Hayati Magufuli aliwezaje ku-trend kila siku??

Halafu mwanangu wewe ni Edo Kumwembe😀😀😀😀😀
 
He was a leader. Aliiweka nchi yake kipaumbele, alihakikisha watanzania wanapata kile wanachostahili especially wannyonge. Kilichomfanya atrend ni ile work ethic alokuanayo sidhan ni kama yeye alikua na mawazo ya kupata fame au kujikweza. Hata kama ilikuepo ilikua in a positive way. Kwan kazi haikuonekana.?

He was a king [emoji1780] MAGu 4 life. Itatuchukua mda mref kupata mtu kama magu. Rest in peace [emoji120]
 
Madikteta huwa wanataka kuwa subject of attention kila siku.

Alitaka vyombo vya habari vyote vimumulike yeye tu akifanya drama zake za kuhadaa wadanganyika wanyonge.
 
Acha hasira na kulia hovyo, kila Mtanzania mwenye akili nasisitiza mwenye akili timamu anajua Jiwe alikuwa muovu, yaani muongo, mwizi na muuaji, sasa unadhani kwa akili kama zako unaweza yaona hayo?
[emoji106][emoji106]
 
Mshairi wa kejeli wa enzi za Warumi, Juvenal, alisema, ni rahisi sana kuwatawala watu masikini na wajinga.

Wape mkate na sarakasi nyingi za kusherehekea. Wakijaza matumbo kwa mkate na kufurahia sarakasi, kamwe hawatahoji mambo ya msingi.

Wengi wetu sisi Watanzania tulipunjwa maana tumepewa sarakasi bila mkate, tumezisherehekea sana, na mpaka leo wengi tunazi miss bado.
 
Swali gumu !! Umewaza sana lakini ndivyo ilivyokuwa !
Hakuna swali gumu hapo. Kilichopo nikwamba ukiwa na cheo au hela za kulipa media kilasiku utaonekana kwenye vyombo vya habari. Ukitaka redio,TV, magazeti,majarida nk niwewetu na mamlaka yako ukiitumia kutoa amri zako au hela zako
 
Huyu aliyekuwa anatembea na coverage ya TBC One 24 hours
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…