Hayati Magufuli aliwafumbua macho Watanzania juu ya ufisadi na wizi mali ya umma, sasa Watanzania wapo macho kodo

Halafu JPM akawafumba macho watanzania na kushindwa kueleza tshs 1.5tril imeenda wapi, alipoulizwa na CAG.
 
Dola haitakiwi kuogopwa bali inatakiwa kushirikiana na wananchi ili iheshimiwe na iweze kufanya kazi kwa weledi.

Yeyote anaye amini kuwa dola inatakiwa iogopwe basi bado mawazo yake na fikra zake zipo zama za kikiloni na utumwa pamoja na utawala wa kitemi ambao bado ni ushamba tu.

Na ukiona kiongozi anapenda sana kufanya dola ndio iwe msaada wake mkuu na anaitenga dola na wananchi basi jua kiongozi huyo bado ana ushamba na ana mambo yake ya hovyo na ya kishetani anayo jifichia kwenye dola. Ref. 1.5 Tr. Alipo guswa tu ikawa nongwa
 
Hawajikubali
Hawajiamini
Hawana msimamo
Wanafata kila wanachoambiwa
Wanaamini kila wanachokiona
Watasutana wao kwa wao
Watapingana wao kwa wao
Wanapigania wao kwa wao. na....

mwisho wataishia kutawaliwa
 
Mbona yeye alikuwa mwizi hatari,
 
Aliyekwapua nyumba za serikali na kugawia vimada wake nani?
 
Makala za Magu sizipendi kabisa, yaani kipindi cha jiwe hata benk ya tpb benk ya posta ilikuwa na mahabusu, wanavikundi wakichelewesha mkopo ni lockup tu, sababu ni watu wengi wanaoigopa tpb na mikopo mingine! Kwa kulalamika hamna, ujambazi tu, leo hakuna unaloweza kuniambia kuhusu Magu, mkopo kwa wajasiliamali riba 40%. Mfano unaweka laki moja na nusu kama dhamana unakopeshwa laki sita, na riba asilimia 18. ya laki sita ndani ya miezi sita. Naona kimsingi wamekupa 450,000/= na wanatoza riba 600,000/=. Hivyo siwezi shangaa ya sabaya!
 
Yaani waTZ bwana!
Magu mwenyewe alikuwa fisadi wa kutupwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…