Hayati Magufuli alivyomwondoa Profesa Assad kibabe bila kufuata sheria na taratibu

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
5,559
Reaction score
8,747
Halafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha Magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu

Pia soma Prof. Assad: Sikustaafu kuwa CAG bali niliondolewa kinyume na Katiba bila Kulipwa Mshahara miezi 6

Ebu angalia umafia magufuli aliomfanyia Professor assad
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato aa kumtafuta CAG mwingine."Ukisoma katiba inasema kustaafu ni miaka 60 au umri wowote utakaoelekezwa na sheria. Sheria ya ukaguzi inasema miaka 65 kwahiyo ukiisoma katiba moja kwa moja unaona kuwa haiwezekani kustaafu.

Na hili halikuwa jambo la hisia bali ni jambo la tafsiri ya katiba. Nikasema kwamba hapa kuna tatizo.""Nakumbuka nilikuwa Mwanza kwenye shughuli, akanipigia yuleyule Bwana aliyeniambia kuwa wameanza kutafuta CAG mpya, akaniambia unaenda kuondolewa kesho asubuhi na nina taarifa za ukweli kabisa kutoka kwenye Mamlaka. Nikashukuru tu na kusema hatukuzaliwa kukaa kwenye nafasi hizi, ikitokea mwenyenzi Mungu amejalia tuondoke tutaondoka tu. Imefika asubuhi Jumapili, kijana mmoja wa idara akanipigia kuniambia nimeona tangazo la Katibu Kiongozi kuwa saa moja baadae utaondolewa."

Jumatatu nikaenda Ofisini nikapaki gari yangu binafsi chini (IST nyekundu) nikaingia mapokezi, Kijana wa mapokezi ananiambia kuna watu juu Ofisini kwako nahisi hutoruhusiwa kuingia, nikwambia no, kwasababu leo ni tarehe nne na niliajiriwa tarehe tano basi bado mimi ni CAG technical, nikapanda juu ghorofa ya tatu, natokea tu pale nakutana na vijana wawili wanasema wameagizwa kukaa pale kulinda ofisi hivyo ni vigumu sana mimi kuingia, nilipowauliza maagizo yametoka wapi wakasema yametoka Ikulu. .... Kwakweli nilitoka pale nimekasirika kidogo kuhusu utaratibu wa kunifukuza Ofisini wakati sijamaliza muda wangu na sijapewa barua rasmi."
 
Kinachosangaza ni polepole alikuwepo na akukemea
Asad hana maarifa ya kufanya kazi haswa na watu smart,Kikwete alimuokota toka huko majararani bila hata kuwa na experience yoyote ya kupractice uhasibu au ukaguzi na kumpa majukumu makubwa zaidi ya uwezo wake,yaani kwa akili yake ilivyo Corporate politics hasingeziweza kabisa,yaani ndani ya mwezi mmoja tu angefukuzwa,akili ni pamoja na kujua kuishi na kiongozi wako,nimesikiliza ile podcast nimesikitika sana anavyojisifu kuhusu kukalili,na wala hana uadirifu huo mnaomvika,darasa la saba hakufaulu akanunua jina la Mussa,kws hiyo kama anaona shortcut hazifai angegoma kununua jina la mtu ili aweze kurudia darasa la saba
 
Sasa ulitaka kwenye podcast ajikandie, ajidharau na ajiponde wewe unaweza enda kwenye podcast ukajiponda na kujidharau

Corporate politics ndo kuisigina katiba
 
Sasa ulitaka kwenye podcast ajikandie, ajidharau na ajiponde wewe unaweza enda kwenye podcast ukajiponda na kujidharau
Mtu muadirifu inabidi aongee kwa kuweka mizani sawa,kuna swala ambalo nilimuona hii ni takataka ya jalalani alipoulizwa kuhusu uchumi kwa sasa ukoje akajibu "kwa kweli uchumi uko sawa tunafanya viziuri,mimi nakula vizuri kwa kweli tunafanya vizuri",swali lingine aliloulizwa akajibu upumbavu ni kuhusi mke wake wa sasa,akajibu mke wangu sio msomi,kitu ambacho alikiwa alikuwa hajaulizwa
 
Alafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu

Ebu angalia umafia magufuli aliomfanyia Professor assad
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato aa kumtafuta CAG mwingine."Ukisoma katiba inasema kustaafu ni miaka 60 au umri wowote utakaoelekezwa na sheria. Sheria ya ukaguzi inasema miaka 65 kwahiyo ukiisoma katiba moja kwa moja unaona kuwa haiwezekani kustaafu.

