Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 822
- 2,023
Nchi yetu hii ukiwa mkubwa unaweza kuvunja Sheria na usifanywe kitu Hadi unakufa... typically nchi ya "MANYANI"
Mbaya zaidi mahakama zipo na hazifanyi chochote au kutoa tamko loloteNchi yetu hii ukiwa mkubwa unaweza kuvunja Sheria na usifanywe kitu Hadi unakufa... typically nchi ya "MANYANI"
Kwamba katiba haijawahi kwenda kinyume na haki za raia? Mbona wewe ndio unaonesha kituko? Hujui kuwa wezi wengi wanalindwa na katiba!?Uvunje katiba alafu mda huo huo uwe mzalendo mbona hiki ni kituko
Katiba inaandikwa na watu hiko kipengele kinaweza ondolewaKwamba katiba haijawahi kwenda kinyume na haki za raia? Mbona wewe ndio unaonesha kituko? Hujui kuwa wezi wengi wanalindwa na katiba!?
Kabendera kaandika mengi sana kwenye kile kitabu chake. Kaandika pia kuwa Magu alimfyatulia bastola na kumuua Ben Sa8 kwa mkono wake.Habari ile ni ya uongo
Nawewe uliamini?Kabendera kaandika mengi sana kwenye kile kitabu chake. Kaandika pia kuwa Magu alimfyatulia bastola na kumuua Ben Sa8 kwa mkono wake.
Kwani mdhibiti mkuu alianza kufanya kazi kipindi cha jpm tu mbona ufisadi ulikuwepo kabla hata ya jpm kwa nini waislamu wapumbavu mnataka kutuaminisha kuwa ufisadi ulianza kwa jpm na huyo mpuuzi asidi mbona azingumzii ufisadi wa mwingineo zaidi ya madai yake ya kianithi ya till 1.7 tu ...kumbuka kuwa jpm alianza kuongoza bajeti ikiwa imeachwa na fisadi kikwete hivyo pesa aliyo pata kwa kudhibiti ufisadi alielekeza moja kwa moja kwenye maendeleo ndiyo maana ya force accountMdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ndiye mtu pekee anayetambuliwa na Katiba ya Tanzania kuthibisha wizi wa pesa za walipa kodi.
Taarifa yake ni Official Document huwezi kuifuta kwa maneno tu kutoka hapo kwenye Klabu ya Dengeluwa na Kimpumu.
Kukiondoa ni mchakato, kabla ya kukamilika kwa huo mchakato mwenye Hekima atakikiuka ikiwa tu kinatishia Ustawi wa Umma.Katiba inaandikwa na watu hiko kipengele kinaweza ondolewa
Magufuli pekee yake ndo aliyemtishia CAG na kumfuta kazi kibabe watangulizi wake kama kikwete, mkapa hawakuwahu kumtishia CAG kama alivyofanya magufuliKwani mdhibiti mkuu alianza kufanya kazi kipindi cha jpm tu mbona ufisadi ulikuwepo kabla hata ya jpm kwa nini waislamu wapumbavu mnataka kutuaminisha kuwa ufisadi ulianza kwa jpm na huyo mpuuzi asidi mbona azingumzii ufisadi wa mwingineo zaidi ya madai yake ya kianithi ya till 1.7 tu ...kumbuka kuwa jpm alianza kuongoza bajeti ikiwa imeachwa na fisadi kikwete hivyo pesa aliyo pata kwa kudhibiti ufisadi alielekeza moja kwa moja kwenye maendeleo ndiyo maana ya force account
Mbona amesema kuna waziri kijana wa serikali hii ni billioneaPumbavu wewe hujui kuwa Assad alikuwa project ya Mafisadi ?umemsikia leo akilalamikia serikali ya Samia ? mambo mengine usiwe unayaleta hapa haya ni mambo ya kumsimulia mkeo mkifiran chumbani ! unasikia wewe RAIS MTARAJIWA WA AWAMU YA 9 ?
Upigaji unaoendelea sasa hivi huuoni? Mbona upo kimya. Ungetumia nguvu unayotumia kupinga ufisadi mkubwa na wa kutisha unaendelea sasa, ufiraji, ubakaji, utekaji, utesaji, kupoteza watu, ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, mauaji ya 29/09/25.Magufuli pekee yake ndo aliyemtishia CAG na kumfuta kazi kibabe watangulizi wake kama kikwete, mkapa hawakuwahu kumtishia CAG kama alivyofanya magufuli
Tokea tupate uhuru haijawah tokea trillion 1.5 haina maelezo ilitokea wakati wa magufuli
sikuhizi hata majambazi, vibaka ni wazalendo siwezi kushangaa...Haki gani unayoizungumzia iliyotumika hapo...Wakati kiongozi anakuonesha mapungufu yaliyopo kwenye KATIBA wewe unasema Mzalendo...Tumia akili...sheria na haki ni vitu viwili tofauti kabisa ...katiba pia ni sheria ila katiba haina maana ni haki ....hivyo mzalendo ni yule aliye tayari hata kuvunja katiba au sheria kwa ajili ya haki na taifa ..
