Hayati Magufuli alivyoalika wazee wa kimila Ikulu kupiga dua(kutambika) ili mvua zinyeshe

Wazee wa kimila ni neno la kupunguza ukakasi ru ila walitakiwa kuitwa wachawi tu
Nimecheka kama nawaona mlivyonyeshewa mvua
Ilikuwa kijijini so viatu tulivibeba mikononi afu maeneo yale kuna tope baada ya mvua kukatika MC aliomba wageni waalikwa wanawe hata miguu.
 
Kama umeanza tu kwa kuandika ushirikina ni imani, basi usipinge imani za wenzio, mambo ya mvua kunyesha au kutonyesha na sababu zake ndio imani zenyewe ambazo kila mmoja na zake.
 
Ipo siku utaelewa kuna jamaa alinunua gari kijijini akaandika bora mchawi kuliko mnafiki,siku alipojikuta amelala juu ya mbuyu alifuta yale maneno
 
Naona unajifariji na the so called legacy ya jpm😅
 
Hivi nyie mnao jiongelesha hapa mnajua siku ya send off au ndoa ni mangapi yanafanyika nvua isinyeshe?

Tatizo lenu mkishakulaga mkavimvea hamjui imekuwaje sherehe ikaisha vizuri.nyie ni kula tu na kulewa hamjui kazi kubwa inayofanyika usiku wa kuamkia sherehe.

Iko hivi sherehe ni kesho leo atatafutwa mtaalamu wa nvua akiamka asubuhi atafanya yake ila haruhusiwi kugusa maji siku hiyo hakuna kupiga hata mswaki.

Anavaki ndani siku nzima mpaka bibi harusi na wageni watakapo ondoka chakula anakula kwa kijiko hanywi hata maji.

Kama nadanganya wewe siku ya sherehe kwenu kawaulize shangazi zako na bibi zako kuna vibibi vinakaaga huko chumbani siku nzima havitoki hivyo vitaalamu.
 
Ni Lindi. "Alifukishwa"
 
Tofautisha kati ya Dini na ushirikina, Mama ni Muisilamu mzuri, hawezi kujiingiza kwenye ushirikina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…