Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

Huyo jamaa alikuwa na laana, nakumbuka alimfukuza mtunza tausi kisa tu JK alimchomekea kwa utani kwamba tausi hawaongezeki.

Huyo mtu ana laana, ndio maana mvua hainyeshi, labda Mungu kaamua kumuunguza na ardhi kabla ya moto
Kww hiyo kipindi hiki ndo magufuli anatawala au samia
 
Ukimtukana mwenzako lazima ujue equation itabalance tu.Na ww lazima utatukanwa.Inasemekana huna kaz unashinda mitandaoni kumtukana na kumkashi marehemu ambaye hayupo duniani.Ww ni mpumbavu sana.
Mkuu, tinashinda wote hapa mtandaoni
 
Murder most foul. Wamempikia rais matakataka wamemuua. Juzi hapa unakumbuka,nilikuwa nalalamika nasema TISS wamenisaliti,unakumbuka nikataja tatizo pale,ulikuwepo ugomvi mkubwa na wapishi. Nimekuwa ejected from the house for five days ,nasubiri hali iwe shwari.
Halafu unaniambia Magufuli kawafukuza kazi wapishi,you think I will not be able to connect the dots?
Niliandika posta hapa JF siku zile za mwanzo( hizi siku unazozizungumzia hapa), nikauliza hali ya rais iko vipi "wale Ikulu wanashindwa kumtunza rais? Useless chefs"
Gross incompetence. Yule jamiwa aliyrkuwa mpishi wa Mkapa,amehamishiwa hapa. Kwa hiyo mimi I know what I talking about.
Tazama afya ya ilivyokuwa. Tazama afya ya JK ilivyo sasa hivi.(Bhoke)
Munanka alikuwa ananiekeza siku moja,"ile ni kazi ya Intelligence,kwa hiyo wale watu lazima wawe intelligent."
Huyu mwandishi sio mtoto wa mchonga kweli [emoji38]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom