Hayati Magufuli alivyomwondoa Profesa Assad kibabe bila kufuata sheria na taratibu

Bwana Jaffary. Na zamani kurudia ama kukariri darasa ilikuwa ni kosa. Tena alichukua jina la mtu.
 
Assad alisema trillion 1.5 ndo kum-outshine your master
Fahamu assad hakuchaguliwa na magufuli na katiba imempa kinga CAG je hili unalifahamu
Aliulizwa hadharani kuhusu 1.5tn kama iliibwa akasema kwa kinywa kipana kwamba hakukuwa na wizi na hata juzi amesema.
 
Aliulizwa hadharani kuhusu 1.5tn kama iliibwa akasema kwa kinywa kipana kwamba hakukuwa na wizi na hata juzi amesema.

..hazikuibwa lakini hazionekani.

..na alivyotaka kukagua uuzwaji wa nyumba za serikali akafungiwa milango.
 
Aonyeshe barua yake ya uteuzi ilisemaje?
 
..hazikuibwa lakini hazionekani.

..na alivyotaka kukagua uuzwaji wa nyumba za serikali akafungiwa milango.
Wala hakusema kwamba haIkuonekana. Alijichanganya mwenyewe kwenye taarifa zake.
 
Aliiba nafasi ya mtu!

..hapana.

..alibadili jina toka Jaffari Assad, na kuwa Mussa Assad, ili awe kupata nafasi nyingine kufanya mtihani wa darasa la 7.

..Na toka amebadili jina amefaulu darasa la 7, kidato cha 4, cha 6, Udsm, na PhD nje ya nchi.
 
Hakubadili jina bali aliiba jina la mtu. Zamani hakukuwa na utaratibu wa kukariri darasa, ukifeli basi unaenda kulima. Sasa kuna wanafunzi wengine walikuwa wameandikishwa shule ila ni watoro, hivyo ukitaka kurudia unafanya “mpango” na mwalimu mkuu anatafuta jina la mwanafunzi ambaye haji shule basi unapewa hilo jina. Ilikuwa huwezi kuanzia darasa la nne ama tano bila kuwa uliandikishwa darasa la kwanza. Hakubadili jina, aliiba jina.
 
..alikuwa mtoto.

..asamehewe.
 
Magu aliwahi kuvaa pajama na kumfuata mama Abdul usiku wa manane ili apewe utamu. (Kasome kitabu cha Erick Kabendera).
Eric Kabendera yupo? Mbona kimya au yaliyojiri 29 October ayamuhusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…