Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kinachosangaza ni polepole alikuwepo na akukemeaUtawala Wa Sheria Haukufuatwa
Sheria
Taratibu
Kanuni [STK]
Asad hana maarifa ya kufanya kazi haswa na watu smart,Kikwete alimuokota toka huko majararani bila hata kuwa na experience yoyote ya kupractice uhasibu au ukaguzi na kumpa majukumu makubwa zaidi ya uwezo wake,yaani kwa akili yake ilivyo Corporate politics hasingeziweza kabisa,yaani ndani ya mwezi mmoja tu angefukuzwa,akili ni pamoja na kujua kuishi na kiongozi wako,nimesikiliza ile podcast nimesikitika sana anavyojisifu kuhusu kukalili,na wala hana uadirifu huo mnaomvika,darasa la saba hakufaulu akanunua jina la Mussa,kws hiyo kama anaona shortcut hazifai angegoma kununua jina la mtu ili aweze kurudia darasa la sabaKinachosangaza ni polepole alikuwepo na akukemea
Sasa ulitaka kwenye podcast ajikandie, ajidharau na ajiponde wewe unaweza enda kwenye podcast ukajiponda na kujidharauAsad hana maarifa ya kufanya kazi haswa na watu smart,Kikwete alimuokota toka huko majararani bila hata kuwa na experience yoyote ya kupractice uhasibu au ukaguzi na kumpa majukumu makubwa zaidi ya uwezo wake,yaani kwa akili yake ilivyo Corporate politics hasingeziweza kabisa,yaani ndani ya mwezi mmoja tu angefukuzwa,akili ni pamoja na kujua kuishi na kiongozi wako,nimesikiliza ile podcast nimesikitika sana anavyojisifu kuhusu kukalili,na wala hana uadirifu huo mnaomvika,darasa la saba hakufaulu akanunua jina la Mussa,kws hiyo kama anaona shortcut hazifai angegoma kununua jina la mtu ili aweze kurudia darasa la saba
Mtu muadirifu inabidi aongee kwa kuweka mizani sawa,kuna swala ambalo nilimuona hii ni takataka ya jalalani alipoulizwa kuhusu uchumi kwa sasa ukoje akajibu "kwa kweli uchumi uko sawa tunafanya viziuri,mimi nakula vizuri kwa kweli tunafanya vizuri",swali lingine aliloulizwa akajibu upumbavu ni kuhusi mke wake wa sasa,akajibu mke wangu sio msomi,kitu ambacho alikiwa alikuwa hajaulizwaSasa ulitaka kwenye podcast ajikandie, ajidharau na ajiponde wewe unaweza enda kwenye podcast ukajiponda na kujidharau
Gentleman,Alafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu
Ebu angalia umafia magufuli aliomfanyia Professor assad
ππππππππππ
Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato aa kumtafuta CAG mwingine."Ukisoma katiba inasema kustaafu ni miaka 60 au umri wowote utakaoelekezwa na sheria. Sheria ya ukaguzi inasema miaka 65 kwahiyo ukiisoma katiba moja kwa moja unaona kuwa haiwezekani kustaafu.
Na hili halikuwa jambo la hisia bali ni jambo la tafsiri ya katiba. Nikasema kwamba hapa kuna tatizo.""Nakumbuka nilikuwa Mwanza kwenye shughuli, akanipigia yuleyule Bwana aliyeniambia kuwa wameanza kutafuta CAG mpya, akaniambia unaenda kuondolewa kesho asubuhi na nina taarifa za ukweli kabisa kutoka kwenye Mamlaka. Nikashukuru tu na kusema hatukuzaliwa kukaa kwenye nafasi hizi, ikitokea mwenyenzi Mungu amejalia tuondoke tutaondoka tu. Imefika asubuhi Jumapili, kijana mmoja wa idara akanipigia kuniambia nimeona tangazo la Katibu Kiongozi kuwa saa moja baadae utaondolewa."
. Jumatatu nikaenda Ofisini nikapaki gari yangu binafsi chini (IST nyekundu) nikaingia mapokezi, Kijana wa mapokezi ananiambia kuna watu juu Ofisini kwako nahisi hutoruhusiwa kuingia, nikwambia no, kwasababu leo ni tarehe nne na niliajiriwa tarehe tano basi bado mimi ni CAG technical, nikapanda juu ghorofa ya tatu, natokea tu pale nakutana na vijana wawili wanasema wameagizwa kukaa pale kulinda ofisi hivyo ni vigumu sana mimi kuingia, nilipowauliza maagizo yametoka wapi wakasema yametoka Ikulu. .... Kwakweli nilitoka pale nimekasirika kidogo kuhusu utaratibu wa kunifukuza Ofisini wakati sijamaliza muda wangu na sijapewa barua rasmi."