MIMI HUWA NAMDHARAU SANA MTU ANAYE SEMA UTAWALA BORA NI UTAWALA UNAOFUATA SHERIA NA KATIBA ...MTU AKISEMA HIVYO HUYO NAMWEKA KWENYE KUNDI LA MAANISI WA AKILI ...KUMBUKENI KUWA HAKI NA SHERIA NI VITU VIWILI TOFAUTI ...
Kwani mdhibiti mkuu alianza kufanya kazi kipindi cha jpm tu mbona ufisadi ulikuwepo kabla hata ya jpm kwa nini waislamu wapumbavu mnataka kutuaminisha kuwa ufisadi ulianza kwa jpm na huyo mpuuzi asidi mbona azingumzii ufisadi wa mwingineo zaidi ya madai yake ya kianithi ya till 1.7 tu ...kumbuka kuwa jpm alianza kuongoza bajeti ikiwa imeachwa na fisadi kikwete hivyo pesa aliyo pata kwa kudhibiti ufisadi alielekeza moja kwa moja kwenye maendeleo ndiyo maana ya force account
Wewe anithi wa akili ...nimekuuliza ndege na sgr ya umeme na Bwana la Nyerere xilijengwa kwa pesa gani haujanijibu ...huyo Asadi ni mpuuzi wa masjid hakuna Muislamu mwenye akili ...kwanini anaongelea tukio moja tu la till 1.5 na mengine yote kayanyamazia ...unajua magaidi ya masjid yameua watanganyika wa ngapi Oct 29 ? Zaidi ya watu elfu 8 wameuliwa na magaidi.Una ya akili ya ovyo sana kijana.
Kwahiyo kama ufisadi Ulikuwepo kwenye tawala za nyuma ulitaka CAG akalie kimya wizi wa 1.5Tr mlizokwapua?
Tawala za nyuma zote zimekaguliwa na taarifa zake zipo.
Lakini hapa tunajadii ukaguzi uliotokana na matumizi ya serikali ya mwaka 2016-2017.
Kukusaidia usiwe unaingiza udini kwenye mambo ya kitaifa.
NAkupa nukuu kutoka kitabu cha Kabendera. Hizi siyo porojo za vijiweni.Nawewe uliamini?
Punguza makasiriko binti.Wewe anithi wa akili ...nimekuuliza ndege na sgr ya umeme na Bwana la Nyerere xilijengwa kwa pesa gani haujanijibu ...huyo Asadi ni mpuuzi wa masjid hakuna Muislamu mwenye akili ...kwanini anaongelea tukio moja tu la till 1.5 na mengine yote kayanyamazia ...unajua magaidi ya masjid yameua watanganyika wa ngapi Oct 29 ? Zaidi ya watu elfu 8 wameuliwa na magaidi.
Huyo Mzee alistahili kuondolewa.Alikuwa anatumika kuhujumu Serikali ya JPM.Halafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha Magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu
Pia soma Prof. Assad: Sikustaafu kuwa CAG bali niliondolewa kinyume na Katiba bila Kulipwa Mshahara miezi 6
Ebu angalia umafia magufuli aliomfanyia Professor assad
👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato aa kumtafuta CAG mwingine."Ukisoma katiba inasema kustaafu ni miaka 60 au umri wowote utakaoelekezwa na sheria. Sheria ya ukaguzi inasema miaka 65 kwahiyo ukiisoma katiba moja kwa moja unaona kuwa haiwezekani kustaafu.
Na hili halikuwa jambo la hisia bali ni jambo la tafsiri ya katiba. Nikasema kwamba hapa kuna tatizo.""Nakumbuka nilikuwa Mwanza kwenye shughuli, akanipigia yuleyule Bwana aliyeniambia kuwa wameanza kutafuta CAG mpya, akaniambia unaenda kuondolewa kesho asubuhi na nina taarifa za ukweli kabisa kutoka kwenye Mamlaka. Nikashukuru tu na kusema hatukuzaliwa kukaa kwenye nafasi hizi, ikitokea mwenyenzi Mungu amejalia tuondoke tutaondoka tu. Imefika asubuhi Jumapili, kijana mmoja wa idara akanipigia kuniambia nimeona tangazo la Katibu Kiongozi kuwa saa moja baadae utaondolewa."
Jumatatu nikaenda Ofisini nikapaki gari yangu binafsi chini (IST nyekundu) nikaingia mapokezi, Kijana wa mapokezi ananiambia kuna watu juu Ofisini kwako nahisi hutoruhusiwa kuingia, nikwambia no, kwasababu leo ni tarehe nne na niliajiriwa tarehe tano basi bado mimi ni CAG technical, nikapanda juu ghorofa ya tatu, natokea tu pale nakutana na vijana wawili wanasema wameagizwa kukaa pale kulinda ofisi hivyo ni vigumu sana mimi kuingia, nilipowauliza maagizo yametoka wapi wakasema yametoka Ikulu. .... Kwakweli nilitoka pale nimekasirika kidogo kuhusu utaratibu wa kunifukuza Ofisini wakati sijamaliza muda wangu na sijapewa barua rasmi."