Mnyanyembe wa Mboka
JF-Expert Member
- Feb 10, 2017
- 2,348
- 3,038
Sawa ila wewe ni mwehu sasa sijui nani ana nafuu kati yangu mi na weweWewe ni taahira
Ukizingatia wewe upo kule upande wa MAMBUZI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa ila wewe ni mwehu sasa sijui nani ana nafuu kati yangu mi na weweWewe ni taahira
Wewe shemeji yako.yule fisadi kutumbuliwa kisa vyeti feki na kuuliwa sisi haituhusu.Huwezi paka mkaa rangi nyeusi ili uwe mweusi. Huwezi kuwa muuaji ukadhani kesho tu watu watapotezea
Alikuwa na drama staili ya Gigy money na Mondi, lazima u trend tu😂😂😂😂😂😂😂. Alikuwa anatuchangamsha sana huyo mzee.
Simply alikuwa waziri wa wizara zote
Madaraja anazindua yeye
Madarasa yeye
Hospitali yeye
Masoko yeye
Kwa Hali hiyo kwa nn asitrend ???
Dead and gone ,[emoji34]
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.
Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.
Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.
Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.
Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.
Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.
Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.
Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".
Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.
Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
Alikuwa anaweza aiseAlikuwa na stunts zake... Yaani Kila wiki lazima awe site kuigiza.
Mara kaokota vichwa treni havina mwenyewe!
Mara yupo morogoro anataka kumpanua mama wa watu!
Mara yupo site anacharuana na mkandarasi!
Mara machawa wake wamevamia mahoteli wanapima samaki aloiva kwa rula na vernier caliper!!
Yaani... Comedy zilitrend sana!
Alitrend kwa mbinu za kimafia za kuua kila anayemsema vibaya au anayemkosoa na kumpinga hivyo wote wakabaki wanamuogopa na kulazimsha wote wamuimbe yeye. Mfano kipondi alivhokianzisha yeye mwenyewe tbc Cha kishindo Cha awamu ya tano, hata akiua we sifu tu na ukihoji kesho yake wataokota mzogaEnzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.
Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.
Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.
Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.
Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.
Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.
Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.
Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".
Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.
Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
Point of correction: yule mzee alikuwa muuji na mfiraji mkuu. Alimfira sana mkuu wa wilaya flaniNa bado mpaka ana trend kila siku!
Pamoja na kufariki siku nyingi zilizopita!
Hata leo ame trend humu kwenye Post kibao!
Bado ana trend kuliko hata baadhi ya walio hai.
Yule mzee alikuwa Governance Materials!
Alijitoa sadaka Kwa ajili ya Watanzania.Wapuuzi wachache wanadhani alianza hizo kazi juzi. Kwa hiyo hata alipokuwa waziri alikuwa dikteta?! Tanzania inamfahamu tangu akiwa waziri alikuwa muadilifu na mchapakazi wa hali ya juu!
AamenSamia kajikunyata ikulu anasubiria kutengewa kashata atafune!! Bure kabisa!!!
Mungu atatupatia Magufuli mwingine. Alhamdullilah!
Delilah akwende zake huko zenji atuachie nchi yetu adhimu.
Usipomtaja huchaguliki Jimbo lolote.2025 atatrend zaidi .
Mkuu punguza chuki kwa marehemuKila mkiambiwa ukweli mnajificha kwenye vyeti fake. Mara shemeji, so unadhani kila mtu anakaa kwa shemeji? Narudia kuwa ukiwa muuaji, mwizi na muongo kama Jiwe raia hawawezi kukusahau kirahisi, uko sahihi kabisa mwizi achomwe moto ndiyo maana Jiwe yuko motoni. Pole kama inakuuma kuhusu yule mungu wenu kuchomwa moto
Yes Kuna ile akizama akiiunuka anaibuka na 500K anagawa kama njugu...Alikuwa anaweza aise
Alikuwa hachoki na stunts hizo
Kweli alikuwa mwamba
Alafu hivi kwenye gari alikuwa anatembea na mabulungutu
Maana kila akisimama anatoa neema
Ya mpunga kwa watu,sema ndiyo sandakalawe ilikuwa
Ova
Maumivu ya KICHWA huanzia taratiiibu!!!!!Kila mkiambiwa ukweli mnajificha kwenye vyeti fake. Mara shemeji, so unadhani kila mtu anakaa kwa shemeji? Narudia kuwa ukiwa muuaji, mwizi na muongo kama Jiwe raia hawawezi kukusahau kirahisi, uko sahihi kabisa mwizi achomwe moto ndiyo maana Jiwe yuko motoni. Pole kama inakuuma kuhusu yule mungu wenu kuchomwa moto