Na hili halikuwa jambo la hisia bali ni jambo la tafsiri ya katiba. Nikasema kwamba hapa kuna tatizo.""Nakumbuka nilikuwa Mwanza kwenye shughuli, akanipigia yuleyule Bwana aliyeniambia kuwa wameanza kutafuta CAG mpya, akaniambia unaenda kuondolewa kesho asubuhi na nina taarifa za ukweli kabisa kutoka kwenye Mamlaka. Nikashukuru tu na kusema hatukuzaliwa kukaa kwenye nafasi hizi, ikitokea mwenyenzi Mungu amejalia tuondoke tutaondoka tu. Imefika asubuhi Jumapili, kijana mmoja wa idara akanipigia kuniambia nimeona tangazo la Katibu Kiongozi kuwa saa moja baadae utaondolewa."

. Jumatatu nikaenda Ofisini nikapaki gari yangu binafsi chini (IST nyekundu) nikaingia mapokezi, Kijana wa mapokezi ananiambia kuna watu juu Ofisini kwako nahisi hutoruhusiwa kuingia, nikwambia no, kwasababu leo ni tarehe nne na niliajiriwa tarehe tano basi bado mimi ni CAG technical, nikapanda juu ghorofa ya tatu, natokea tu pale nakutana na vijana wawili wanasema wameagizwa kukaa pale kulinda ofisi hivyo ni vigumu sana mimi kuingia, nilipowauliza maagizo yametoka wapi wakasema yametoka Ikulu. .... Kwakweli nilitoka pale nimekasirika kidogo kuhusu utaratibu wa kunifukuza Ofisini wakati sijamaliza muda wangu na sijapewa barua rasmi."
Gentleman,
cheo ni dhamana ya umma ya muda tu,

Na kwa maslahi mapana ya taifa yeyote yule mwenye dhamana, anaweza kuondolewa kwenye nafasi yake wakati wowote ule na bila mbambamba yoyote.

kumbuka,
ni kwa maslahi mapana ya taifa 🐒
 
Alafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu

Ebu angalia umafia magufuli aliomfanyia Professor assad
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato aa kumtafuta CAG mwingine."Ukisoma katiba inasema kustaafu ni miaka 60 au umri wowote utakaoelekezwa na sheria. Sheria ya ukaguzi inasema miaka 65 kwahiyo ukiisoma katiba moja kwa moja unaona kuwa haiwezekani kustaafu.

Na hili halikuwa jambo la hisia bali ni jambo la tafsiri ya katiba. Nikasema kwamba hapa kuna tatizo.""Nakumbuka nilikuwa Mwanza kwenye shughuli, akanipigia yuleyule Bwana aliyeniambia kuwa wameanza kutafuta CAG mpya, akaniambia unaenda kuondolewa kesho asubuhi na nina taarifa za ukweli kabisa kutoka kwenye Mamlaka. Nikashukuru tu na kusema hatukuzaliwa kukaa kwenye nafasi hizi, ikitokea mwenyenzi Mungu amejalia tuondoke tutaondoka tu. Imefika asubuhi Jumapili, kijana mmoja wa idara akanipigia kuniambia nimeona tangazo la Katibu Kiongozi kuwa saa moja baadae utaondolewa."

. Jumatatu nikaenda Ofisini nikapaki gari yangu binafsi chini (IST nyekundu) nikaingia mapokezi, Kijana wa mapokezi ananiambia kuna watu juu Ofisini kwako nahisi hutoruhusiwa kuingia, nikwambia no, kwasababu leo ni tarehe nne na niliajiriwa tarehe tano basi bado mimi ni CAG technical, nikapanda juu ghorofa ya tatu, natokea tu pale nakutana na vijana wawili wanasema wameagizwa kukaa pale kulinda ofisi hivyo ni vigumu sana mimi kuingia, nilipowauliza maagizo yametoka wapi wakasema yametoka Ikulu. .... Kwakweli nilitoka pale nimekasirika kidogo kuhusu utaratibu wa kunifukuza Ofisini wakati sijamaliza muda wangu na sijapewa barua rasmi."
KIONGOZI MZURI NA MZALENDO NI YULE AMBAYE YUPO TAYARI KUVUNJA KATIBA AU SHERIA KWA AJILI HAKI ...HUYO HUYO PROFESA ASIDI NI TAKATAKA...YA MASJID IPO KWA MASLAI YAKE BINAFSI NA RAIA FEKI
 
Asad hana maarifa ya kufanya kazi haswa na watu smart,Kikwete alimuokota toka huko majararani bila hata kuwa na experience yoyote ya kupractice uhasibu au ukaguzi na kumpa majukumu makubwa zaidi ya uwezo wake,yaani kwa akili yake ilivyo Corporate politics hasingeziweza kabisa,yaani ndani ya mwezi mmoja tu angefukuzwa,akili ni pamoja na kujua kuishi na kiongozi wako,nimesikiliza ile podcast nimesikitika sana anavyojisifu kuhusu kukalili,na wala hana uadirifu huo mnaomvika,darasa la saba hakufaulu akanunua jina la Mussa,kws hiyo kama anaona shortcut hazifai angegoma kununua jina la mtu ili aweze kurudia darasa la saba

Nafikiri kichwa chako Leo hakiko sawa Mkuu hebu jitafakari
 
Mtu muadirifu inabidi aongee kwa kuweka mizani sawa,kuna swala ambalo nilimuona hii ni takataka ya jalalani alipoulizwa kuhusu uchumi kwa sasa ukoje akajibu "kwa kweli uchumi uko sawa tunafanya viziuri,mimi nakula vizuri kwa kweli tunafanya vizuri",swali lingine aliloulizwa akajibu upumbavu ni kuhusi mke wake wa sasa,akajibu mke wangu sio msomi,kitu ambacho alikiwa alikuwa hajaulizwa
Kuna watu walillamika kipindi cha magu uchumi ni mgumu mpaka magufuli akasema kama vyuma vimekaza vipakwe greese ila wako waliosema uchumi ni mzuri

Wakati huu wa samia wako wanaosema uchumi ni mzuri wengine mbaya

Swala la uchumi mzuri au mbaya ni debate sasa mtu akisema uchumi mzuri tofauti na matarajio yako usimwite takataka
 
Halafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha Magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu

Pia soma Prof. Assad: Sikustaafu kuwa CAG bali niliondolewa kinyume na Katiba bila Kulipwa Mshahara miezi 6

Ebu angalia umafia magufuli aliomfanyia Professor assad
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato aa kumtafuta CAG mwingine."Ukisoma katiba inasema kustaafu ni miaka 60 au umri wowote utakaoelekezwa na sheria. Sheria ya ukaguzi inasema miaka 65 kwahiyo ukiisoma katiba moja kwa moja unaona kuwa haiwezekani kustaafu.

Na hili halikuwa jambo la hisia bali ni jambo la tafsiri ya katiba. Nikasema kwamba hapa kuna tatizo.""Nakumbuka nilikuwa Mwanza kwenye shughuli, akanipigia yuleyule Bwana aliyeniambia kuwa wameanza kutafuta CAG mpya, akaniambia unaenda kuondolewa kesho asubuhi na nina taarifa za ukweli kabisa kutoka kwenye Mamlaka. Nikashukuru tu na kusema hatukuzaliwa kukaa kwenye nafasi hizi, ikitokea mwenyenzi Mungu amejalia tuondoke tutaondoka tu. Imefika asubuhi Jumapili, kijana mmoja wa idara akanipigia kuniambia nimeona tangazo la Katibu Kiongozi kuwa saa moja baadae utaondolewa."

Jumatatu nikaenda Ofisini nikapaki gari yangu binafsi chini (IST nyekundu) nikaingia mapokezi, Kijana wa mapokezi ananiambia kuna watu juu Ofisini kwako nahisi hutoruhusiwa kuingia, nikwambia no, kwasababu leo ni tarehe nne na niliajiriwa tarehe tano basi bado mimi ni CAG technical, nikapanda juu ghorofa ya tatu, natokea tu pale nakutana na vijana wawili wanasema wameagizwa kukaa pale kulinda ofisi hivyo ni vigumu sana mimi kuingia, nilipowauliza maagizo yametoka wapi wakasema yametoka Ikulu. .... Kwakweli nilitoka pale nimekasirika kidogo kuhusu utaratibu wa kunifukuza Ofisini wakati sijamaliza muda wangu na sijapewa barua rasmi."
Magufuli alikuwa shetani mkubwa
 
Asad hana maarifa ya kufanya kazi haswa na watu smart,Kikwete alimuokota toka huko majararani bila hata kuwa na experience yoyote ya kupractice uhasibu au ukaguzi na kumpa majukumu makubwa zaidi ya uwezo wake,yaani kwa akili yake ilivyo Corporate politics hasingeziweza kabisa,yaani ndani ya mwezi mmoja tu angefukuzwa,akili ni pamoja na kujua kuishi na kiongozi wako,nimesikiliza ile podcast nimesikitika sana anavyojisifu kuhusu kukalili,na wala hana uadirifu huo mnaomvika,darasa la saba hakufaulu akanunua jina la Mussa,kws hiyo kama anaona shortcut hazifai angegoma kununua jina la mtu ili aweze kurudia darasa la saba
Mitihani haina wasimamizi
 
Back
Top Bottom