Hayati Magufuli alivyomwondoa Profesa Assad kibabe bila kufuata sheria na taratibu

Obama alipokuwa kule Chuo kikuu Ghana 2011 alipokuja Africa mala ya Kwanza

Alisema "Tatizo kubwa sana Africa ni Kukosa Taasisi Imara"
BARACK OBAMA.
 
Kwani mdhibiti mkuu alianza kufanya kazi kipindi cha jpm tu mbona ufisadi ulikuwepo kabla hata ya jpm kwa nini waislamu wapumbavu mnataka kutuaminisha kuwa ufisadi ulianza kwa jpm na huyo mpuuzi asidi mbona azingumzii ufisadi wa mwingineo zaidi ya madai yake ya kianithi ya till 1.7 tu ...kumbuka kuwa jpm alianza kuongoza bajeti ikiwa imeachwa na fisadi kikwete hivyo pesa aliyo pata kwa kudhibiti ufisadi alielekeza moja kwa moja kwenye maendeleo ndiyo maana ya force account
 
Magufuli pekee yake ndo aliyemtishia CAG na kumfuta kazi kibabe watangulizi wake kama kikwete, mkapa hawakuwahu kumtishia CAG kama alivyofanya magufuli

Tokea tupate uhuru haijawah tokea trillion 1.5 haina maelezo ilitokea wakati wa magufuli
 
Pumbavu wewe hujui kuwa Assad alikuwa project ya Mafisadi ?umemsikia leo akilalamikia serikali ya Samia ? mambo mengine usiwe unayaleta hapa haya ni mambo ya kumsimulia mkeo mkifiran chumbani ! unasikia wewe RAIS MTARAJIWA WA AWAMU YA 9 ?
Mbona amesema kuna waziri kijana wa serikali hii ni billionea

Na kipindi kile alikuwa halalamiki alikuwa anatimiza wajibu wake
 
Magufuli pekee yake ndo aliyemtishia CAG na kumfuta kazi kibabe watangulizi wake kama kikwete, mkapa hawakuwahu kumtishia CAG kama alivyofanya magufuli

Tokea tupate uhuru haijawah tokea trillion 1.5 haina maelezo ilitokea wakati wa magufuli
Upigaji unaoendelea sasa hivi huuoni? Mbona upo kimya. Ungetumia nguvu unayotumia kupinga ufisadi mkubwa na wa kutisha unaendelea sasa, ufiraji, ubakaji, utekaji, utesaji, kupoteza watu, ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, mauaji ya 29/09/25.

Trillioni 54 alizokopa Samia zimeenda wapi? Kuuzwa bandari, kuuzwa misitu, kuuzwa maeneo ya wamasai, posho kwa wenza, ripoti za CAG, Samia kuweka ndugu zake serikalini, vikwazo tunakavyowekewa na dunia hivi punde na jinsi Samia alivyochafua na kuvunja urafiki wetu na marafiki wetu wa miaka 50, 60. Hivi ndivyo vipaumbele kwa sasa.

Umekomaa na Nyerere na JPM kuwapoteza watu wasimbane aliyekutuma Samia na genge lake.

Wewe huna tofauti na Mwaipopo lengo lenu ni moja tofauti wewe unatumia kalamu, Mwaipopo microphone na camera. Sponsor, mwenye mbwa mwitu anayewatuma ni mmoja.
 
sikuhizi hata majambazi, vibaka ni wazalendo siwezi kushangaa...Haki gani unayoizungumzia iliyotumika hapo...Wakati kiongozi anakuonesha mapungufu yaliyopo kwenye KATIBA wewe unasema Mzalendo...
 

Una ya akili ya ovyo sana kijana.
Kwahiyo kama ufisadi Ulikuwepo kwenye tawala za nyuma ulitaka CAG akalie kimya wizi wa 1.5Tr mlizokwapua?
Tawala za nyuma zote zimekaguliwa na taarifa zake zipo.
Lakini hapa tunajadii ukaguzi uliotokana na matumizi ya serikali ya mwaka 2016-2017.
Kukusaidia usiwe unaingiza udini kwenye mambo ya kitaifa.
 
Wewe anithi wa akili ...nimekuuliza ndege na sgr ya umeme na Bwana la Nyerere xilijengwa kwa pesa gani haujanijibu ...huyo Asadi ni mpuuzi wa masjid hakuna Muislamu mwenye akili ...kwanini anaongelea tukio moja tu la till 1.5 na mengine yote kayanyamazia ...unajua magaidi ya masjid yameua watanganyika wa ngapi Oct 29 ? Zaidi ya watu elfu 8 wameuliwa na magaidi.
 
Punguza makasiriko binti.
Hata wajerumani walijenga reli na madaraja lakini tuliwatimua.
Usijifiche kwenye kichaka cha ujenzi reli ukidhani mkiiba mtafumbiwa macho.
Wizi wenu uko vitabuni hautafutika, hata baada ya miaka mia, kumbukumbu zipo tu.
Matusi unayotukana ni dalili kwamba dawa inakuingia.
Haya endelea kutukana mrundi wa Chato.
 
Huyo Mzee alistahili kuondolewa.Alikuwa anatumika kuhujumu Serikali ya JPM.
 
Nilimheshim sana Prof Assad
Ila alipokuja utetea mkataba wa kiimla wa DP world nikaona yaliyomtokea yote ilikuwa haki yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…