumshukuru Muumba

 
Mimi sikuwa mwizi.
Siku moja nipo kwenye bus usiku napitia jf. Mtu mmoja akanishika kichwa
Ana muonekano wa sukuma gang
Akasema nyie ndo tunawatafuta mnashinda humo jf kumsema raisi. Ili mkatishe juhudi zake ?
Mtakoma mwaka huu
Chai ,wezi kama nyie haamuwezi kumpenda na kumuelewa jpm" the lion of africa" ata siku moja
 
Nadhani kosa la kutengeneza watanzania waliowaoga wala sio kosa la JPM bali lilikuwa kosa la Mwalimu mwenyewe na alilikiri na kuliombea msamaha kosa lake mpaka leo watanzania walio wengi ni waoga na wanaamini uoga wao utaondolewa na serikali kitu ambacho sicho na wasitegemee kuhusu hilo pia watanzania waliowengi huamini pia uoga wao utaondolewa na upinzani kitu mabacho sicho kwa kuwa uo mzigo wanaowatwisha upinzani ni mkubwa na wapinzani wa kweli wakuubeba huo mzigo wapo wachache mzigo unawaelemea jukumu la kuondoa uo uoga ni la watanzania wote wasioupenda uo uoga na njia pekee ni kupitia kuwaondosha watawala kwa njia si nyingine bali kwa njia ya mapinduzi tu .watawaliwa[ wananchi ] kuwa ondosha watawala[serikali ] ndipo uo uoga utaondoka kwa watanzania
 
Jambo la wakuwatesa na kuwaonea wale wasio mlengo mmoja na wewe kiongozi unaye ongoza sio sahihi na haikubaliki kwa kiongozi yeyote mwenye kutaka kuwa kiongozi bora na mfano wa kuigwa.

#Kiongozi yoyote anapaswa kuwa tendea sawa wale wote wano muunga mkono na wasio muunga mkono[emoji106][Leftists and Rightists]
 
Mtoa mada inaonekana ameruhusiwa leo kutoka MILEMBE HOSPITAL.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kumbeza JPM hata kidogo.
Kumbuka, mpaka sasa viatu vya JPM havimtoshi Bibie.
 
Ukipata nafasi ya kuwa Rais utafanya mageuzi gani muhimu na kwa nini, Mkuu? Tuanzie kwa kujibu swali hilo ili liweke uzito hoja zako za lawama.
 
Wanadai JPM alikuwa anakubalika!! Mimi nawauliza swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Hili swali lako hakuna hata mwanaccm mmoja atweza kulijibu mbunguni na duniani
 
Mtoa mada inaonekana ameruhusiwa leo kutoka MILEMBE HOSPITAL.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kumbeza JPM hata kidogo.
Kumbuka, mpaka sasa viatu vya JPM havimtoshi Bibie.
Mkuu unaweza kujibu hili swali? Kwanini Jpm aliamua kuiba uchaguzi 2019 na 2020 kwa namna ile? Au Ndio kukubalika😅😅
 
Mtoa mada inaonekana ameruhusiwa leo kutoka MILEMBE HOSPITAL.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kumbeza JPM hata kidogo.
Kumbuka, mpaka sasa viatu vya JPM havimtoshi Bibie.
Havi mtoshi kwa sababu siku hizi hakuna jogoo anaeuzwa laki moja bara barani Wala kufanya maigizo ktk misafara yake ya kugawa pesa na kuwapanga baadhi ya watu waeleze shida zao halafu wapewe pesa kwa mabunda bara barani
 
Tundu lissu alichomfanyia kule chato kipindi cha kampeni mwendazake hakuamini
Aisee ndio tulijua watanzania shida yao sio Viwanja na mabarabara tu. Wananchi walitaka Uhuru, amani na umoja.

Mkutano wa Chato wa Tundu Lissu uligubikwa na vimbwanga kibao hata hivyo watu walijaaa sana.
 
Na kwa ujinga huo ulionao utaendelea kuwa maskini tu. Endelea kumuabudu mungu wenu wa Chato
 
Utapata faida gani kwa kumsema? Na je unaamini wewe ukifa leo kila mtu atakusema vizuri? (Naomba jibu)
Hatasemwa vibaya kama uyu dikteta wenu ambaye leo uko jehanamu ni zamu ya kumuunguza kadudu kake
 
Anastahili Atangazwe rasmi Posthumous kwamba alikua Dictator. Mtu gani Muongo, Mlaghai wa watu na katiri kiasi kile aso na heshima hata kwa mke wake in public.

Eti mimi si mwanasiasa na siasa siijui ( kumbe kinafanya siasa kwa kuikana siasa hahahaa)

“ Haya ukaseme tena “ alisikika bwana yule

Sent by iPhone 13 pro using jf app [emoji28]
 
Jitu katili la roho za watu....
 
Mimi sikuwa mwizi.
Siku moja nipo kwenye bus usiku napitia jf. Mtu mmoja akanishika kichwa
Ana muonekano wa sukuma gang
Akasema nyie ndo tunawatafuta mnashinda humo jf kumsema raisi. Ili mkatishe juhudi zake ?
Mtakoma mwaka huu
Wwe ulikutana na tapeli akakupiga pesa kwa mgongo wa JPM! maana mwisho wa siku ulimpozaa akakuachia na wwe ukaridhika!!! Na wengi sana wamepigwa pesa kipindi Cha JPM kwa uzembee wao lakini lawama zote kwa John!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Mimi sikuwa mwizi.
Siku moja nipo kwenye bus usiku napitia jf. Mtu mmoja akanishika kichwa
Ana muonekano wa sukuma gang
Akasema nyie ndo tunawatafuta mnashinda humo jf kumsema raisi. Ili mkatishe juhudi zake ?
Mtakoma mwaka huu
Mi nafunguawaga hadi video ya ngono naangalia mwenyewe,ukipiga chabo shauri yako itakua JF kitu Cha Jamiii!? Kweli fala alikuonea bure I wish ningekuwepo nitowe hata elimu kidogo labda kungekuwepo na changes kidogo!!!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…