Hayati Magufuli alivyomponza Mfugale mpaka akafa kwa presha

Kapora pesa nyingi sana,aliposrma tunajenga kwa pesa za ndani ndio hizo sasa
Lilijenga nini sasa wakati lilipokufa liliacha deni la taifa trillions kadhaa. Jamaa lilikuwa bure tu hakuna chochote lilichofanya ispokuwa kujaza vyoo vya magogoni tuu
 
Fafanua vizuri. Kupotezwa Saa8 na Azory kunalinusuru taifa kivipi au dhidi ya nini?
Mataifa yaliondelea huwa hawana muda na kupoteza na mpuuzi mmoja mwenye kujenga viashiria vya uvunjifu wa Amani.
Pia bila kuwa na sauti moja yenye uzalendo katika nchi tunapotea.
Vikundi vinavyo ongozwa na watu Dezain kama Azori tuu nchi zingine wasinge sikika.Na hata hao S8 hawana umuhimu zaidi ya Tanzania.
Upuuzi na ujinga ni wakupinga siku zote.
 
Kupoteza mmoja mmoja kwa ajili ya Taifa hakuna shida.
Ni ni bora kugonga Bodaboda mmoja kwa ajili ya kunusuru ajali ya buss na kuua abiria wote.
Akili za kijinga hizo. Maisha ya mwanadamu sio kama mbuzi zizini. Kama mtu kakosea kuihujumu nchi sheria zipo na zifuatwe ashtakiwe sio kuvunja sheria kwa siri kumuazibu.
Ndio maana hata kifo cha jiwe inasemekana ni kuiponya nchi, lakini kama kuna anayehusika tunasema sheria ichukue hatamu kwani kama alikuwa tatizo zipo njia za kumtoa madarakani

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
na inaua akafa kwa presha na masikitiko moyoni

RIP Mfugale
Nani kakutuma?. Wajinga tu ndo wataamini huu upuuzi.

Nilikuwa ninaamini inawezekana ipite siku moja hajaongelewa magufuli kumbe haiwezekani.

Haya mjuzi wa mambo tuelezee na royo tuwa ikawaje............
 
Tulia dada kuwa mpole royotuwa itakuja SSH akishatoka madarakani
 
Unazungumza vitu usivyovijua jomba...Bora hata ungemuuliza hayo Rais wetu mama ambaye alikiri kuwa viatu vya Magufuli hawez kuvivaa..ni mkweli ambaye kwa ukweli huo ameendelea kutuongoza vyema sana
 
Kama sheria zipo mbona Putin yuko pale Moscow anaua kama njugu na hamsogei kumkamata.
 
Mi nafirikiri waambieni ukweli wananchi kinachoendelea, achaneni na magufuli.
 
Mithali 10:7
Kuwakumbuka wenye haki huwa na baraka; Bali jina la mtu mwovu litaoza.
"Siku moja, mtanikumbuka......."
 
Unazungumza vitu usivyovijua jomba...Bora hata ungemuuliza hayo Rais wetu mama ambaye alikiri kuwa viatu vya Magufuli hawez kuvivaa..ni mkweli ambaye kwa ukweli huo ameendelea kutuongoza vyema sana
Ni vizuri maviatu ya Magufuli hayajamtosha. Maviatu yananuka damu za akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu. Maviatu ya mtu MWONGO, mwizi, mropokaji na kichaa, nani anayataka?

Samia atavaa viatu vyake tu
 
Sheria zingine zinatucheleweshaaaaa
Mbavuuu
 
Ni vizuri maviatu ya Magufuli hayajamtosha. Maviatu yananuka damu za akina Ben Saanane, Azory Gwanda, Tundu Lissu. Maviatu ya mtu MWONGO, mwizi, mropokaji na kichaa, nani anayataka?

Samia atavaa viatu vyake tu
Hehehehe hiyo ndio definition ya mama Samia kumbe..nilikuwa sijui..uliongea nae lini..
Unajua we mama acha ujinga..mama Samia ni Rais wa heshima na tunampenda..usimwingizie mineno yako ya hovyo ya kishenzi unadhan Rais Ana akili kama yako..usilete utani kwa anachoongea Rais wetu..s.t.u.pd
 
Heeee kumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…