Hayati Magufuli aliwezaje ku-trend kila siku??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Alikuwa anatuchangamsha sana huyo mzee.
Yule mpumbavu alijaribu kumchafua kuwa kachoma vifaranga eti...baada ya siku chache vikachomwa vifaranga mara 30 ya vile vilivyo chomwa awamu ya mzalendo no1 na baada ya mwezi vifaranga elfu 60 vimeachwa vifie airport ....kweli yule zuzu ....'anakunya akili na kuacha mafiii kichwani.
 
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.

Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.

Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.

Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.

Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.

Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.

Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.

Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".

Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.

Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
Alijihakikishia nafasi ya kuongea yeye nchi nzima, wewe na mimi tukabaki kupiga vigelegele na makofi ya miaka ya 60, 70 na 80 ya zidumu fikra za Mwenyekiti.

Hata Bunge letu akasema ni Lake na liseme kwa siri awe anaamua lipi tuambiwe na kusikia na lipi libaki la kwake🤔

Vyombo vyote vya umma vikawa vikundi vya sifa na kutoa utukufu kwa mfalme muda wote. Vyombo vya habari vikaelekeza camera na recorder zao kila alipo mfalme a.k.a mkuu wa malaika. Kila aliyekohoa alihitaji kujieleza yeye ni nani na karuhusiwa na nani angee mbele ya aliyefikia hadhi ya kuitwa Mheshimiwa Mungu na Yesu wa Watanzania.

Nani ange-trend zaidi ya mwenye sifa ya kuabudiwa na kupewa utukufu wote🙏🙏
 
Watu wazuri/wema hawafi. Naona sukuma gang mnateseka sana mpaka mmefungua uzi wa kujifaliji na ujinga wenu
 
😂😂😂😂😂😂😂. Alikuwa anatuchangamsha sana huyo mzee.
Alikuwa na stunts zake... Yaani Kila wiki lazima awe site kuigiza.
Mara kaokota vichwa treni havina mwenyewe!
Mara yupo morogoro anataka kumpanua mama wa watu!
Mara yupo site anacharuana na mkandarasi!
Mara machawa wake wamevamia mahoteli wanapima samaki aloiva kwa rula na vernier caliper!!

Yaani... Comedy zilitrend sana!
 
Kutrend kwa JPM sio kitu cha ajabu. Huyu kwangu mimi ndio waziri bora kuwahi kumshuhudia, ukikanyaga barabara ya lami yeyote ya nchi hii ni kazi yake achilia mbali miundombinu aliyoijenga akiwa Rais.
Barabara nyingi ni za mchongo hadi yeye mwenyewe akazistukia
 
Enzi za uhai wake, hayati Magufuli akiwa Rais wa awamu ya 5, aliweza kutrend kila siku. Aliweza kusikika jumatatu mpaka jumapili bila kuchoka.

Jumapili angeweza kwenda kanisani na TBC 1 wakarusha ibada.

Jumatatu angeweza kwenda soko la samaki feli.

Jumanne angeweza kwenda kumtumbua kigogo fulani.

Jumatano angeweza kuibukia Vingunguti machinjioni na kuangalia shughuli zote jinsi zinavyofanyika.

Alhamisi angeweza kusafiri kwa barabara kwenda Dodoma. Akifika Dumila anaweza akanunua mahindi na kupiga stori na wananchi.

Ijumaa angeweza kukagua ujenzi wa Ikulu mpya Chamwino.

Jumamosi angekuwa Chato na kuwa mubashara kwenye kijiwe cha kahawa na "wanyonge".

Matukio yote hayo yangekuwa mubashara/live na TBC1.

Nchi nzima alikuwa anazungumzwa mtu mmoja tu, jamaa aliwezaje yaani kuwa mubashara kila siku?? Au ndio ilikuwa hulka yake??
Vyombo vyote vya habari vilikuwa chini yake na mnaripoti kile anataka
 
Mi nafikiri Kwa sababu alikua anateka na kuua watu kila siku
 
Back
Top Bottom