Hayati Magufuli alivyomwondoa Profesa Assad kibabe bila kufuata sheria na taratibu

Assad alisema trillion 1.5 ndo kum-outshine your master
Fahamu assad hakuchaguliwa na magufuli na katiba imempa kinga CAG je hili unalifahamu
Nime-quote post kumhusu Polepole kukaa kimya kwa mambo yaliyokuwa kinyume na taratibu na quotation ilimhusu yeye na si Assad.

Ingawa pia, law inamhusu hata Assad, tokea alipodhani kumu-outshine master, alipatwa na nini, mema au mazuri?
 
Uvunje katiba alafu mda huo huo uwe mzalendo mbona hiki ni kituko
Tumia akili...sheria na haki ni vitu viwili tofauti kabisa ...katiba pia ni sheria ila katiba haina maana ni haki ....hivyo mzalendo ni yule aliye tayari hata kuvunja katiba au sheria kwa ajili ya haki na taifa ..
MIMI HUWA NAMDHARAU SANA MTU ANAYE SEMA UTAWALA BORA NI UTAWALA UNAOFUATA SHERIA NA KATIBA ...MTU AKISEMA HIVYO HUYO NAMWEKA KWENYE KUNDI LA MAANISI WA AKILI ...KUMBUKENI KUWA HAKI NA SHERIA NI VITU VIWILI TOFAUTI ...
 
KIONGOZI MZURI NA MZALENDO NI YULE AMBAYE YUPO TAYARI KUVUNJA KATIBA AU SHERIA KWA AJILI HAKI ...HUYO HUYO PROFESA ASIDI NI TAKATAKA...YA MASJID IPO KWA MASLAI YAKE BINAFSI NA RAIA FEKI
Mzalendo unakwapua 1.5 T ya walipa kodi, mkaguzi anakushtukia unamtumbua kinyume cha Katiba uliyoapa kuilinda!!?
Huo ndiyo Uzalendo?
Kama ni Uzalendo apewe Asadi na siyo huyo kiongozi wenu aliyekwapua 1.5T ya watanzania..
Achenin kulitumia vibaya neno "Uzalendo"
 
Ununuzi wa Ndege na sgr ya umeme na elimu bure zilijengewa na bajeti gani au unadhani sgr ya umeme nq flyover na Bwawa la Nyerere zilijengwa na pesa gani ..wewe ni anithi wa akili
 
That was a stupid president
 
Kwahiyo Jina lake halisi ni nani?
 
Ununuzi wa Ndege na sgr ya umeme na elimu bure zilijengewa na bajeti gani au unadhani sgr ya umeme nq flyover na Bwawa la Nyerere zilijengwa na pesa gani ..wewe ni anithi wa akili
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ndiye mtu pekee anayetambuliwa na Katiba ya Tanzania kuthibisha wizi wa pesa za walipa kodi.
Taarifa yake ni Official Document huwezi kuifuta kwa maneno tu kutoka hapo kwenye Klabu ya Dengeluwa na Kimpumu.
 

..ugomvi wa Magufuli na Assad ulianza pale Assad alivyotamka kwamba zoezi la uuzwaji wa nyumba za serikali nchi nzima ulikuwa ufisadi.

..zingatia kwamba Magufuli ndio alikuwa Waziri aliyesimamia uuzwaji wa nyumba za serikali.

..Na Assad alipoteuliwa kuwa Cag akaanzisha uchunguzi wa suala hilo, lakini wakala wa majengo ya serikali wakagoma kutoa ushirikiano.

..Ni bahati mbaya kwa Assad kwamba mtu ambaye alitaka kumchunguza aliishia kuwa bosi na mamlaka yake ya uteuzi.

..Magufuli naye alipaswa ku swallow his pride, kwani tayari alishafikia ngazi ya Uraisi, na hakuna kitu Assad angeweza kufanya dhidi yake.
 
Magufuli alitaka kila jambo lieΓ±de anavyotaka na kila mtu awe upande wake
 
Haya ni maelezo ambayo assad mwenyewe ameyatoa jana ameongea kwa kinywa chake
 
Magufuli angekuwa msafi angeruhusu uchunguzi ufanyike.
Lakini kama unajua zoezi zima la ugawaji wa majengo ya serikali umelivuruga kwa manufaa yako lazima upambane kulizima.
 
Kwa hiyo kti ya aliyenunua Jina na aliyenunua kabila, yupi wa kuaminiwa?
 
Kwa tz na kwa uwepo wa wanamajani kijani kila kitu hakija nyooka!
 
huyo mzee naye sio msafi kama mnavyodhani, you paint him a hero but he wasnt. Mengine yalishatokea, tuyaache tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…