KIONGOZI MZURI NA MZALENDO NI YULE AMBAYE YUPO TAYARI KUVUNJA KATIBA AU SHERIA KWA AJILI HAKI ...HUYO HUYO PROFESA ASIDI NI TAKATAKA...YA MASJID IPO KWA MASLAI YAKE BINAFSI NA RAIA FEKIAlafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu
Ebu angalia umafia magufuli aliomfanyia Professor assad
ππππππππππ
Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato aa kumtafuta CAG mwingine."Ukisoma katiba inasema kustaafu ni miaka 60 au umri wowote utakaoelekezwa na sheria. Sheria ya ukaguzi inasema miaka 65 kwahiyo ukiisoma katiba moja kwa moja unaona kuwa haiwezekani kustaafu.
Na hili halikuwa jambo la hisia bali ni jambo la tafsiri ya katiba. Nikasema kwamba hapa kuna tatizo.""Nakumbuka nilikuwa Mwanza kwenye shughuli, akanipigia yuleyule Bwana aliyeniambia kuwa wameanza kutafuta CAG mpya, akaniambia unaenda kuondolewa kesho asubuhi na nina taarifa za ukweli kabisa kutoka kwenye Mamlaka. Nikashukuru tu na kusema hatukuzaliwa kukaa kwenye nafasi hizi, ikitokea mwenyenzi Mungu amejalia tuondoke tutaondoka tu. Imefika asubuhi Jumapili, kijana mmoja wa idara akanipigia kuniambia nimeona tangazo la Katibu Kiongozi kuwa saa moja baadae utaondolewa."
. Jumatatu nikaenda Ofisini nikapaki gari yangu binafsi chini (IST nyekundu) nikaingia mapokezi, Kijana wa mapokezi ananiambia kuna watu juu Ofisini kwako nahisi hutoruhusiwa kuingia, nikwambia no, kwasababu leo ni tarehe nne na niliajiriwa tarehe tano basi bado mimi ni CAG technical, nikapanda juu ghorofa ya tatu, natokea tu pale nakutana na vijana wawili wanasema wameagizwa kukaa pale kulinda ofisi hivyo ni vigumu sana mimi kuingia, nilipowauliza maagizo yametoka wapi wakasema yametoka Ikulu. .... Kwakweli nilitoka pale nimekasirika kidogo kuhusu utaratibu wa kunifukuza Ofisini wakati sijamaliza muda wangu na sijapewa barua rasmi."
Uvunje katiba alafu mda huo huo uwe mzalendo mbona hiki ni kitukoKIONGOZI MZURI NA MZALENDO NI YULE AMBAYE YUPO TAYARI KUVUNJA KATIBA AU SHERIA KWA AJILI HAKI ...HUYO HUYO PROFESA ASIDI NI TAKATAKA...YA MASJID IPO KWA MASLAI YAKE BINAFSI NA RAIA FEKI
Kiongozi unatakiwa ukubali kukosolewa sio kila anaokukosoa unataka kulala naye mbeleMagu alikuwa na mapungufu mengi sana, nakumbuka aliwahi kutaka kuwapiga shangazi zake majaliwaπ₯Ά
You cannot outshine your master.Kinachosangaza ni polepole alikuwepo na akukemea
Asad hana maarifa ya kufanya kazi haswa na watu smart,Kikwete alimuokota toka huko majararani bila hata kuwa na experience yoyote ya kupractice uhasibu au ukaguzi na kumpa majukumu makubwa zaidi ya uwezo wake,yaani kwa akili yake ilivyo Corporate politics hasingeziweza kabisa,yaani ndani ya mwezi mmoja tu angefukuzwa,akili ni pamoja na kujua kuishi na kiongozi wako,nimesikiliza ile podcast nimesikitika sana anavyojisifu kuhusu kukalili,na wala hana uadirifu huo mnaomvika,darasa la saba hakufaulu akanunua jina la Mussa,kws hiyo kama anaona shortcut hazifai angegoma kununua jina la mtu ili aweze kurudia darasa la saba
Kuna watu walillamika kipindi cha magu uchumi ni mgumu mpaka magufuli akasema kama vyuma vimekaza vipakwe greese ila wako waliosema uchumi ni mzuriMtu muadirifu inabidi aongee kwa kuweka mizani sawa,kuna swala ambalo nilimuona hii ni takataka ya jalalani alipoulizwa kuhusu uchumi kwa sasa ukoje akajibu "kwa kweli uchumi uko sawa tunafanya viziuri,mimi nakula vizuri kwa kweli tunafanya vizuri",swali lingine aliloulizwa akajibu upumbavu ni kuhusi mke wake wa sasa,akajibu mke wangu sio msomi,kitu ambacho alikiwa alikuwa hajaulizwa
Magufuli alikuwa shetani mkubwaHalafu anaibuka mtu anaitwa Polepole akitaka kutuaminisha Magufuli alikuwa mzuri sana na mstaarabu
Pia soma Prof. Assad: Sikustaafu kuwa CAG bali niliondolewa kinyume na Katiba bila Kulipwa Mshahara miezi 6
Ebu angalia umafia magufuli aliomfanyia Professor assad
ππππππππππ
Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato aa kumtafuta CAG mwingine."Ukisoma katiba inasema kustaafu ni miaka 60 au umri wowote utakaoelekezwa na sheria. Sheria ya ukaguzi inasema miaka 65 kwahiyo ukiisoma katiba moja kwa moja unaona kuwa haiwezekani kustaafu.
