Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

Huyo jamaa alikuwa na laana, nakumbuka alimfukuza mtunza tausi kisa tu JK alimchomekea kwa utani kwamba tausi hawaongezeki.

Huyo mtu ana laana, ndio maana mvua hainyeshi, labda Mungu kaamua kumuunguza na ardhi kabla ya moto
Kww hiyo kipindi hiki ndo magufuli anatawala au samia
 
Ukimtukana mwenzako lazima ujue equation itabalance tu.Na ww lazima utatukanwa.Inasemekana huna kaz unashinda mitandaoni kumtukana na kumkashi marehemu ambaye hayupo duniani.Ww ni mpumbavu sana.
Mkuu, tinashinda wote hapa mtandaoni
 
Huyu mwandishi sio mtoto wa mchonga kweli [emoji38]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Naona chef aliondoka na CV nzuri hawezi kukosa kazi huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…