Hayati Magufuli alivyoalika wazee wa kimila Ikulu kupiga dua(kutambika) ili mvua zinyeshe

Nikiri tu kuwa mimi nimezaliwa kwenye jamii zenye zinazodumisha mila zetu za asili(matambiko nisehemu ya maisha yetu).
Bibi yangu na babu yangu wapo vizuri.
Waliwahi kuniambia kuwa hakuna kazi nyepesi kama wa kuzuia au kuleta mvua.

Wazee wetu hawa wakiwa field huwa wanajaribiwa kwa hicho kitu,ukifeli unarudia somo.kuleta mvua au kuzuia mvua ni somo rahisi katika mitaala ya wazee wa kimila

Tangu uzaliwe ni lini ukaona mkutano wa vyama vya siasa ukavunjika kisa mvua?kwa taharifa yako mikutano hii huwa kuna kamati ya ufundi kuzuia mvua.

Hayati Magufuli baada ya kuingia madarakani aliwaita hawa wazee wa kimila (tamka wachawi)
toka kila mkoa Ikulu na kuwaambia kuwa anawapenda watanzania na asingependa kuona wanakufa njaa.hivyo aliwaomba wamsaidie kupiga dua(tamka kuroga) ili nchi iwe na mvua za kutosha.

Baada ya dua kila mzee alikutana na baasha nene ya kaki ikiwa na nauli na posho ya maana,

Wazee hawa hawakumuangusha ,mvua tuliziona,sasa mama Samia unafeli wapi?Babu yangu ni mmoja kati ya hawa wazee,mwaka wa pili sasa sijasikia simu yake kuwa anakwenda Dar au Dodoma Ikulu kupiga dua

Tangu mama aingie mjengoni mvua hazieleweki,sio mbaya kuiga mazuri ya JPM ,njaa zitatuua,mchele kilo 3500!!!
Kwaiyo unawapigia chapuo hao wazee wapate hela kwa utapeli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekulia mjini labda,huku mikoani mvua zinachezewa sana na sisi wazee wa kimila
Ushirikina ni imani. Na imani kama hizo zinatumika sana kuwapumbaza watu.

Nimezaluwa kijijini, na mpaka leo, naenda kijijini si chini ya mara 2 kwa mwaka. Sijawahi kushuhudia habari ya eti kuroga ili mvua ije, lakini Nyanda za Juu Kusini, ndiyo eneo linalipata mvua nyingi kuliko maeneo mengi ya Tanzania. Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ukijumuisha na mkoa wa Tuvuma (Kanda ya Kusini), ndiyo eneo linalozalisha zaidi ya 70% ya chakula chote Tanzania. Zamani mikoa hii iliitwa, the BIG FOUR (Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma).

Mikoa hiyo, hata sasa, pamoja na shida ya upungufu wa mvua nchi nzima, inaendelea kupata mvua, na bila shaka, itapata mavuno ya kuridhisha. Kwenye hiyo mikoa yote, hakuna habari ya kuroga eti ili mvua inyeshe.

Kuroga ni ushirikina. Kiimani, huenda mikoa hiyo inayotegemea sana ushirikina, inaweza kuwa inakosa mvua kutokana na ushirikina uliokithiri. Ukweli ni kwamba maeneo mengi ambayo wakazi wake wengi ni washirikina, huwa hakuna maendeleo.

Kisayansi, yawezekana maeneo yenye matatizo makubwa ya mvua yapo katika maeneo ambayo kutokana na mgandamizo wa hewa, pepo zenye unyevu hazivumi kuelekea huko. Lakini pia yawezekana ni kutokana na ukataji mkubwa wa miti.

Uchawi ni fikra. Uchawi hauwezi kukupa mafanikio ya kudumu. Mobutu, timu ya Taifa ya DRC ilipopata nafasi ya kucheza Kombe la Dunia, alikusanya wachawi 200 maarufu kwenye nchi yake ili wakaroge, wapate ushindi. Na wakamhakikishia kuwa hiyo ni kazi ndogo. Timu yao ikafungwa magoli 11. Kama wachawi wangekuwa na uwezo ambao baadhi ya wenye imani za kishirikina wanaamini, basi Afrika tungeishinda Dunia katika kila jambo. Kama uchawi unafabya kazi, basi kazi hiyo ni kumwangamiza mwandamu, ndiyo matatizo ya kila aina hujirundika Afrika.
 
Nikiri tu kuwa mimi nimezaliwa kwenye jamii zenye zinazodumisha mila zetu za asili(matambiko nisehemu ya maisha yetu).
Bibi yangu na babu yangu wapo vizuri.
Waliwahi kuniambia kuwa hakuna kazi nyepesi kama wa kuzuia au kuleta mvua.

Wazee wetu hawa wakiwa field huwa wanajaribiwa kwa hicho kitu,ukifeli unarudia somo.kuleta mvua au kuzuia mvua ni somo rahisi katika mitaala ya wazee wa kimila

Tangu uzaliwe ni lini ukaona mkutano wa vyama vya siasa ukavunjika kisa mvua?kwa taharifa yako mikutano hii huwa kuna kamati ya ufundi kuzuia mvua.

Hayati Magufuli baada ya kuingia madarakani aliwaita hawa wazee wa kimila (tamka wachawi)
toka kila mkoa Ikulu na kuwaambia kuwa anawapenda watanzania na asingependa kuona wanakufa njaa.hivyo aliwaomba wamsaidie kupiga dua(tamka kuroga) ili nchi iwe na mvua za kutosha.

Baada ya dua kila mzee alikutana na baasha nene ya kaki ikiwa na nauli na posho ya maana,

Wazee hawa hawakumuangusha ,mvua tuliziona,sasa mama Samia unafeli wapi?Babu yangu ni mmoja kati ya hawa wazee,mwaka wa pili sasa sijasikia simu yake kuwa anakwenda Dar au Dodoma Ikulu kupiga dua

Tangu mama aingie mjengoni mvua hazieleweki,sio mbaya kuiga mazuri ya JPM ,njaa zitatuua,mchele kilo 3500!!!
Bila picha n nn?
 
Kwa kweli Umeongea jambo kubwa sana ila Babu Yako alipigiwa simu aangalie Kwa call amuulize kipindi hichi Kuna tatizo gani mbona haitwi?
 
Vituko vya hangaya vipo vingi Sana tu.
Kwa vile uchawa umekujaa unapiga kimya.

Hangaya Ana loga hadharani kabisa,imefikia extents ikulu imegeuka Kama kilinge.

Sent from my Infinix X655C using JamiiForums mobile app
Akitoka madarakani tutamuandika,sijawahi kumsifia Hangaya na sijawahi kumponda,nakusanyamadodoso mpaka siku akitoka kitini
 
Ushirikina ni imani. Na imani kama hizo zinatumika sana kuwapumbaza watu.

Nimezaluwa kijijini, na mpaka leo, naenda kijijini si chini ya mara 2 kwa mwaka. Sijawahi kushuhudia habari ya eti kuroga ili mvua ije, lakini Nyanda za Juu Kusini, ndiyo eneo linalipata mvua nyingi kuliko maeneo mengi ya Tanzania. Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini ukijumuisha na mkoa wa Tuvuma (Kanda ya Kusini), ndiyo eneo linalozalisha zaidi ya 70% ya chakula chote Tanzania. Zamani mikoa hii iliitwa, the BIG FOUR (Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma).

Mikoa hiyo, hata sasa, pamoja na shida ya upungufu wa mvua nchi nzima, inaendelea kupata mvua, na bila shaka, itapata mavuno ya kuridhisha. Kwenye hiyo mikoa yote, hakuna habari ya kuroga eti ili mvua inyeshe.

Kuroga ni ushirikina. Kiimani, huenda mikoa hiyo inayotegemea sana ushirikina, inaweza kuwa inakosa mvua kutokana na ushirikina uliokithiri. Ukweli ni kwamba maeneo mengi ambayo wakazi wake wengi ni washirikina, huwa hakuna maendeleo.

Kisayansi, yawezekana maeneo yenye matatizo makubwa ya mvua yapo katika maeneo ambayo kutokana na mgandamizo wa hewa, pepo zenye unyevu hazivumi kuelekea huko. Lakini pia yawezekana ni kutokana na ukataji mkubwa wa miti.

Uchawi ni fikra. Uchawi hauwezi kukupa mafanikio ya kudumu. Mobutu, timu ya Taifa ya DRC ilipopata nafasi ya kucheza Kombe la Dunia, alikusanya wachawi 200 maarufu kwenye nchi yake ili wakaroge, wapate ushindi. Na wakamhakikishia kuwa hiyo ni kazi ndogo. Timu yao ikafungwa magoli 11. Kama wachawi wangekuwa na uwezo ambao baadhi ya wenye imani za kishirikina wanaamini, basi Afrika tungeishinda Dunia katika kila jambo. Kama uchawi unafabya kazi, basi kazi hiyo ni kumwangamiza mwandamu, ndiyo matatizo ya kila aina hujirundika Afrika.
Rudi Kwa Mungu toa neno uchawi weka Mungu

Then ujijibu mbn Mungu yupo mvua Amna nk
 
Niliwahi kuwa na mtazamo kama wako ila baada ya kuishi Njombe na Iringa nahitimisha kuwa uchawi upo na mvua inachezewa tu na wazee wataalamu.
 
Sasa hawa wazee wachezea mvuaunataka watajirike vipi

Kwanini wasichezee account za mabenki ili wapate hela? Sasa hivi kuna mabadiliko ya tabia nchi, hivyo hao wazee wanajua wanaishi kwenye jamii ya wajinga, hivyo wanawaambia wanaweza kuzuia mvua, na nyie Kwa vile ni jamii ya wajinga, mnaamini wana uwezo huo.
 
Back
Top Bottom