Na hili halikuwa jambo la hisia bali ni jambo la tafsiri ya katiba. Nikasema kwamba hapa kuna tatizo.""Nakumbuka nilikuwa Mwanza kwenye shughuli, akanipigia yuleyule Bwana aliyeniambia kuwa wameanza kutafuta CAG mpya, akaniambia unaenda kuondolewa kesho asubuhi na nina taarifa za ukweli kabisa kutoka kwenye Mamlaka. Nikashukuru tu na kusema hatukuzaliwa kukaa kwenye nafasi hizi, ikitokea mwenyenzi Mungu amejalia tuondoke tutaondoka tu. Imefika asubuhi Jumapili, kijana mmoja wa idara akanipigia kuniambia nimeona tangazo la Katibu Kiongozi kuwa saa moja baadae utaondolewa."
Jumatatu nikaenda Ofisini nikapaki gari yangu binafsi chini (IST nyekundu) nikaingia mapokezi, Kijana wa mapokezi ananiambia kuna watu juu Ofisini kwako nahisi hutoruhusiwa kuingia, nikwambia no, kwasababu leo ni tarehe nne na niliajiriwa tarehe tano basi bado mimi ni CAG technical, nikapanda juu ghorofa ya tatu, natokea tu pale nakutana na vijana wawili wanasema wameagizwa kukaa pale kulinda ofisi hivyo ni vigumu sana mimi kuingia, nilipowauliza maagizo yametoka wapi wakasema yametoka Ikulu. .... Kwakweli nilitoka pale nimekasirika kidogo kuhusu utaratibu wa kunifukuza Ofisini wakati sijamaliza muda wangu na sijapewa barua rasmi."
Assad alisema trillion 1.5 ndo kum-outshine your masterYou cannot outshine your master.
Nimesahau ni law number ngapi kwenye 48 laws of power.
Mitihani haina wasimamiziAsad hana maarifa ya kufanya kazi haswa na watu smart,Kikwete alimuokota toka huko majararani bila hata kuwa na experience yoyote ya kupractice uhasibu au ukaguzi na kumpa majukumu makubwa zaidi ya uwezo wake,yaani kwa akili yake ilivyo Corporate politics hasingeziweza kabisa,yaani ndani ya mwezi mmoja tu angefukuzwa,akili ni pamoja na kujua kuishi na kiongozi wako,nimesikiliza ile podcast nimesikitika sana anavyojisifu kuhusu kukalili,na wala hana uadirifu huo mnaomvika,darasa la saba hakufaulu akanunua jina la Mussa,kws hiyo kama anaona shortcut hazifai angegoma kununua jina la mtu ili aweze kurudia darasa la saba
Magufuli alikuwa mkweli sanaMagu alikuwa na mapungufu mengi sana, nakumbuka aliwahi kutaka kuwapiga shangazi zake majaliwaπ₯Ά
Pumbavu wewe hujui kuwa Assad alikuwa project ya Mafisadi ?umemsikia leo akilalamikia serikali ya Samia ? mambo mengine usiwe unayaleta hapa haya ni mambo ya kumsimulia mkeo mkifiran chumbani ! unasikia wewe RAIS MTARAJIWA WA AWAMU YA 9 ?Kinachosangaza ni polepole alikuwepo na akukemea