Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
CHADEMA kupitia waraka wa List of shame ndio iliwafumbua macho Watanzania juu ya wizi mkubwa unaofanywa na vigogo wa CCM wakishirikiana na maponjoro
Ndani ya CCM hamna asiye mwizi. Wapi zile trillion 1.5?Halafu baadaye mliyemuweka kwenye list of shame ndio akawa mgombea Urais na barabara akadekiwa na kundi lake.... mwingine yule ponjoro alipojaribu kufixiwa akatetewa na kelele kibao anaonewa...nk
Mbona unaruka viunzi?Ndani ya CCM hamna asiye mwizi. Wapi zile trillion 1.5?
Magufuli hakuwa rais tu alikuwa mwalimu pia.Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
Ile 1.5trl ikaleta kizaazaa nguo kuchanika, na mzee wa watu Asad wakamfyekelea mbaliHata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
NI kweli kabisa,ndiyo maana hata Tundu Lissu alishambuliwa hadharani tena mbele ya CCTV camera, na hakuna aliyeguswa kwa tuhuma za shambulio, JPM alikuwa noma sanaaa!Magufuli hakuwa rais tu alikuwa mwalimu pia.
Kila kitu kwenye utawala wake kilikuwa kinafanyika hadharani
Za kuchotwa kutoka kwa watu, kampuni na zile doladola za beuroea de changeHata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
Ebu muwacheni mwendazake apumzike basi maana nyie chawa wake mnazidi kumchosha.Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
Huyu unaye mwambia habari za list of shame kipindi hicho alikuwa bado yupo kijijini kwao Lyamba lya bashishi anatega nguchiroCHADEMA kupitia waraka wa List of shame ndio iliwafumbua macho Watanzania juu ya wizi mkubwa unaofanywa na vigogo wa CCM wakishirikiana na maponjoro
Hiyo siyo sifa wewe dogo.Moja ya vitu ninavyompa heko JPM na vikiendelezwa basi Taifa linaweza kupoma ni WATU KUIOGOPA NA KUIHESHIMU DOLA...
Na baadae mwenyekiti wa ccm akamuona mh lowasa kuwa ni bora na muhimu sana akawa ndani ya ccm.Halafu baadaye mliyemuweka kwenye list of shame ndio akawa mgombea Urais na barabara akadekiwa na kundi lake.... mwingine yule ponjoro alipojaribu kufixiwa akatetewa na kelele kibao anaonewa...nk
Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G...
Chama Cha Mazezetaaccording to mataga Watanzania hawakujua neno rushwa mpaka Magufuli alipokua Rais
Umemaliza kaziNdani ya CCM hamna asiye mwizi. Wapi zile trillion 1.5?
Ubarikiwe sana!Moja ya vitu ninavyompa heko JPM na vikiendelezwa basi Taifa linaweza kupoma ni WATU KUIOGOPA NA KUIHESHIMU DOLA...