Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Yaliyopita si ndwele
Yaliyopita si ndwele
Bwana Jaffary. Na zamani kurudia ama kukariri darasa ilikuwa ni kosa. Tena alichukua jina la mtu.Asad hana maarifa ya kufanya kazi haswa na watu smart,Kikwete alimuokota toka huko majararani bila hata kuwa na experience yoyote ya kupractice uhasibu au ukaguzi na kumpa majukumu makubwa zaidi ya uwezo wake,yaani kwa akili yake ilivyo Corporate politics hasingeziweza kabisa,yaani ndani ya mwezi mmoja tu angefukuzwa,akili ni pamoja na kujua kuishi na kiongozi wako,nimesikiliza ile podcast nimesikitika sana anavyojisifu kuhusu kukalili,na wala hana uadirifu huo mnaomvika,darasa la saba hakufaulu akanunua jina la Mussa,kws hiyo kama anaona shortcut hazifai angegoma kununua jina la mtu ili aweze kurudia darasa la saba
Aliulizwa hadharani kuhusu 1.5tn kama iliibwa akasema kwa kinywa kipana kwamba hakukuwa na wizi na hata juzi amesema.Assad alisema trillion 1.5 ndo kum-outshine your master
Fahamu assad hakuchaguliwa na magufuli na katiba imempa kinga CAG je hili unalifahamu
Aliulizwa hadharani kuhusu 1.5tn kama iliibwa akasema kwa kinywa kipana kwamba hakukuwa na wizi na hata juzi amesema.
Aonyeshe barua yake ya uteuzi ilisemaje?Halafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha Magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu
Pia soma Prof. Assad: Sikustaafu kuwa CAG bali niliondolewa kinyume na Katiba bila Kulipwa Mshahara miezi 6
Ebu angalia umafia magufuli aliomfanyia Professor assad
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato aa kumtafuta CAG mwingine."Ukisoma katiba inasema kustaafu ni miaka 60 au umri wowote utakaoelekezwa na sheria. Sheria ya ukaguzi inasema miaka 65 kwahiyo ukiisoma katiba moja kwa moja unaona kuwa haiwezekani kustaafu.
Na hili halikuwa jambo la hisia bali ni jambo la tafsiri ya katiba. Nikasema kwamba hapa kuna tatizo.""Nakumbuka nilikuwa Mwanza kwenye shughuli, akanipigia yuleyule Bwana aliyeniambia kuwa wameanza kutafuta CAG mpya, akaniambia unaenda kuondolewa kesho asubuhi na nina taarifa za ukweli kabisa kutoka kwenye Mamlaka. Nikashukuru tu na kusema hatukuzaliwa kukaa kwenye nafasi hizi, ikitokea mwenyenzi Mungu amejalia tuondoke tutaondoka tu. Imefika asubuhi Jumapili, kijana mmoja wa idara akanipigia kuniambia nimeona tangazo la Katibu Kiongozi kuwa saa moja baadae utaondolewa."
Jumatatu nikaenda Ofisini nikapaki gari yangu binafsi chini (IST nyekundu) nikaingia mapokezi, Kijana wa mapokezi ananiambia kuna watu juu Ofisini kwako nahisi hutoruhusiwa kuingia, nikwambia no, kwasababu leo ni tarehe nne na niliajiriwa tarehe tano basi bado mimi ni CAG technical, nikapanda juu ghorofa ya tatu, natokea tu pale nakutana na vijana wawili wanasema wameagizwa kukaa pale kulinda ofisi hivyo ni vigumu sana mimi kuingia, nilipowauliza maagizo yametoka wapi wakasema yametoka Ikulu. .... Kwakweli nilitoka pale nimekasirika kidogo kuhusu utaratibu wa kunifukuza Ofisini wakati sijamaliza muda wangu na sijapewa barua rasmi."
Wala hakusema kwamba haIkuonekana. Alijichanganya mwenyewe kwenye taarifa zake...hazikuibwa lakini hazionekani.
..na alivyotaka kukagua uuzwaji wa nyumba za serikali akafungiwa milango.
Jaffary!Kwahiyo Jina lake halisi ni nani?
Wala hakusema kwamba haIkuonekana. Alijichanganya mwenyewe kwenye taarifa zake.
Jaffary!
Aliiba nafasi ya mtu!..that is not a big deal.
..amebadili jina tu, hakuiba vyeti vya mtu yeyote.
..pia amefaulu mitihani yake ndani, na nje ya nchi.
Aliiba nafasi ya mtu!
Hakubadili jina bali aliiba jina la mtu. Zamani hakukuwa na utaratibu wa kukariri darasa, ukifeli basi unaenda kulima. Sasa kuna wanafunzi wengine walikuwa wameandikishwa shule ila ni watoro, hivyo ukitaka kurudia unafanya “mpango” na mwalimu mkuu anatafuta jina la mwanafunzi ambaye haji shule basi unapewa hilo jina. Ilikuwa huwezi kuanzia darasa la nne ama tano bila kuwa uliandikishwa darasa la kwanza. Hakubadili jina, aliiba jina...hapana.
..alibadili jina toka Jaffari Assad, na kuwa Mussa Assad, ili awe kupata nafasi nyingine kufanya mtihani wa darasa la 7.
..Na toka amebadili jina amefaulu darasa la 7, kidato cha 4, cha 6, Udsm, na PhD nje ya nchi.
Hakubadili jina bali aliiba jina la mtu. Zamani hakukuwa na utaratibu wa kukariri darasa, ukifeli basi unaenda kulima. Sasa kuna wanafunzi wengine walikuwa wameandikishwa shule ila ni watoro, hivyo ukitaka kurudia unafanya “mpango” na mwalimu mkuu anatafuta jina la mwanafunzi ambaye haji shule basi unapewa hilo jina. Ilikuwa huwezi kuanzia darasa la nne ama tano bila kuwa uliandikishwa darasa la kwanza. Hakubadili jina, aliiba jina.
Eric Kabendera yupo? Mbona kimya au yaliyojiri 29 October ayamuhusu?Magu aliwahi kuvaa pajama na kumfuata mama Abdul usiku wa manane ili apewe utamu. (Kasome kitabu cha Erick Kabendera).
Hapana Wasukuma ni washamba, malimbukeni, wengi waoMagufuli alikuwa shetani mkubwa