Hayati Magufuli aliwafumbua macho Watanzania juu ya ufisadi na wizi mali ya umma, sasa Watanzania wapo macho kodo

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G.

Kila mtanzania amepata jibu kuwa pesa nyingi ambayo ilikuwa ni mali ya umma ilikuwa ikitafumya hovyo.

Kama ndani ya miaka mitano ya hayati JPM tunashuhudia kazi mefanyika, kuimalika miundo mbinu, afya na Elimu huku kila mtu akishuhudia, ni wazi kuwa taifa letu lina pesa nyingi sana na zikisimamiwa vyema tunapata maendeleo makubwa.
 
CHADEMA kupitia waraka wa List of shame ndio iliwafumbua macho Watanzania juu ya wizi mkubwa unaofanywa na vigogo wa CCM wakishirikiana na maponjoro
Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
 
Moja ya vitu ninavyompa heko JPM na vikiendelezwa basi Taifa linaweza kupoma ni WATU KUIOGOPA NA KUIHESHIMU DOLA..

yule Mwamba alifanya dola iogopwe na kuheshimika kiasi cha watu kuogopa kufanya ujinga hovyo hovyo wakiogopa kupotea na kuozea jela. Dola iliogopwa bwana asikwambie mtu Kama MUUZA UNGA ABDUL NA MKEWE WAMEKULA 30yrs @ na yule jamaa wa Tanga wa miaka nenda rudi YANGA OMAR kala naye 30yrs.

Ukizingua na kujifanya mjuaji unakula money laundering na uhujumu uchumi unapotea....ukijaribu kucheza na dola gizani michezo ya ajabu unapotea jumla.

RIP Nzilakende...zile itikadi za kimwamba ni muhimu sana kwa Taifa hili changa lililojaa majizi, majinga, mabinafsi, wazinzi, malaya nk..
 
CHADEMA kupitia waraka wa List of shame ndio iliwafumbua macho Watanzania juu ya wizi mkubwa unaofanywa na vigogo wa CCM wakishirikiana na maponjoro

Halafu baadaye mliyemuweka kwenye list of shame ndio akawa mgombea Urais na barabara akadekiwa na kundi lake.... mwingine yule ponjoro alipojaribu kufixiwa akatetewa na kelele kibao anaonewa...nk
 
Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
Magufuli hakuwa rais tu alikuwa mwalimu pia.

Kila kitu kwenye utawala wake kilikuwa kinafanyika hadharani
 
Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
Ile 1.5trl ikaleta kizaazaa nguo kuchanika, na mzee wa watu Asad wakamfyekelea mbali

IMG_20211029_105959.jpg
 
Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
Za kuchotwa kutoka kwa watu, kampuni na zile doladola za beuroea de change
 
Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
Ebu muwacheni mwendazake apumzike basi maana nyie chawa wake mnazidi kumchosha.
 
Moja ya vitu ninavyompa heko JPM na vikiendelezwa basi Taifa linaweza kupoma ni WATU KUIOGOPA NA KUIHESHIMU DOLA...
Hiyo siyo sifa wewe dogo.

Serikali haitakiwi kuogopwa kwa kutumia vitisho bali inaogopwa kwa matendo yake mema kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom