Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

Nimesema nyumba rasmi ya Rais.
Najua makazi ya rasmi ya Mkapa yalikuwa Sea view kabla ya kuwa Rais na yakaamia masaki na Lushoto baada ya kustaafu
 
Huyo jamaa alikuwa na laana, nakumbuka alimfukuza mtunza tausi kisa tu JK alimchomekea kwa utani kwamba tausi hawaongezeki.

Huyo mtu ana laana, ndio maana mvua hainyeshi, labda Mungu kaamua kumuunguza na ardhi kabla ya moto
Kwenye laana anaweza kuwa Rais ? Au wewe ni wale waliokosa Ubunge kwa tiketi ya Chadema ? Au vyeti feki ?
 
Huyo jamaa alikuwa na laana, nakumbuka alimfukuza mtunza tausi kisa tu JK alimchomekea kwa utani kwamba tausi hawaongezeki.

Huyo mtu ana laana, ndio maana mvua hainyeshi, labda Mungu kaamua kumuunguza na ardhi kabla ya moto
Huyo jamaa yako anaiharibu sana hii nchi.

Akipunguza ubinafsi ndio siku ambayo hii nchi tutapata maendeleo.
 
Murder most foul. Wamempikia rais matakataka wamemuua. Juzi hapa unakumbuka,nilikuwa nalalamika nasema TISS wamenisaliti,unakumbuka nikataja tatizo pale,ulikuwepo ugomvi mkubwa na wapishi. Nimekuwa ejected from the house for five days ,nasubiri hali iwe shwari.
Halafu unaniambia Magufuli kawafukuza kazi wapishi,you think I will not be able to connect the dots?
Niliandika posta hapa JF siku zile za mwanzo( hizi siku unazozizungumzia hapa), nikauliza hali ya rais iko vipi "wale Ikulu wanashindwa kumtunza rais? Useless chefs"
Gross incompetence. Yule jamiwa aliyrkuwa mpishi wa Mkapa,amehamishiwa hapa. Kwa hiyo mimi I know what I talking about.
Tazama afya ya ilivyokuwa. Tazama afya ya JK ilivyo sasa hivi.(Bhoke)
Munanka alikuwa ananiekeza siku moja,"ile ni kazi ya Intelligence,kwa hiyo wale watu lazima wawe intelligent."
 
Hujitambui ,utake usitake utaendelea kumuona magufuli ukiona reli,bwawa la umeme,bomba la mafuta,ikulu Dodoma yaani chuki zako ni za bure na ushamba.
 
Hujitambui ,utake usitake utaendelea kumuona magufuli ukiona reli,bwawa la umeme,bomba la mafuta,ikulu Dodoma yaani chuki zako ni za bure na ushamba.
South Africa makaburu walijenga zaidi ya hayo ila wakatimuliwa
 
Dah hatari
 
Dunia siyo yetu
 
Story za udaku zilizo tamalaki umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…